Michezo
Makombe yenye Thamani Kubwa Barani Ulaya
Orodha ya Makombe yenye Thamani Kubwa Zaidi Barani Ulaya, Habari mwanamichezo wa Kisiwa24, Makala itaenda kuangazi makombe yenye thamani kubwa zaidi ulaya kwa ujumla wake. Kama wewe ni mpenzi wa soka basi sina shaka utakua na shahuku ya kutaka kufahamu miongoni mwa makombe unayoyafahamu ni kombe lipi linathamani zaidi ya jingine kwa ligi na michuano […]
Timu Yenye Magori Mengi Ligi Kuu Ya NBC 2024/2025
Katika msimu wa Ligi Kuu ya NBC 2024/2025, mashabiki wa soka nchini Tanzania wamekuwa wakifuatilia kwa makini sana maendeleo ya timu zao pendwa. Kila mechi imekuwa na mvuto wa kipekee, huku timu zikionyesha ubora mkubwa ndani ya dimba. Katika makala hii, tutachambua kwa kina timu yenye magoli mengi kwenye Ligi Kuu msimu huu, tukiangazia sababu […]
Idadi ya Makombe ya Manchester United
Manchester United, maarufu kama “Mashetani Wekundu,” ni moja ya vilabu vikubwa na vyenye mafanikio makubwa duniani. Kwa zaidi ya karne moja, Man United imejijengea historia tajiri ya ushindi, ikikusanya makombe mbalimbali katika michuano ya ndani na nje ya England. Katika makala hii, tutachambua kwa kina idadi ya makombe ya Manchester United hadi mwaka 2025, tukielezea […]
Wachezaji 10 Ghali Zaidi Afrika 2025
Afrika imeendelea kuwa kitovu cha vipaji vya soka duniani, ikitoa wachezaji wanaovutia vilabu vikubwa na dili nono kila msimu. Mwaka 2025 umeleta rekodi mpya kwa thamani ya wachezaji wa Afrika, huku wengine wakifikisha viwango vya juu vya fedha kutokana na uwezo wao wa kipekee. Katika makala hii, tutakuonyesha wachezaji 20 ghali zaidi Afrika 2025, pamoja […]
Orodha ya Vilabu Vyenye Utajiri Mkubwa Afrika 2025
Katika ulimwengu wa soka, siyo mafanikio ya uwanjani pekee yanayoleta heshima — utajiri wa vilabu pia ni kipimo muhimu cha hadhi na ushawishi. Afrika imekua na vilabu vinavyopiga hatua kubwa kifedha kutokana na uwekezaji mzuri, mashabiki wengi, mikataba ya udhamini, na mafanikio ya kimataifa. Katika makala hii, tutajadili kwa kina vilabu vyenye utajiri mkubwa Afrika […]
Ratiba ya Mechi Zilizobaki za Simba Sc Ligi Kuu ya NBC 2025
Simba Sports Club, moja kati ya vilabu vikubwa zaidi na vyenye mafanikio makubwa katika historia ya soka Tanzania na Afrika Mashariki, inaendelea kuonesha ukali wake katika msimu wa 2025. Tunawaletea ratiba kamili ya mechi za Simba SC kwa mwezi Mei 2025, ikiwa ni pamoja na mechi za Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC Premier League), michuano […]
Wafungaji Bora CAF Champions League 2024/2025
Wafungaji Bora CAF Champions League 2024/2025, Msimamo wa wafungaji bora ligi ya mabingwa Afrika 2024/2025, Vinara wa magoli ligi ya mabingwa Afrika 2024/2025, Orodha ya wafungaji wa muda wote CAF Champions League 2024/2025. Habari ya wakati huu mwanamichezo wa Kisiwa24 Blog karibu katika kurasa hii fupi ya kimichezo ambayo itaenda kukuonyesha orodha ya wafungaji bora […]
Timu Yenye Makombe Mengi Tanzania 2025
Katika historia ya michezo Tanzania, soka limeendelea kuwa mchezo unaopendwa sana na kuungwa mkono na mamilioni ya mashabiki kote nchini. Kwa miongo kadhaa, vilabu vingi vimejitokeza na kushindana kwa heshima, lakini ni timu chache tu ambazo zimeweza kujipatia sifa ya kuwa na makombe mengi Tanzania. Katika makala hii, tutazama kwa kina kuangazia timu zilizoongoza kwa […]
Wafungaji Bora Kombe la Shirikisho Afrika 2024/2025
Wafungaji Bora Kombe la Shirikisho Afrika 2024/2025, Wafungaji Bora CAF Confederation Cup 2024/2025, CAF Confederations Cup Standing 2024/2025,CAF Confederation Cup Top Scores 2024/2025. Vinara wa magoli kombe la Shirikisho Afrika 2024/2025, Habari mwanamichezo wa Kisiwa24 Blog Karibu katika makala yako pendwa ya kimichezo ambayo kwa tathmini ya kina itaenda kuangazia juu ya orodha ya wafungaji […]
CAF Yabadilisha Refa Mechi ya Stellenbosch vs Simba Sc
CAF Yabadilisha Refa Mechi ya Stellenbosch vs Simba Kuelekea mchezo wa nusu fainali kombe la shirikisho Afrika (CAF Confederation Cup Semi Final) duru ya pili kati ya Stellenbosch vs Simba Sc Shirikisho la mpira wa miguu barani Africa CAF limeamua kufanya mabadiliko ya ghafla ya refa aliyekua amepangiwa hapo awali kuchezesha mchezo huo siku ya […]










