Michezo

VIINGILIO Yanga SC vs Coastal Union 07 April 2025

Filed in Michezo by on April 6, 2025 0 Comments

VIINGILIO Yanga SC vs Coastal Union 07 April 2025 Siku ya jumatatu ya tarehe 07 April 2025 mabingwa watetezi wa Ligi kuu ya NBC Tanzania bara Yanga SC itaenda kucheza mchezo wake unaofuta wa 24 na klabu ya Coastal Union katika uwanja wa KMC Complex jijini Dar es Salaam. Kuelekea mchezo huo wenyeji Yanga kupitia […]

Continue Reading »

Matokeo ya Al Masry vs Simba SC Leo 2 April 2025

Filed in Michezo by on April 2, 2025 0 Comments

Matokeo ya Al Masry vs Simba SC Leo 2 April 2025 Hatimaye mchezo wa mkondo wa kwanza wa Kombe la shirikisho Barani Afrika 2024/2025 (CAF Confederation Cup 2024/2025) kwa klabu ya Simba kutoka Tanzania na Al Masry kutoka Misri utafanyika leo tarehe 02 April 2025 nchini Misri kwenye uwanja wa Suez kuanzia majira ya Saa […]

Continue Reading »

Historia Ya Cristiano Ronaldo

Filed in Michezo by on April 1, 2025 0 Comments

Historia Ya Cristiano Ronaldo Historia Ya Cristiano Ronaldo, Cristiano Ronaldo dos Santos Aveiro, maarufu kama Ronaldo, ni jina linalong’ara katika ulimwengu wa soka. Kuzaliwa kwake tarehe 5 Februari 1985 katika kisiwa cha Madeira, Ureno, kuliashiria mwanzo wa safari ya kipekee katika mchezo huu unpendwao na wengi duniani. Historia Ya Cristiano Ronaldo Maisha ya Utotoni na […]

Continue Reading »

Kikosi cha Simba SC vs Al Masry Leo 2 April 2025

Filed in Michezo by on April 1, 2025 0 Comments

Kikosi cha Simba SC vs Al Masry Leo 2 April 2025 Kikosi cha Simba vs Al Masry leo 2 April Robo Fainal kombe la Shirikisho Afrika 2024/2025 (CAF Confederation Cup 2024/2025). Habari mwana Simba je unahitaji kufahamu kikosi kinachoenda kuvaana na Al Masry katika mchezo wa Robo faili hatua ya kwanza mchezo utakaofanyika katika uwanja […]

Continue Reading »

WAFUNGAJI Bora Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania 2024/2025

Filed in Michezo by on March 31, 2025 0 Comments

WAFUNGAJI Bora Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania 2024/2025 Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania imekuwa na msimu wenye ushindani mkubwa, huku wachezaji mbalimbali wakionyesha ubora wao katika ufungaji wa mabao. Katika msimu wa 2024/2025, wachezaji kadhaa wamejitokeza kama wafungaji bora, wakiongoza kwa mabao mengi na kusaidia timu zao kufanikisha matokeo bora. Katika makala hii, tutazame kwa […]

Continue Reading »

Msimamo Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania (TWPL) 2024/2025

Filed in Michezo by on March 31, 2025 0 Comments

Msimamo Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania (TWPL) 2024/2025 Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania (TWPL) ni mashindano ya juu zaidi kwa soka la wanawake nchini Tanzania. Ligi hii inaratibiwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na inajumuisha timu bora zaidi kutoka maeneo mbalimbali nchini. Ligi hii inaendelea kupata umaarufu kutokana na kiwango cha juu […]

Continue Reading »

Vinara wa Magoli ya Vichwa Ligi kuu ya NBC Tanzania Bara 2024/2025

Filed in Michezo by on March 31, 2025 0 Comments

Vinara wa Magoli ya Vichwa Ligi kuu ya NBC Tanzania Bara 2024/2025 Huku ikiwa ligi kuu ya Tanzana bara imeingia msimu wa 2 na wachezaji wakizidi kuonyesha umahiri wao katika kufunga magoli kuelekea kumsaka mfungaji bora wa msimu wa 2024/2025. Hapa katika makala hii tutaenda kukuwekea listi ya vinara wa magoli ya vichwa katika ligi […]

Continue Reading »

Ligi ya NBC Tanzania Bara Nafasi 4 Kwa Ubora Afrika

Filed in Michezo by on March 31, 2025 0 Comments

Ligi ya NBC Tanzania Bara Nafasi 4 Kwa Ubora Afrika Shirikisho la Kimataifa la Historia na Takwimu za Mpira wa Miguu (IFFHS) limeitangaza @ligikuu ya Tanzania (NBC Premier League) kuwa Ligi ya nne (4) kwa ubora barani Afrika na ya 57 duniani kwa mwaka 2024. Shirikisho la Kimataifa la Historia na Takwimu za Mpira wa […]

Continue Reading »

Wafungaji Bora wa Muda Wote La Liga (Ligi Kuu Hispania)

Filed in Michezo by on March 26, 2025 0 Comments

Wafungaji Bora wa Muda Wote La Liga (Ligi Kuu Hispania) Wafungaji Bora wa Muda Wote La Liga (Ligi Kuu Hispania),Hbari mwanamichezo wa Habrika24, karibu katika posti hii ya kimichezo ambayo itaenda kukujuza juu ya Wafungaji Bora wa Muda Wote La Liga (Ligi Kuu Hispania), Kama wewe ni mwanasoka na mfuatiliaji wa ligi kuu ya Hispania […]

Continue Reading »

CV ya Mamadou Samake Mchezaji Mpya wa Azam FC

Filed in Michezo by on March 13, 2025 0 Comments

CV ya Mamadou Samake Mchezaji Mpya wa Azam FC Azam FC, klabu ya soka inayoshiriki Ligi Kuu ya Tanzania, imetangaza usajili wa mchezaji mpya, Mamadou Samake. Usajili huu umezua shauku kubwa miongoni mwa mashabiki wa timu hiyo na wapenzi wa soka nchini Tanzania. Katika makala hii, tutaangazia CV ya Mamadou Samake na kuchambua kile anachokuja […]

Continue Reading »

WhatsApp Channel Join Now!