Michezo

VITA ya Ubingwa NBC Premier League 2024/2025

Filed in Michezo by on May 27, 2025 0 Comments

Ikiwa msimu wa 2024/2025 wa ligi kuu ya NBC Tanzania bara unaelekea mwisho vita ya nani atakua bingwa wa msimu  huu inaendelea kua kali huku timu kubwa za ligi hii Simba Scna Yanga Sc ziki zidi kuonyeshana ubabe. Hadi kufikia sasa ligi kuu ya NBC Tanzania bara imesalia na michezo 3 jumla ya michezo 27 […]

Continue Reading »

Simba Sc vs Singida Black Stars Nusu Fainali CRDB Federation CUP 31 Mei 2025

Filed in Michezo by on May 27, 2025 0 Comments

Baada ya kumalizana na michuano ya kombe la shirikisho barani Afrika wekundu wa msimbazi Simba Sc tarehe 31 Mei inaenda kutupa karata yake katika mchezo wa nusu fainali ya CRDB Federation Cup. Nusu fainali hii ya CRDB Federation Cup itawakutanisha wababe hawa wawili wa ligi kuu ya NBC Tanzania Bara Simba Sc vs Singida Black […]

Continue Reading »

KIKOSI Cha Simba sc vs Singida Black Stars 28 May 2025

Filed in Michezo by on May 27, 2025 0 Comments

Leo wekundu wa msimbazi Simba Sc kwenye uwanja wake wa nyumbani anaenda kuikalibisha klabu ya Singuda Black Stars katika mchezobwa 27 wa ligi kuu ya NBC Tanzania bara kwa msimi wa 2024/2025 ikiwa ni mchezo wa mzunguko wa 2. Mchezo huu umekuwa wa kipolo baada ya Simba kusimama kucheza mechi za ligi kuu ilibkushiriki fainali […]

Continue Reading »

Vitu Vilivyopigwa Marufuku Uwanjani Simba Sc vs Berkane 25 Mei 2025

Filed in Michezo by on May 25, 2025 0 Comments

Kuelekea mchezo wa fainali ya 2 ya kombe la shirikisho barani Afrika msimu wa 2024/2025 kati ya Simba Sc vs RS Berkane shirikisho la mpira barani Afrika limetoa orodha ya viti ambavyo haviruhusiwi kwa mashabiki kuweza kuingia navyo uwanjani. Na sisi kama wanasoka Kisiwa24 Blog tumekusigezea orodha kamili ya vitu vyote ambavyo vimepigwa marufuku kwa […]

Continue Reading »

Idadi ya Magoli ya Pele

Filed in Michezo by on May 24, 2025 0 Comments

Idadi ya Magoli ya Pele, Edson Arantes do Nascimento, anayejulikana zaidi kama Pelé, alikuwa mchezaji wa mpira wa miguu ambaye aliishi karne ya 20 na mapema karne ya 21. Aliheshimiwa sana kama mmoja wa wachezaji bora zaidi wa mchezo huo. Mojawapo ya sifa zake kubwa zaidi ilikuwa uwezo wake wa ajabu wa kufunga magoli, lakini […]

Continue Reading »

Ratiba Ya Ligi Kuu England 2025/2026 EPL

Filed in Michezo by on May 24, 2025 0 Comments

Ratiba Ya Ligi Kuu England 2025/2026(EPL Fixtures), English Premier League Fixtures 2025/2026, Ratiba ya EPL 2024/2025.Habari mwanamichezo ya habarika24, karibu katika makala hii ya kimichezo inayoenda kukupa mwongozo wa ratiba ya ligi kuu England 2025/2026, ratiba ya EPL. Msimu mpya wa ligi kuu ya uingereza EPL unaenda kuanza huku timu nyingi zinazoshiriki ligi hiyo zimejiandaa […]

Continue Reading »

Msimamo Wa Ligi Kuu Ya Italia Serie A 2025/2026

Filed in Michezo by on May 24, 2025 0 Comments

Msimao wa Ligi ya Italia Serie A 2025/2026, Serie A standing, Msimamo wa Serie A 2025/2026, Karibu katika makala hii amabyo itaenda kukuonyesha juu ya msimamo wa ligi kuu Italia Serie A ( Italian Serie A standing)  kwa msimu wa 2025/2026. Kama wewe ni mfuatiliaji wa mpira wa miguu na shabiki wa ligi kuu ya […]

Continue Reading »

Mchezaji mwenye Magoli Mengi Duniani 2025

Filed in Michezo by on May 24, 2025 0 Comments

Mchezaji mwenye Magoli Mengi Duniani 2025, Cristiano Ronaldo, Katika ulimwengu wa soka, kufunga magoli ni sanaa na wachezaji wanaofanikiwa kufanya hivyo kwa wingi huwa mashujaa wa mashabiki. Mwaka 2025 umeshuhudia ushindani mkali kati ya wachezaji bora duniani, lakini mmoja amejitokeza kuwa mfalme wa magoli. Mchezaji mwenye Magoli Mengi Duniani 2025 Cristiano Ronaldo Cristiano Ronaldo, ingawa […]

Continue Reading »

Jinsi ya Kununua Tiketi ya Mpira Kwa M-Pesa 2025

Filed in Michezo by on May 24, 2025 0 Comments

Jinsi ya Kununua Tiketi ya Mpira Kupitia Mtandao Wa M-pesa, Habari mwana michezo wa Kisiwa24 Blog, karibu katika makala hii fupi itakayoenda kukupa mwongozo juu ya jinsi ya kununua tiketi ya mpira kupitia Mtandao wa M-peasa. Hii ndio njia rahisi kama unahitaji kufika uwanjani na kushuhudia mechi. Je, umechoka kusimama foleni ndefu ili kununua tiketi […]

Continue Reading »

Wafungaji Bora wa Muda Wote UEFA Champions League

Filed in Michezo by on May 24, 2025 0 Comments

Orodha ya Wafungaji Bora wa Muda Wote UEFA Champions League,Habari ya wakati huu mwana Habarika24, karibu katika makala hii fupi ambayo itaenda kuangazia juu ya Orodha ya Wafungaji Bora wa Muda Wote UEFA Champions League. Kama wewe ni shabiki wa UEFA Champions League na umfuatiliaji basi hauna budi kufahamu juu ya wangungaji wa magori mengi […]

Continue Reading »

WhatsApp Channel Join Now!