Michezo
Vinara wa Clean Sheets CAF Confederation CUP 2024/2025
Ikiwa sasa kombe la shirikisho Afrika limefikia hatua ya Fainali kwa kubakiwa na timu 2 tu Simba Sc ya kutokea nchini Tanzani na RS Berkane ya Nchini Morocco, Huku ikitazamiwa mchezo wa duru ya kwanza kufanyika tarehe 17 May 2025 nchini Morocco na mchezo wa duru ya pili kufanyika 27 May 2025 nchini Tanzania. Maelezo […]
KIKOSI Cha Simba Sc vs RS Berkane Leo 17 May 2025
Kikosi cha Simba Sc vs RS Berkane leo 17 May 2025, Baada ya safari ndefu ya michuano ya Kombe la shirikisho balani Afrika (CAF Confideration Cup) kwa myama Simba Sc hatimae nusu fainali ya mkondo wa kwanza imewadia. Leo tarehe 17 May 2025 klabu ya Simba itakua ugenini ikicheza mchezo wake wa kwanza wa nusu […]
MATOKEO Yanga Sc vs Namungo Fc Leo 13 May 2025
Leo tarehe 13 May 2025 wapenzi wa soka hasa kweney ligi kuu ya NBC wanaenda kushuhudia mechi kali kati ya Yanga Sc vs Namungo FC katika uwanaja wa KMC Complex kuanzia majira ya saa 10:15 za jioni. Mchezo huo wa 27 ikiwa ni mzunguko wa pili wa ligi kuu ya NBC utakua wa kuvutia sana […]
KIKOSI Cha Yanga Sc vs Namungo Fc Leo 13 May 2025
Leo ligi kuu ya NBC Tanzania bara inaenda kuendea huku klabu ya Yanga ikiialika klabu ya Namungo kwenye mchezo wa 27 wa mzunguko wa 2. Yanga wanakutana na Namungo baada ya muda mrefu wa map[umziko kupisha michezo ya viporo ya klabu ya Simba ya ligi kuu ya NBC msimu wa 2024/2025. Kuelekea mchezo huo Kisiwa24 […]
Wafungaji Bora Ligi ya Spain Laliga 2024/2025
Wafungaji Bora Ligi ya Spain Laliga 2024/2025, Vinara wa magoli Laliga Spain, Msimamo wa wafungaji bora Spain Laliga, Laliga top Scores 2024/2025,Top Goal Scorers LaLiga 2024/2025, Habari karibu kwenye kurasa hii fupi ya kimichezo ambayo itaenda kuangazia juu ya msimamo wa wafungaji bora kwenye ligi ya Spain Laliga. Msimu mpya wa ligi ya Spain Laliga […]
Msimamo wa Ligi Ya Spain Laliga 2024/2025
Msimamo wa Ligi Ya Spain Laliga 2024/2025, Laliga standing 2024, msimamo wa ligi ya Laliga msimu wa 2024,2025, Tazama msimamo wa ligi ya Spain 2024/2025 Habari mfuatiliaji wa ligi ya spain ya Laliga, katika makala hii tutaenda kuangali juu la msimamo wa ligi ya Spain Laliga kwa msimu wa 2024/2025 Kuhusu Ligi ya Laliga Hii […]
TAKIKWIMU ya Yanga Sc Hadi Sasa Ligi Kuu ya NBC 2024/2025
Yanga SC, klabu kubwa ya soka nchini Tanzania, imekuwa ikishiriki kikamilifu katika Ligi Kuu ya NBC msimu huu. Kwa kufuatilia takwimu zao hadi sasa, wapenzi wa soka wanaweza kuchambua utendaji wa timu hiyo katika michezo yao ya ligi. Utabiri wa Msimu wa Yanga SC Ligi Kuu ya NBC Yanga SC imekuwa miongoni mwa timu zinazotungulia […]
TAKWIMU ya Simba Sc Hadi Sasa Ligi Kuu ya NBC 2024/2025
Ikiwa ligi kuu ya NBC Tanzania Bara inaelekea mwishoni Kisiwa24 Blog tunakuletea takwimu za mwekundu wa msimbazi Simba Sc klabu tangu kuanza kwa ligi kuu ya NBC hadi kufikia sasa. Hapa tutatazama hasa michezo mingapi imecheza, imeshinda michezo mingapi, imefungwa michezo mingapi,imetoa sare michezo mingapi, tofauti ya magoli na iko katika nafasi ya ngapi kwenye […]
MATOKEO KMC vs Simba Sc leo 11 May 2025
Leo Jumapili ya tarehe 11 Mei 2025 wekundu wa msimbazi Simba Sc itakua ugenini ikichuana na klabu ya KMC katika uwanja wa KMC Complex Jijini Dar es Salaam Simba inaenda kuivaa KMC ikiwa na mwenedelezo mzuri wa matokeo katika michezo mitatu iliyopita ya vipolo huku mchezo wa mwisho ikiibuka na ushindi wa magoli 5 kwa […]
KIKOSI Cha Simba Sc vs KMC leo 11 May 2025
Baada ya ushondi wa goli 5 kwa 1 dhidi ya Pamba Jiji mchezo wa ligi kuu ya NBC uliofanyika katika uwanja wa KMC Complex klabu ya Simba leo 11 mei 2025 itakua ugenini dhidi ya wenteji wa mchezo KMC. Mchezo huu utafanyika kwenye uwanja wa KMC Complex kuanzia majira ya saa 10:00 za jion.Kuelekea mchezo […]










