Kikosi Cha Mashujaa vs Tanzania Prisons Ligi Kuu ya NBC Premier Leo Ijumaa 23/08/2024
Habari hii na nyingine nyingi zinapatikana kwenye telegram channel yetu na WhatsApp channel yetu tumia linki hapo chini kujiunga
Mashujaa ni moja miongoni mwa klabu zinazoshiriki katika ligi kuu ya NBC Premier msimu huu wa mwak 2024/2025. Kama ilivyo kwa timu nyingine klabu hii ilijidhatiti katika kutengeneza kikosi chake ili kuhakikisha inafanya vizuri katika michezo yake yote ndani ya ligi kuu ya NBC.
Hapa tunakuletea majina ya wachezaji ambao wanatengeneza kikosi cha klabu ya Mashujaa kwa msimu huu wa 2024/2025 na ndio kikosi tunachokitarajia kucheza katika mechi ya mzunguko wa pili katika ligi kuu ya NBC Prepmier dhidi ya Tanzania presons

Kikosi Cha Mashujaa vs Tazania Presons Leo Ijumaa 23./08/2024
Hapa chini ni listi ya wachezaji wa mashujaa wanao fikiliwa kucheza dhidi ya Tanzania Presons leo ijumaa 23/8/2024 katika ligi kuu ya NBC Premier msimu wa 2024/2025 katika mzunguko wa pili mkoani Kigoma;
1. Patrick Munthali — Namba 30
2. Ibrahim Mohamed — Namba 4
3. Baraka Mtuwi — Namba 6
4. Hassan Haji — Namba 14
5. Mpoki Mwakinyuke — Namba 20
6. Crispin Ngushi — Namba 22
7. Yusuf Dunia — Namba 23
8. Ally Nassoro — Namba 27
9. Abdulmalik Zakaria — Namba 29
10. Abdereheman Musa — Namba 33
11. Jafar Kibaya — Namba 39
12. Idrisa Stambuli — Namba 5
13. Abdulnasir Assa — Namba 7
14. Ismail Mgunda — Namba 10
15. Mapinduzi Balama — Namba 11
16. Seif Rashid — Namba 12
17. Nyenyezi Mangapi — Namba 21
18. Kassim Zuberi — Namba 24
19. David Uromi — Namba 28
20. Lameck Kanyonga — Namba 35
Kama tulivyosema hapo awali majian ya wachezaji hapo juu ndio yanayounda kikosi cha mashujaa kwa msimu huu wa 2024/2025 katika ligi kuu ya NBC Tanzania bara na miongoni mwa wachezaji hapo juu ndio wanao tarajiwa kuunda kikosi harisi kitakacho cheza dhidi ya Tanznaia Presons leo Ijumaa 23/08/2024.
Ratiba Ya ligi kuu Ya NBC Premier Msimu Wa 2024/2025
Ili kutazama latiba yote ya mizubguko yote ya ligi kuu ya NBC Premier BONYEZA HAPA
Msimamo wa ligi kuu Ya NBC Premier Msimu Wa 2024/2025