Jezi Mpya za Azam Fc Msimu 2025/2026
Klabu ya Azam imesha zindua jezi zake mpya zitakazoweza kutumika katika mashindano tofauti tofauti kwa msimu mpya wa 2025/2026.
Jezi hizo zilizozinduliwa siku ya jumapili ya tarehe 06 July kwenye maonesho ya Sikukuu za Saba saba zimetolewa katika matoleo ya aina tatu tofauti
Makala hii itaenda kukuonyesha picha za mwonekano wa jezi hizo mpya za Azam FC kwa msimu mpya wa 2025/2026
Jezi Mpya za Azam Fc Msimu 2025/2026
Hapa chini ni picha za jezi mpya za Azam Fc zitakazoenda kutumika kwenye msimu mpya wa 2025/2026
Jezi ya Nyumba
Hii ndio picha ya jezi itakayotumiwa na klabu ya Azam kwenye michezo yake ya nyumbani
Jezi ya Ugenini
Hii ndio picha ya jezi itakayotumiwa na klabu ya Azam kwenye michezo yake ya ugenini