Michezo

Ratiba Ya Mechi Za KenGold FC Ligi Kuu Ya NBC 2024/2025

Filed in Michezo by on March 13, 2025 0 Comments

Ratiba Ya Mechi Za KenGold FC Ligi Kuu Ya NBC 2024/2025 Ni siku nyingine tena mpenzi mfuatiliaji wa blog yako pendwa sana kwa taarifa za michezo,ajira na makala mbalimbali ya Habarika24. Karibu kati ukrasa huu wa ambao utakupa fursa ya kutazama ratiba kamili ya mechi zote za KenGold katika ligi kuu ya Nbc Premier msimu […]

Continue Reading »

Vituo vya TIKETI Yanga vs Simba 8 March 2025

Filed in Michezo by on March 5, 2025 0 Comments

Vituo vya TIKETI Yanga vs Simba 8 March 2025 Mechi kati ya Yanga SC na Simba SC daima imekuwa kivutio kikubwa kwa mashabiki wa soka nchini Tanzania. Kwa kuwa mchezo huu wa watani wa jadi unatarajiwa kuchezwa tarehe 8 Machi 2025, mashabiki wanajiandaa mapema kupata tiketi zao. Katika makala hii, tunakupa maelezo ya kina kuhusu […]

Continue Reading »

Viingilio Mechi ya Derby Yanga vs Simba 8 Machi 2025

Filed in Michezo by on March 5, 2025 0 Comments

Viingilio Mechi ya Derby Yanga vs Simba 8 Machi 2025 Mechi kati ya Yanga SC na Simba SC ni moja ya michezo inayosubiriwa kwa hamu kubwa na mashabiki wa soka nchini Tanzania na hata Afrika Mashariki kwa ujumla. Kila mara timu hizi zinapokutana, viwanja hutikiswa na shangwe za mashabiki wakali wa soka. Tarehe 8 Machi […]

Continue Reading »

KIKOSI Cha Simba vs Coastal Union 01 March 2025

Filed in Michezo by on February 28, 2025 0 Comments

KIKOSI Cha Simba vs Coastal Union 01/02/2025 Leo Jumamosi ya tarehe 1 March 2025 ligi kuu ya NBC Tanzania bara inaendelea kutimua vumbi katika uwanja wa Al Hassan Mwinyi kwa mchezo mmoja utao zikutanisha timu za Simba SC vs Coastal Union Huku mwenyeji wa mchezo huo ikiwa ni klabu ya Coastal Union. Mchezo huu unatarajiwa […]

Continue Reading »

Ratiba ya Nusu Fainali Samia Women Super Cup 2025

Filed in Michezo by on February 28, 2025 0 Comments

Ratiba ya Nusu Fainali Samia Women Super Cup 2025 Michuano ya Samia Women Super Cup 2025 imefikia hatua ya nusu fainali, ikileta msisimko mkubwa kwa wapenzi wa soka la wanawake nchini Tanzania. Timu nne zimefuzu katika hatua hii muhimu, na mechi zinatarajiwa kuwa na ushindani wa hali ya juu. Katika makala hii, tutakuletea ratiba kamili […]

Continue Reading »

MATOKEO Coastal Union vs Simba SC 01/03/2025

Filed in Michezo by on February 28, 2025 0 Comments

MATOKEO Coastal Union vs Simba SC 01/03/2025 Leo tarehe 1 Morch 2025 ligi kuu ya NBC Tanzania bara inatarajiwa kuendelea kutimua vumbi huku klabu ya Coastal Union ikiwakaribisha Simba Sc mkoani Tanga. Mchi hii ya Coastal Union vs Simba SC inataeajiwa kuchezwa katika mkoa wa Arusha huku Coastal wakiwa ndio wenyeji wa mchezo, mchezo utakaopigwa […]

Continue Reading »

Msimamo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara 2024/2025

Filed in Michezo by on February 23, 2025 0 Comments

Msimamo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara 2024/2025 Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara msimu wa 2024/2025 imekuwa na ushindani mkubwa, ikishuhudia timu zikionyesha uwezo wa hali ya juu katika viwanja mbalimbali nchini. Mashabiki wamefurahia mechi za kusisimua, huku vikosi vikijitahidi kuonyesha ubora wao na kupanda kwenye msimamo wa ligi. Katika makala hii, tutachambua […]

Continue Reading »

Kikosi cha Azam FC vs Simba SC tarehe 24 Februari 2025

Filed in Michezo by on February 23, 2025 0 Comments

Kikosi cha Azam FC vs Simba SC tarehe 24 Februari 2025 Tunapokaribia mchezo wa kusisimua kati ya Azam FC na Simba SC, utakaofanyika tarehe 24 Februari 2025 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam, mashabiki wanatarajia kuona mchezo wa kiwango cha juu. Mchezo huu ni sehemu ya raundi ya 21 ya Ligi Kuu […]

Continue Reading »

Kikosi Cha Yanga SC vs Mashujaa FC Leo 23/02/2025

Filed in Michezo by on February 23, 2025 0 Comments

Kikosi Cha Yanga SC vs Mashujaa FC Leo 23/02/2025 Maelezo ya Mchezo Tarehe: 23 Februari 2025 Muda: Saa 10:15 Jioni Uwanja: Lake Tanganyika, Kigoma Mchezo wa leo kati ya Yanga SC na Mashujaa FC ni miongoni mwa mechi muhimu katika msimu wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara. Yanga SC, mabingwa watetezi, wanatafuta kuimarisha nafasi […]

Continue Reading »

Kikosi Cha Simba SC vs Azam FC leo 24 February 2025

Filed in Michezo by on February 21, 2025 0 Comments

Kikosi Cha Simba SC vs Azam FC leo 24 February 2025 Mchezo mkubwa wa ligi kuu ya NBC unasubiriwa kwa hamu kubwa leo kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa, ambapo wanamichezo wakubwa Simba SC na Azam FC watakutana. Mchezo huu unatarajiwa kuanza saa 10:00 jioni. Maandalizi ya Timu Simba SC wamejipanga vizuri kwa mchezo huu muhimu. […]

Continue Reading »

WhatsApp Channel Join Now!