VIGEZO vya Kupata Mkopo HESLB Ngazi ya Diploma 2025
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) ni taasisi ya serikali ya Tanzania iliyoanzishwa kwa lengo la kuwezesha wanafunzi wa Kitanzania wenye uhitaji wa kifedha kupata mikopo ya kugharamia elimu ya juu. HESLB hutoa mikopo kwa wanafunzi waliodahiliwa katika vyuo vikuu na taasisi mbalimbali za elimu ya juu ndani na nje ya nchi. Kupitia mikopo hii, wanafunzi
Continue reading