MATANGAZO YA KAZI
BOFYA HAPA
KIKOSI cha Yanga SC vs Coastal Union 07 April 2025
Leo tarehe 7 April 2025 Klabu ya Yanga inaenda kuikalibisha klabu ya Coastal Union kutokea mkoani Tanga katika mchezo wa 24 wa ligi kuu ya ya NBC msimu wa 2024/2025. Yanga inakutana na Coastal Union ikiwa kileleni kwa ponti 61.
Kuelekea mcheo huu Kisiwa24 Blog Tuko hapa kuweza kukujuza kikosi rasmi cha Yanga SC kitakachoenda kucheza dhidi ya Coastal Union, Yanga vs Coastal Union FC. Hadi sasa kikosi bado hakijawekwa hadharani ila lisaa limoja kabla ya mchezo kuanza kitakua kimesha tajwa nasi tutakuwekea Hapa
KIKOSI cha Yanga SC vs Coastal Union 07 April 2025
MATANGAZO YA KAZI
BOFYA HAPA