MAJINA ya Wailioitwa Kazini Tume ya Utumishi wa Mahakama
Kufuatia kukamilika kwa usaili wa waombaji wa nafasi za kazi kwa kada mbalimbali zilizotangazwa na Tume ya Utumishi wa Mahakama tarehe 03 Juni, 2025, Katibu wa Tume ya Utumishi wa Mahakama anawatangazia waombaji wafuatao hapa chini kuwa, wamefaulu usaili na kuchaguliwa kuajiriwa katika Utumishi wa Mahakama.
Wahusika wote waangalie barua zao za ajira kwenye baruapepe zao (Email) na kufuata maelekezo yaliyotolewa kwenye barua husika.
Kwa wale ambao majina yao hayakutokea katika Tangazo hili, wafahamu kuwa kwa sasa hawajafanikiwa kupata ajira kwa nafasi tajwa.
BONYEZA HAPA KUDOWNOAD PDF YA MAJINA
Leave a Reply