Michezo
Ligi 10 Bora Duniani
Katika ulimwengu wa soka, ligi mbalimbali duniani zinatofautiana kwa viwango vya ushindani, uwekezaji, idadi ya mashabiki, vipaji vya wachezaji, pamoja na mafanikio ya vilabu katika mashindano ya kimataifa. Makala hii inakuletea orodha ya ligi 10 bora duniani mwaka 2025, kulingana na vigezo vya kimataifa vya ubora wa ligi. English Premier League (EPL) – Uingereza Sababu […]
Yanga: Hatujawai Lipwa Misimu 3 na Hatuna Taarifa ya Kudaiwa TFF
Baada ya taarifa ya Yanga kujibiwa na shirikisho la mpira wa miguu Tanzania TFF kuhusu madai ya liyotolewa na mwanahabari wa klabu ya Yanga kupitia mkutano wa vyombo vya habari uliofanyika 09 June 2025 makao makuu ya klabu hiyo kuhusu kuidai TFF na Mdamini wa mashindano ya CRDB Federation Cup fedha za bingwa wa mshindano […]
TFF ya Kana Kudaiwa na Yanga Tsh Milioni 200
Baada ya tarifa zilizoweza kutolewa na mwana habari wa klabu ya Yanga Ally Kamwe mbele ya vyombo vya habari kua wanaidai TFF na wazamini wakuu wa kombe la shirikisho (CRDB Federation Cup) kiasi cha shiling Milioni 200 za zaawadi za mshindi wa michuano hiyo kwa msimu wa 2023/2024, TFF imetoa taarifa za kukanusha madai hayo. […]
RATIBA ya NBC Premier League 18 June 2025
Ikiwa ligi kuu ya NBC Tanzania bara inaelekea kumalizika kwa kusailia kwa mechi mbili kwa kila timu ukiacha ile ya Derby ya Kariakoo ambayo imepangwa kufanyika tarehe 15 June 2025. Hapa kisiwa24 tunakuletea michezo ya NBC Premier League tarehe 18 June 2025. RATIBA ya NBC Premier League 18 June 2025 KenGold vs Simba Sc 10:00 […]
Vinara wa Assist Ligi Kuu ya NBC Tanzania 2025/2026
Vinara wa Assist Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara 2025/2026, Vinara wa Assist NBC Premier League 2025/2026,Vinara wa Assist NBC Premier League 2025/2026, Wafalme wa Pasi za Mwisho ligi kuu ya NBC Tanzania 2025/2026, Orodha ya Watoa Pasi za Mwisho Ligi Kuu Tanzania 2025/2026,Ligi Kuu NBC ya Tanzania inachukua nafasi muhimu katika soka la nchi, […]
Msimamo wa Ligi ya NBC Premier League 2024/2025
Msimamo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania 2024/2025, Ligi Kuu ya NBC ni moja ya ligi bora zaidi barani Afrika na huvutia mashabiki wengi kutoka ndani na nje ya Tanzania. Katika msimu wa 2024/2025, ligi hii imeendelea kuwa na ushindani mkubwa kati ya timu zinazoshiriki, huku timu kubwa kama Simba SC, Young Africans, na Azam […]
RATIBA ya Mechi Za Simba Sc June 2025 NBC
Ikiwa zimebaki mechi tatu tu ili iligi ya NBC Tanzania bara iweze kukuamilika hapa kiswa24 tunakuletea ratiba ya wekundu wa msimbazi Simba Sc kwa mwezi June. Michezo hii ninmichezo ya mwisho kuelekea kumalizika kwa ligi kuu ya NBC Tanzia bara. Michezo ya kumaliza ligi itafanyika tarehe 22 June 2025 Ratiba ya Simba Sc June 2025 […]
Orodha ya Mabingwa Kombe la Shirikisho Afrika Hadi 2025
Orodha ya Mabingwa Kombe la Shirikisho Afrika, Timu Zilizoshinda Kombe la Shirikisho Afrika (CAF Confederation Cup) Mara Nyingi,CAF Confederation Cup winners List,Orodha Ya Mabingwa Kombe la Shirikisho Afrika History Wikipedia. Habari ya wakati mwingine tena wewe mwanmichezo wa Kisiwa24 Blog. Karibu katika kurasa hii ya kimichezo ambayo kwa kifupi itaenda kuangazia juu ya orodha ya […]
MATOKEO Ya Simba Sc vs Singida Black Stars Leo 28 Mei 2025
Leo wanasoka tutashuhudia mchezo wa roundi ya 27 wa mzungunguko wa pili wa ligi kuu ya NBC Tanzania bara kati ya Simba Sc vs Singida Black Stars. Mchezo huu utapigwa katika uwanja wa Tanzanite Kwaraa Manyara kunzia majira ya saa 15:30 za jioni.Mchezo unaikutanisha miamba hii miwili huku mmoja akiwa katika nafasi ya 2 na […]
VITA ya Ubingwa NBC Premier League 2024/2025
Ikiwa msimu wa 2024/2025 wa ligi kuu ya NBC Tanzania bara unaelekea mwisho vita ya nani atakua bingwa wa msimu huu inaendelea kua kali huku timu kubwa za ligi hii Simba Scna Yanga Sc ziki zidi kuonyeshana ubabe. Hadi kufikia sasa ligi kuu ya NBC Tanzania bara imesalia na michezo 3 jumla ya michezo 27 […]










