Michezo
KIKOSI cha Yanga vs Dodoma Jiji leo 22 June 2025

Leo ligi kuu ya NBC Tanzania Bar inaenda kukamilisha mchezo wke wa round ya mwisho ya 30 huku klabu ya Yanga ikienda kuikaribisha klabu ya Dodoma Jiji mchezo wa wisho kwa Dodoma jiji na mchezo wa 29 kwa klabu ya Yanga. Kisiwa24 tunakuletea vikosi vya timu zote 2 kuelekea mchezo huu. Malezo ya Mchezo Ligi: […]
MATOKE ya Mechi za Leo Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara Juni 18, 2025

Leo tunaenda kushuhudia mechi kadhaa za ligi kuu ya NBC Tanzania bara kwenye viwanja tofauti tofauti ikiwa ni michezo ya mzunguko wa 29 wa ligi kuu ya NBC. Kisiwa24 inakulete matokeo ya michezo yote kwenye kurasa hii moja. Ili kuweza kutizama matokeo ya kila mchezo Tafadhari bonyeza linki ya kwenye kila mechi hapo chini Azam […]
MATOKEO Yanga Sc vs Tanzania Prisons Leo Juni 18, 2025

Leo tunaenda kushuhudia mechi ya ligi kuu ya NBC Tanzania bara kati ya Tanzania Prisons vs Yanga Sc ikiwa ni mchezobwa round ya 29. Kuelekea mchezo huo Kisiwa24 Blog kwenye kurasa hii tutakuletea matokeo ya mchezo huu utakaopigwa kuanzia majira ya saa 10:00 za jion jijini Mbeya. MATOKEO Yanga Sc vs Tanzania Prisons Leo Juni […]
KIKOSI cha Yanga vs Tanzania Prisons Leo Jun 18, 2025

Leo Juni 18, 2025 ligi kuu ya NBC Tanzania bara inaenda kutimua vumbi huku klabu ya Yanga ikiikabili klabu ya Tanzania Prisons kwenye mchezo wa Round ya 29. KIKOSI cha Yanga vs Tanzania Prisons Leo Jun 18, 2025 Kuelekea mchezo huuu kisiwa24 tuko hapa kukujuza vikosi vya timu zote mbili vitakavyoenda kucheza kwenye mchezo wa […]
Club 10 Bora za Mpira wa Miguu Duniani

Mpira wa miguu ni mchezo unaovutia mamilioni kote ulimwenguni, na klabu kubwa hutawala kwa uwezo, ushindani na heshima. Kwa mujibu wa takwimu za hivi punde, ubora wa kila klabu hupimwa kwa michuano ya ndani na kimataifa, uwezo wa kiuchumi, na ushindi wa kombe muhimu. Katika makala hii, tutachunguza Club 10 bora duniani mwaka 2025, zilizochaguliwa kwa […]
Dabi 5 bora zaidi duniani

Uraisani wa mpira wa miguu unaweza kuwa mkali zaidi kuliko hata kinyang’anyiro cha kitaifa. Ni pale timu mbili kutoka jiji moja au eneo karibu zinapokutana, na mzigo wa historia, fadhila za kikabila, au uadui wa kisiasa unavyozidi kuongeza moto. DERBY 5 bora zaidi duniani zinajivunia historia ndefu, uwezo wa kuchekesha, na hisia kali zinazochochea mashabiki milioni. Hapa […]
Ligi 10 Bora Duniani

Katika ulimwengu wa soka, ligi mbalimbali duniani zinatofautiana kwa viwango vya ushindani, uwekezaji, idadi ya mashabiki, vipaji vya wachezaji, pamoja na mafanikio ya vilabu katika mashindano ya kimataifa. Makala hii inakuletea orodha ya ligi 10 bora duniani mwaka 2025, kulingana na vigezo vya kimataifa vya ubora wa ligi. English Premier League (EPL) – Uingereza Sababu […]
Yanga: Hatujawai Lipwa Misimu 3 na Hatuna Taarifa ya Kudaiwa TFF

Baada ya taarifa ya Yanga kujibiwa na shirikisho la mpira wa miguu Tanzania TFF kuhusu madai ya liyotolewa na mwanahabari wa klabu ya Yanga kupitia mkutano wa vyombo vya habari uliofanyika 09 June 2025 makao makuu ya klabu hiyo kuhusu kuidai TFF na Mdamini wa mashindano ya CRDB Federation Cup fedha za bingwa wa mshindano […]
TFF ya Kana Kudaiwa na Yanga Tsh Milioni 200

Baada ya tarifa zilizoweza kutolewa na mwana habari wa klabu ya Yanga Ally Kamwe mbele ya vyombo vya habari kua wanaidai TFF na wazamini wakuu wa kombe la shirikisho (CRDB Federation Cup) kiasi cha shiling Milioni 200 za zaawadi za mshindi wa michuano hiyo kwa msimu wa 2023/2024, TFF imetoa taarifa za kukanusha madai hayo. […]
RATIBA ya NBC Premier League 18 June 2025

Ikiwa ligi kuu ya NBC Tanzania bara inaelekea kumalizika kwa kusailia kwa mechi mbili kwa kila timu ukiacha ile ya Derby ya Kariakoo ambayo imepangwa kufanyika tarehe 15 June 2025. Hapa kisiwa24 tunakuletea michezo ya NBC Premier League tarehe 18 June 2025. RATIBA ya NBC Premier League 18 June 2025 KenGold vs Simba Sc 10:00 […]