Mabasi Dar Kwenda Mbeya
Habari hii na nyingine nyingi zinapatikana kwenye telegram channel yetu na WhatsApp channel yetu tumia linki hapo chini kujiunga
Habari ya wakati huu mpenzi mfuatiliaji wa blog yako pendwa ya Habarika24, Kwenye makala hii tutaenda kuelezea juu ya makampuni ya mabasi yanatota huduma zake kutoka mkoa wa Dar es Salaam kwenda mkoa wa Mbeya. Njia ya Dar to Mbeya imekua na wasafiri wengi sana hata kufanya kuwepo kwa ongezeko kubwa sana la makampuni ya ,abasi yanayotoa huduma ya uafirishaji kati ya mikoa hiyo miwili. Kuna zaidi ya makampuni ya mabasi 20 ambayo yanasafirisha abiria kila siku kutoka Dar kwenda Mbeya na Mbeya kwenda Dar.
Njia za Usafiri Kati ya Dar es Salaam na Mbeya
Mkoa wa Dar es Salaam na Mbeya inaunganishwa na njia tatu za usafiri, njia hizo ni pamoja na
- Usafiri wa Gari
- Usafiri wa Treni
- Usafiri wa Ndege
Katika makala haya tutaenda elezea njia ya gari hasa upande wa mabasi.
Mabasi Dar Kwenda Mbeya
Hapa chini tumekuwekea baadhi ya makampuni ya mabasi yanayofanya safari zake kutoka Dar es Salaam kwenda Mbeya kila siku na kutoka Mbeya Kwenda Dar es Salaam
1. Abood Bus
Abood ni moj ya makampuni makubwa sa ya usafirishaji kwa njia ya mabasi. Inatoa huduma ya usafirishaji katika mikoa mingi hata nchini Tanzia na Mbeya ni mojawapo ya mikoa ambayo Abood Bus zinatoa huduma yake. Kampuni hii inatoa huduma bora na za uhakika bila kuchosha abiria wake. Ina mabasi yenye hadhi ya juu kumfanya mteja wake kufurahia safari yake.

2. Nganga Express
Kampuni ya nganaga Express ni kampuni kongwe kwenye utoaji wa huduma ya usafirishajin wa abiria kati ya mkoa wa Dar es salaam na Mbeya. Mabasi ya kampuni hii ni daraja la kati na dalaja la chini lakini ni mabasi yeneye uhakika wa safari. Kama wewe ni mtu wa daraja la kati na chini Nganga Express ndio chaguo lako bora kwa usafiri wa uhakika.

3. Happy Nation
Happy Nation, Kampuni bora miongoni mwa kampuni za usafiri kwa njia ya mabasi, Kama uko Dar au Mbeya na unataka kusafiri ndani ya mikoa hii miwili basi kwa usafiri wa kifahari na wenye usalama basi Happy Nation ni miongoni mwa makampuni bora zaidi ambayo unaweza kuweka kwenye chaguo lako la kwanza. Ukiachana na Abood Bus kwenye ubora wa huduma pia Happy Nation ni kampuni inayotoa huduma bora kwa wasafiri wake.

4. Princes Muro
Kwenye usafari wa Dar to Mbeya Princes Moro ni moja miongono mwa kampuni zilizo bora sana. Mabasi haya hufanya usafirishaji wa abiria na mizigo kwa usalama zidi. Kampuni hii inamabasi ya aina mbili dalaja laja la kwanza na dalaja la kati. Hivyo Princess Muro inaweza kua miongoni mwa machaguzi yako ya awali kwa usafiri salama kati ya Dar na Mbeya.

5. Mbeya express
Mbeya Express Ni kampuni ya mabasi yenye makazi yake Jijini Mbeya. Hii ni miongoni mwa kampuni zinazotoa huduma za kusafirisha mizigo na abiria. Kama wewe ni abiria pia Mbeya express ni chaguo sahihi kwa wewe kulitumia katika safari yako.

6. New Force BUS
New Force basi ni kampuni iliyokuja kufanya mapinduzi ya usafirishaji abiria kwa njia ya mabasi. Kampuni hii inatoa pia huduma ya usafirishaji wa abiria kati ya Dar es Salaam kwenda Mbeya au Mbeya kwenda Dar es Salaam. Ni kampuni yenye kutoa huduma za uhakika na zenye usalama zaidi. Kwa usafiri wa uhakika na haraka zaidi.

7. Dar Luxy
Kwenye kampuni nzuri na salama za usafiri wa mabasi kutoka Dar kwenda Mbeya Dar Luxy ni miongoni mwa kampuni nzuri zenye mabasi mazuri na yenye kutoa huduma nzuri kabisa. Kama unataka kusafiri kutoka Dar Kwenda Mbeya Basi Dar Luxy ni sehemu ya chaguzi zako za usafiri.

Makampuni mengine ya mabasi yanayotoa huduma ya usafirishaji wa abiria kutoka Dar kwenda Mbeya ni kama,Budget Coach, Ndenjela bus, Saibaba Express, Upendo Travellers, TSK Bus, Taqwa , Alsaedy high class, Alliance, JM Safari, Ottawa, Al hushoom , Hai Express na Sumry High Class.
Machaguo ya Mhariri;
1. Kampuni Za Mabasi Ya Dar To Morogoro | Mabasi ya Morogoro
2. Mshahara wa Rais wa Tanzania
3. Mshahara wa Mbunge Wa Tanzania Na Marupurupu Yake
5. Majukumu ya Jaji Mkuu wa Tanzania