Michezo
Msimamo UEFA Champions League 2025/2026
Msimamo UEFA Champions League 2025/2026 UEFA Champions League ni mashindano makubwa zaidi ya klabu barani Ulaya na yanajulikana kwa kuwaleta pamoja vilabu bora zaidi kutoka ligi mbalimbali. Msimu wa 2025/2026 umeanza kwa ushindani mkali, huku timu zikionesha uwezo wa hali ya juu . Katika kurasa hii, tunakuletea msimamo kamili wa Ligi ya Mabingwa Ulaya (UEFA […]
Ratiba ya Mechi za Simba SC NBC Premier League 2025/2026
Ratiba Kamili ya Simba SC NBC Premier League 2025/2026 Klabu ya Simba Sports Club inatarajiwa kuanza rasmi kampeni yake ya kusaka ubingwa wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara (NBC Premier League) kwa msimu wa 2025/2026 kwa mchezo wa kwanza dhidi ya Fountain Gate FC utakaopigwa tarehe 25 Septemba 2025. Baada ya mchezo huo wa […]
Ratiba ya Mechi za Yanga SC Msimu wa 2025/2026 Ligi Kuu ya NBC
Ratiba Kamili ya Yanga SC Msimu wa 2025/2026 Ligi Kuu ya NBC Klabu ya Young Africans SC (Yanga SC) ipo tayari kuanza kampeni yake ya kutetea taji la Ligi Kuu ya NBC kwa msimu wa 2025/2026, ambapo mchezo wa kwanza utakuwa dhidi ya Pamba Jiji FC mnamo 24 Septemba 2025 saa 19:00 jioni. Huu utakuwa […]
Matokeo Wiliete SC Vs Yanga Leo 19/09/2025
Matokeo Wiliete SC Vs Yanga Leo 19/09/2025 – Ligi ya Mabingwa Afrika (Hatua ya Awali ya Mtoano) Klabu ya Young Africans SC (Yanga SC) imewasili nchini Angola kwa ajili ya mchezo wa mkondo wa kwanza wa hatua ya mtoano ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu wa 2025/26. Timu hiyo ya Tanzania inatarajiwa kushuka dimbani Ijumaa […]
Matokeo ya Yanga vs Simba Leo 16/09/2025 (Fainali ya Ngao ya Jamii)
Matokeo ya Yanga vs Simba Leo 16/09/2025 (Fainali ya Ngao ya Jamii) Mashabiki wa soka nchini Tanzania hatimaye wamepata siku waliyoisubiri kwa hamu kubwa. Leo Septemba 16, 2025, macho yote yameelekezwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam, ambako vigogo wa soka nchini – Yanga SC na Simba SC – wanamenyana kwenye fainali […]
VIINGILIO Yanga Sc vs Simba Sc Ngao ya Jamii 16/9/2025
VIINGILIO Yanga Sc vs Simba Sc Ngao ya Jamii 16/9/2025 Ngao ya Jamii 2025 inatarajiwa kuwakutanisha tena mahasimu wakubwa wa soka nchini Tanzania, Young Africans SC (Yanga) na Simba SC, katika pambano la kukata na shoka litakalopigwa Jumanne, Septemba 16, 2025 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, jijini Dar es Salaam. Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) […]
KIKOSI Cha Simba vs Yanga Leo 16 September 2025
KIKOSI Cha Simba vs Yanga Leo 16 September 2025 Leo Simba Sc inaenda kuikabiri klabu ya Yanga katika mchezo wa Ngao ya Jamii kwa msimu mpya wa mwaka 2025. Mchezo huu utachezwa leo Jumanne ya tarehe 16 September 2025 katika uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam. Kuelekea mchezo huu blog yako pendwa ya […]
KIKOSI Cha Yanga vs Simba Leo16 September 2025
KIKOSI Cha Yanga vs Simba Leo16 September 2025 Leo Yanga Sc inaenda kuikabiri klabu ya Simba katika mchezo wa Ngao ya Jamii kwa msimu mpya wa mwaka 2025. Mchezo huu utachezwa leo Jumanne ya tarehe 16 September 2025 katika uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam Kuanzia majira ya saa 11:00 za jioni. Kuelekea […]
Listi ya Timu Zitakazoshiriki Ligi ya Mabingwa Afrika 2025/2026
Listi ya Timu Zitakazoshiriki Ligi ya Mabingwa Afrika 2025/2026 Shirikisho la Soka Afrika (CAF) Lathibitisha Vilabu Washiriki Ligi ya Mabingwa Afrika 2025/26 Mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika 2025/26 yamepata msisimko mpya baada ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF) kuthibitisha rasmi orodha ya vilabu vitakavyoshiriki. Jumla ya vilabu 58 kutoka mataifa 48 ya Afrika vitashindana […]
Tiketi na Bei ya Viingilio vya Wiki ya Mwananchi 2025
Tiketi na Bei ya Viingilio vya Wiki ya Mwananchi 2025 Tiketi na Bei ya Viingilio vya Wiki ya Mwananchi 2025 – Timu ya Yanga imeanza kuuza tiketi za tamasha la kilele cha Wiki ya Mwananchi 2025, litakalofanyika tarehe 12 September 2025 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa. Hii ni fursa muhimu kwa mashabiki wa Yanga kujumuika […]










