Michezo
TETESI Za Usajili Simba SC 2025/2026
TETESI Za Usajili Simba SC 2025/2026,Simba SC, klabu inayodumu kuwa kiongozi katika soka la Tanzania na Bara la Afrika, tayari imeanza maandalizi ya dirisha la usajili kwa ajili ya msimu wa 2025/2026. Katika makala hii tutajifunza kuhusu TETESI Za Usajili Simba SC 2025/2026, wachezaji wanaojitokeza kwenye orodha ya msajili, walioondoka, pamoja na malengo na mikakati […]
Jezi Mpya Za Simba Sc Kimataifa 2025/2026
Simba SC, moja ya vilabu vikuu vya Tanzania na Afrika Mashariki, imezindua jezi mpya za kimataifa kwa msimu wa 2024/2025. Jezi hizi zimeundwa kwa kuzingatia utamaduni wa klabu, mabadiliko ya kiteknolojia, na mahitaji ya wapenzi duniani kote. Muundo Na Rangi Za Jezi Mpya Za Simba SC Dhana Nyuma Ya Ubunifu Kulingana na tovuti rasmi ya […]
MATOKEO JKT Tanzania vs Simba Sc Leo 05 May 2025
Leo ligi kuu ya NBC Tanzania Bara inaenda kutimua vumbi huku tukishuhudia wekundu wa msimbazi Simba Sc wakiwakabili JKT Tanzania katika uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo. Simba anawafuta JKT Tanzania akiwa na historia ya ushindi wa goli 1 kwa 0 katika mchezo wa mzunguko wa kwanza uliofanyikia katika uwanja wa KMC Complex jijini Dar es […]
KIKOSI cha Simba Sc vs JKT Tanzania Leo 05 May 2025
Baada ya ushindi wa goli 2 kwa 1 dhidi ya klabu ya Mashujaa kutoka kigoma mchezo uliopigwa kwenye uwanja wa nyumbani wa klabu ya wekundu wa msimbazi Simba KMC Complex jijini Dar es Salaam leo tarehe 5 Mei 2025 Simba inawakabili tena JKT Tanzania. Mchezo huu wa marudiano ya mzunguko wa pili wa ligi kuu […]
Orodha ya Timu Zinazoshiriki Michuano ya FIFA Club World Cup 2025
Michuano ya FIFA Club World Cup 2025 inatarajiwa kuwa ya kihistoria zaidi, kwa kuwa itakuwa mara ya kwanza kufanyika kwa mfumo mpya wa kushirikisha vilabu 32 kutoka mabara yote duniani. Mashabiki wa kandanda wanasubiri kwa hamu kuona bingwa wa vilabu wa dunia atakayeibuka mshindi katika toleo hili la kipekee litakalofanyika nchini Marekani kuanzia Juni hadi […]
Ratiba ya Makundi FIFA Club World Cup 2025
FIFA Club World Cup 2025 inatarajiwa kuwa moja ya michuano mikubwa zaidi kuwahi kufanyika katika historia ya soka la vilabu. Kwa mara ya kwanza, mashindano haya yatahusisha timu 32 kutoka mabara mbalimbali, na yatafanyika nchini Marekani kuanzia 14 Juni hadi 13 Julai 2025. Tofauti na toleo la zamani la timu 7, toleo hili jipya linachukua […]
Kikosi cha Yanga Sc vs JKU Sc leo 1 May 2025
Leo ndio fainali za kombe la muungano CUP lililokua likifanyika Zanzibar. Fainali hizo zitaenda kuanza majira ya saa 19:00 za jioni kwa kuzikutanisha timu za Yanga sc vs JKU Sc. Kuelekea mchezo huo kisiwa24 Blog tunakuletea kikosi cha Yanga Sc kitakachoenda kukipiga na na klabu ya JKU Sc kweye fainbali hiyo ya Muungano CUP kuanzia […]
VIINGILIO Simba Sc vs Mashujaa 5 May 2025
Baada ya kipindi kilefu klabu ya wekundu wa msimbazi Simba Sc kusimama kucheza mechi za ligi kuu ya NBC Tanzania bara hatimae 2 May 2025 inarejea tena katika michuano ya ligi kuu ya NBC kwa kuwakaribisha Mashujaa FC katika uwanja wa KMC Complex majira yasaa 4:00 jioni jijini Dar es Salaam. Kuelekea mchezo huo Simba […]
Timu za Afrika Zilizofuzu Kushiriki FIFA Club World Cup 2025
FIFA Club World Cup 2025 ni toleo la kihistoria kwa sababu ni mara ya kwanza litajumuisha timu 32 kutoka mabara yote, na litafanyika nchini Marekani. Afrika imepewa nafasi nne (4) kwa ajili ya klabu zilizofanya vizuri katika mashindano ya CAF Champions League kati ya mwaka 2021 hadi 2024. Katika makala hii, tutaangazia vilabu vya Afrika […]
CV ya Elie Mpanzu Mchezaji Mpya wa Simba SC
CV ya Elie Mpanzu Mchezaji Mpya wa Simba SC CV ya Elie Mpanzu, Habari mwana Kisiwa24, karibu kwenye makala hii fupi itakayoenda kuangazia CV ya Elie Mpanzu mchezaji aliyesajiliwa na klabu ya wekundu wa msimbazi hivi karibuni kama winga wa kulia ili kuimalisha kikosi cha Simba SC kwenye msimu huu wa ligi kuu ya NBC […]










