Michezo
VIINGILIO Mechi ya Simba Sc vs Stellenbosch Fc 20 April 2025
VIINGILIO Mechi ya Simba Sc vs Stellenbosch Fc 20 April 2025 Baada ya Simba Sc kutinga hatua ya NUfu fainali ya kombe la shirikisho Afrika (CAF Confederation CUP SEMI FINAL 2024/2025) Kwa kuchakaza klabu ya Al Masry kutoka nchini Misry kwa mikwaju ya penalti tarehe 20 April 2025 itaenda kuwakalibisha klabu ya Stellenbosnch Fc kutokea […]
Historia ya Yanga SC Kushuka Daraja
Historia ya Yanga SC Kushuka Daraja Yanga SC ni moja kati ya vilabu vya soka vinavyovumilia na kuwa na ushikamano mkubwa nchini Tanzania. Hata hivyo, klabu hii imepitia vipindi vigumu, ikiwa ni pamoja na kushuka daraja mwaka 1982. Hii ni hadithi ya kuvutia inayoelezea jinsi timu kubwa ilivyopoteza nafasi yake katika Ligi Kuu na kufungwa […]
Takwimu za Simba na Yanga Kufungana
Takwimu za Simba na Yanga Kufungana Mechi kati ya Simba na Yanga sio tu ni mashindano ya kandanda bali pia ni vita vya utamaduni na hisia kati ya mashabiki wengi nchini Tanzania. Takwimu za Simba na Yanga kufungana zinaonyesha mienendo ya timu hizi katika mikutano yao ya kirafiki na ya ligi. Katika makala hii, tutachambua […]
KIKOSI cha Azam Fc vs Yanga Sc 10 April 2025
KIKOSI cha Azam Fc vs Yanga Sc 10 April 2025 Leo tarehe 10 April 2025 Ligi ya NBC inaenda kutimua vumbi huku ikizikutanisha timu mbili kweny Derby ya Dar es Salaam, Azam Fc vs Yanga Sc. Wakazi na wapenzi wa soka jijini Dar es Salaam leo majira ya saa moja za usiku wanenda kuhamishia macho […]
KIKOSI cha Yanga SC vs Azam Fc 10 April 2025
KIKOSI cha Yanga SC vs Azam Fc 10 April 2025 Leo tarehe 10 April 2025 Ligi kuu ya NBC inaendea huku tukienda kushuhudia derby ya Dar ikizikutanisha miamba 2 wa ligi kuu ya NBC katika mzunguko wa pili Yanga Sc vs Azam Fc,Yanga Sc inaenda kuikabili klabu ya Azam katika uwanja wa Azam Complex Chamazi […]
Ratiba ya Simba Sc Nusu Fainali CAF Confederation Cup 2024/2025
Ratiba ya Simba Sc Nusu Fainali CAF Confederation Cup 2024/2025 Rasmi Simba Sc klabu imetinga hatua ya nus Fainali za kombe la Shirikisho barani Afrika (CAF Confederation Cup) kwa msimu wa 2024/2025 baada ya kuchapa na kuitoa klabu ya Al Masry katika hatua ya robo fainali kwenye mchezo wa pili uliofanyika Jijini Dar es Salaam […]
Kikosi cha Simba SC vs Al Masry Leo 09 April 2025
Kikosi cha Simba SC vs Al Masry Leo 09 April 2025 Baada ya mchezo wa Awamu ya kwanza wa robo fainali ya kombe la shirikisho Afrika (CAF Confederation Cup) kati ya Al Masry vs Simba Sc uliofanyika nchini Misri na Simba kuweza kupoteza kwa kufungwa goli 2 kwa 0, leo tarehe 09/04/2025 mchezo wa marudiano […]
Utajiri wa Mchezaji Cristiano Ronaldo
Utajiri wa Ronaldo: Mmiliki wa Ulimwengu wa Soka na Mali Isiyohamishika Cristiano Ronaldo dos Santos Aveiro, anayejulikana kwa jina maarufu Ronaldo, si tu mchezaji wa soka wa kiwango cha juu bali pia ni mjasiriamali mashuhuri duniani. Utajiri wake mkubwa umevuka mipaka ya viwanja vya michezo na kuenea hadi kwenye uwekezaji wa mali isiyohamishika, biashara, mikataba […]
Umri wa Ronaldo na Messi
Umri wa Ronaldo na Messi Katika ulimwengu wa soka, hakuna majina yanayojulikana zaidi kuliko Cristiano Ronaldo na Lionel Messi. Wamekuwa wakilinganishwa kwa zaidi ya muongo mmoja, si tu kwa vipaji vyao vya kipekee bali pia kwa mafanikio yao ya kuvutia ndani na nje ya uwanja. Moja ya maswali yanayoulizwa sana na mashabiki ni kuhusu umri […]
KIKOSI cha Yanga SC vs Coastal Union 07 April 2025
KIKOSI cha Yanga SC vs Coastal Union 07 April 2025 Leo tarehe 7 April 2025 Klabu ya Yanga inaenda kuikalibisha klabu ya Coastal Union kutokea mkoani Tanga katika mchezo wa 24 wa ligi kuu ya ya NBC msimu wa 2024/2025. Yanga inakutana na Coastal Union ikiwa kileleni kwa ponti 61. Kuelekea mcheo huu Kisiwa24 Blog […]










