MATOKEO Yanga Sc vs Pamba Jiji Fc Leo 24/09/2025 Ligi Kuu NBC

Filed in Michezo by on September 24, 2025 0 Comments

MATOKEO Yanga Sc vs Pamba Jiji Fc Leo 24/09/2025

MATOKEO Yanga Sc vs Pamba Jiji Fc Leo 24/09/2025 Ligi Kuu NBC

Leo tarehe 24 Septemba 2025, klabu maarufu ya Yanga SC ni mwenyeji wa Pamba Jiji FC katika mchezo wa Ligi Kuu NBC ya Tanzania. Mashabiki wengi wanahamu ya kuona nani ataibuka na ushindi, na jinsi matokeo hayo yatakavyokuwa na athari kwenye msimamo wa ligi. Katika kurasa hii, tutatoa ripoti ya matokeo, uchambuzi wa mechi, takwimu muhimu, makadirio kabla ya mchezo, pamoja na athari kwenye msimamo wa ligi.

Matokeo & Muhtasari wa Mchezo

  • Mchezo: Yanga SC vs Pamba Jiji FC

  • Tarehe: 24 Septemba 2025

  • Uwanja: Benjamin Mkapa Stadium, Dar es Salaam

BOYEZA HAPA KUTAZAMA MATOKEO

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WhatsApp Channel Join Now!