Michezo
Jinsi ya Kununua Tiketi za Mpira kwa N Card, M-Pesa, Tigo Pesa na Airtel Money
Katika ulimwengu wa leo wa kidijitali, ununuzi wa tiketi za mpira umekuwa rahisi zaidi kupitia N Card. Hii ni njia salama na rahisi ya kuhakikisha unapata nafasi yako kwenye mchezo wako unaopendelea. Katika mwongozo huu, tutakuonesha hatua kwa hatua jinsi ya kununua tiketi zako ukitumia huduma mbalimbali za malipo ya simu. Maandalizi ya Awali Kabla […]
Jinsi ya Kununua Tiketi Za Mpira Airtel Money 2025
Jinsi ya Kununua Tiketi Za Mpira Kupitia Mtandao wa Airtel Money, Habari za wakati huu mwanamichezo wa Habarika24, karibu tena katika makara hii fupi itakayoenda kuangazia juu ya Jinsi ya Kununua Tiketi Za Mpira Kupitia Mtandao wa Airtel Money, kama wewe ni sabiki wa mpira wa miguu na ungependa kwenda kutazama mechi ya timu unayoishangilia […]
Kikosi Cha Simba Sc vs RS Berkane 25 May 2025
Baada ya mchezo wa duru ya kwanza wa fainali za kombe la shirikisho Afrika kati ya RS Berkane vs Simba Sc uliofanyika 17 May 2025 Nchini Morocco leo 25 May 2025 ni mchezo wa Duru ya Pili. Mchezo huu wa duru ya pili utafanyika nchini Tanzania Zanzibar visiwani katika uwanja wa Amaan leo jumapili kuanzia […]
Simba Sc vs RS Berkane Leo Saa Ngapi? Fainali CAF Confederation Cup
Simba vs RS Berkane Leo Saa Ngapi?, Fainali ya Kombe la Shirikisho(CAF Confederation Cup Fainal 2nd Leg): Simba SC vs RS Berkane Mei 25, Fainali ya pili ya Kombe la Shirikisho CAF, Saa 16:00 jioni. Leo tarehe 25 Mei 2025 klabu ya wekundu wa msimbasi Simba inaenda kuivaa klabu ya RS Berkane kutokea nchini Morocco […]
MATOKEO Ya Simba Sc vs RS Berkane 25 May 2025
Leo Tanzania na Afrika inaenda kupeleka umakini wake wote kwenye visiwa vya Zanzibar kushuhudia mchuano wa fainali ya pili ya kombe la shirikisho barani Afrika kati ya Simba Sc vs RS Berkane kwenye uwanja wa Amani Zanzibar. Mchezo huu ni mchezo wa duru ya pili, huku mchezo wa kwanza uliochezwa mnamo tarehe 17 May 2025 […]
RATIBA ya NBC Youth League 2025
RATIBA ya NBC Youth League 2025 Mwezi Mei tutaenda kushuhudi ligi ya NBC Youth kwa msimu wa mwaka 2025. Hapa Kisiwa24 Blog tumekuletea ratiba kamili ya michuano hiyo ya mwezi May 2025; Jumatatu 19 Mei 205 Simba Sc vs Dosoma Jiji, Saa 10:00 Jioni Azam Fc vs Kengold , Saa 1:00 Usiku Jumanne 20 May […]
KIKOSI Cha Yanga vs JKT Tanzania 18 May 2025
Baada ya Yanga Sc kutinga hatua ya nusu faibali ya kombe CRDB Federation CUP kwa masimu wa 2024/2025, leo 18 May 2025 inaenda kucheza mchezo wake wa nusu fainali na klabu ya JTK Tanzania. Mchezo huu wa fainali ya kwanza ya kombe la CRDB Federation CUP itafanyika jijini Tanga kuanzia majira ya saa 15:15 alasiri. […]
FIFA Club World Cup Live Ndani ya AzamTv 15 June 2025
FIFA Club World Cup 2025 ni toleo la kihistoria kwa sababu ni mara ya kwanza litajumuisha timu 32 kutoka mabara yote, na litafanyika nchini Marekani. Afrika imepewa nafasi nne (4) kwa ajili ya klabu zilizofanya vizuri katika mashindano ya CAF Champions League kati ya mwaka 2021 hadi 2024. Kuelekea michuano hii ya kidunuia inayoshirikisha vilabu mbalimbali duniani […]
MATOKEO RS Berkane vs Simba Sc 17 May 2025
MATOKEO RS Berkane vs Simba Sc 17 May 2025, Hatimae siku imewadia kwa mchuano wa nusufaninali ya kwanza ya kombe la shirikisho Afrika. Masikio na macho ya mashabiki wa mpira wa miguu Afrika na duniani leo 17 May 2025 yananda kujikita nchini Morocco kushuhudia pambano la kihistoria kati ya mnyama Simba Sc kutokea Tanzania na […]
Vinara wa Clean Sheets CAF Confederation CUP 2024/2025
Ikiwa sasa kombe la shirikisho Afrika limefikia hatua ya Fainali kwa kubakiwa na timu 2 tu Simba Sc ya kutokea nchini Tanzani na RS Berkane ya Nchini Morocco, Huku ikitazamiwa mchezo wa duru ya kwanza kufanyika tarehe 17 May 2025 nchini Morocco na mchezo wa duru ya pili kufanyika 27 May 2025 nchini Tanzania. Maelezo […]










