TAMISEMI: FORM FIVE SELECTION 2025/2026

_________________________________________________

MATANGAZO YA AJIRA  KILA SIKU BOFYA HAPA

_________________________________________________

NOTES ZA KIDATO CHA 1 HADI 6 BOFYA HAPA

_________________________________________________

MAGROUP MAPYA YA WHATSAAP BOFYA HAPA

_________________________________________________
MATANGO YA AJIRA BOFYA HAPA
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA

Kikosi cha Simba vs CS Sfaxien Leo 05/01/2025

Filed in Michezo by on January 5, 2025 0 Comments

Kikosi cha Simba vs CS Sfaxien Leo 05/01/2025 kombe la shirikisho Afrika (CAF Confederation Cup), wachezaji wa Simba watakaocheza dhidi ya CS Sfaxien, Habari leo 5 january 2025 klabu ya Simba iko nchini Tunisia ikisubili kuingia uwanjani kuminyana na klabu ya CS Sfaxien katika mcheo wa roundi ya 4 kwenye michuano ya CAF Confederation Cup 2024/2025.

Hapa katika kurasa hii tutaenda kukuwekea kikosi kitakachoenda kucheza na klabu ya CS Sfaxien leo, kama wewe ni shabiki wa Simba na ungetamani kufahamu ni wacheaji gani waliopangwa katika kikosi ili kucheza na klabu ya CS Sfaxien basi hapa utaweza kupata taarifa zote za kikosi hicho.

Kikosi cha Simba vs CS Sfaxien Leo 05/01/2025

Hapa chini tutaenda kukuwekea kikosi kitakacho cheza katika mchezo wa leo pindi kitakapokua tayari kimeweza kutajwa. Ila kwa sasa tutakuwekea majina ya wachezaji walioweza kusafiri kwenda Tunisia ili kuunda kikosi kitakachoweza kucheza na klabu ya Kikosi cha Simba vs CS Sfaxien Leo 05/01/2025

Walinda Mlango (Goalkeepers)

  1. Mouse Camera
  2. Hussin Abel
  3. Ally Salim

Safu ya Ulinzi (Defenders)

  1. Karaboue Chamau
  2. Che Malone Fondoh
  3. Valentin Nouma
  4. Abrazak Hamza
  5. Mohamed Hussein
  6. Shomari Kapombe
  7. Kelvin Kijili

Safu ya Viungo (Midfielders)

  1. Mzamiri Yasin
  2. Awesu Awesu
  3. Fabrice Ngoma
  4. Jean Charles Ahour
  5. Yusuph Kagoma
  6. Elie Mpanzu
  7. Augustine Okejepha
  8. Kibu Denis
  9. Debora Fenandes
  10. Ladaki Chasamba

Safu ya Ushambuliaji (Strikers)

  1. Leonel Ateba
  2. Steven Mukwale

Hapo juu ndio wachezaji walioweza kusafiri kutoka Tanzania kwenda Tunisia, Tunatumaini kikosi cha Simba vs CS Sfaxien kitatoka kwenye orodha hiyo hapo juu.

Mara baada ya kutangazwa kwa kikosi basi sisi kama Kisiwa24 tutakiweka kikosi hicho katika ukurasa huu. mchezo huu wa Simba vs CS Sfaxien unatarajiwa kuanza majira ya saa 07:00 PM na kikosi cha Simba kitakua wazi saa moja kabla ya mchezo Kuanza.

Matarajio ya Mashabiki wa Simba

Mashabiki wengi wa Simba wanatarajia kuona kikosi kizuri na chenye ushindani kwani matumaini ya mashabi ni kuona Simba ikishinda mchezo huu ili kuweza kujiweka katika nafsi nzuri na yenye matumaini katika konga mbele kuelekea kwenye  hatua ya robo fainali ya michuano ya kombe la shirikisho Afrika (CAF Confederation Cup)

Mapendekezo ya Mhariri;

1. Matokeo ya CS Sfaxien vs Simba Leo 05/01/2025

2. CS Sfaxien vs Simba SC Leo 05 January 2025  Saa Ngapi?

3. RATIBA ya Mechi za Yanga Mwezi Januari 2025

4. Kikosi cha simba kilicho safiri kuelekea TUNISIA

MATANGO YA AJIRA BOFYA HAPA
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *