Michezo

MATOKEO Simba Sc vs Kagera Sugar Leo 22 June 2025

Filed in Michezo by on June 22, 2025 0 Comments

Baada ya kupata ushindi wa goli 5 kwa 0 dhidi ya KenGold kwenye mchezo uliopita 18/06/2025 leo klabu ya Simba inaenda kukamilisha mchezo wake wa round ya 29 ikiwa kwenye uwanja wake wa nyumbani jijini Dar es Salaam dhidi ya Kagera Suger. Kuelekea mcheo huu leo Kisiwa24 Blog kupitia ukurasa huu tutakuletea matukio na matokeo […]

Continue Reading »

KIKOSI cha Simba Sc vs Kagera Sugar Leo 22 June 2025

Filed in Michezo by on June 22, 2025 0 Comments

Leo Jumapili ya tarehe 22 June 2025 klabu ya Simba itaikaribisha klabu ya Kagera Sugara katika uwanja wake wa nyumbani jijini Dar es Salaam kwenye mchezo wa round ya 30 wa ligi kuu ya NBC. Kuelekea mchezo huu klabu ya Simba kwa namna yoyote ile inahitaji ushindi ili kuendelea kua na matumaini ya kuchukua ubingwa […]

Continue Reading »

VIINGILIO Yanga vs Dodoma Jiji 22 June 2025

Filed in Michezo by on June 21, 2025 0 Comments

Kuelekea mchezo wa round ya 30 kati ya Yanga Sc vs Dodoma Jiji, Klabu ya Yanga tayari imesha tangaza viingilio hivyo kwa wampenzi na mashabiki wa soka watakao hitaji kwenda kutazama live mchezo huo. Mchezo huu ni mchezo wa mwisho kwa klabu ya Dodoma jiji kwenye kuhitimisha ligi kuu ya NBC kwa msimu wa 2024/2025 […]

Continue Reading »

MATOKEO Yanga vs Dodoma Jiji leo 22 June 2025

Filed in Michezo by on June 21, 2025 0 Comments

Leo tarehe 22 June 2025 tunaenda kushuhudia mchezo wa round ya 30 wa ligi kuu ya NBC mchezo utakaozikutanisha timu 2 kati ya Yanga Sc dhidi ya Dodoma Jiji. Kisiwa24 Blog kupitia ukurasa huuu tutakuletea matukio na matokeo ya mchezo huu live hapa. Unachotakiawa kufanya ni kutembelea ukurasa huu mara kwa mara ili kuweza kutazama […]

Continue Reading »

KIKOSI cha Yanga vs Dodoma Jiji leo 22 June 2025

Filed in Michezo by on June 21, 2025 0 Comments

Leo ligi kuu ya NBC Tanzania Bar inaenda kukamilisha mchezo wke wa round ya mwisho ya 30 huku klabu ya Yanga ikienda kuikaribisha klabu ya Dodoma Jiji mchezo wa wisho kwa Dodoma jiji na mchezo wa 29 kwa klabu ya Yanga. Kisiwa24 tunakuletea vikosi vya timu zote 2 kuelekea mchezo huu. Malezo ya Mchezo Ligi: […]

Continue Reading »

MATOKE ya Mechi za Leo Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara Juni 18, 2025

Filed in Michezo by on June 18, 2025 0 Comments

Leo tunaenda kushuhudia mechi kadhaa za ligi kuu ya NBC Tanzania bara kwenye viwanja tofauti tofauti ikiwa ni michezo ya mzunguko wa 29 wa ligi kuu ya NBC. Kisiwa24 inakulete matokeo ya michezo yote kwenye kurasa hii moja. Ili kuweza kutizama matokeo ya kila mchezo Tafadhari bonyeza linki ya kwenye kila mechi hapo chini Azam […]

Continue Reading »

MATOKEO Yanga Sc vs Tanzania Prisons Leo Juni 18, 2025

Filed in Michezo by on June 18, 2025 0 Comments

Leo tunaenda kushuhudia mechi ya ligi kuu ya NBC Tanzania bara kati ya Tanzania Prisons vs Yanga Sc ikiwa ni mchezobwa round ya 29. Kuelekea mchezo huo Kisiwa24 Blog kwenye kurasa hii tutakuletea matokeo ya mchezo huu utakaopigwa kuanzia majira ya saa 10:00 za jion jijini Mbeya. MATOKEO Yanga Sc vs Tanzania Prisons Leo Juni […]

Continue Reading »

KIKOSI cha Yanga vs Tanzania Prisons Leo Jun 18, 2025

Filed in Michezo by on June 18, 2025 0 Comments

Leo Juni 18, 2025 ligi kuu ya NBC Tanzania bara inaenda kutimua vumbi huku klabu ya Yanga ikiikabili klabu ya Tanzania Prisons kwenye mchezo wa Round ya 29. KIKOSI cha Yanga vs Tanzania Prisons Leo Jun 18, 2025 Kuelekea mchezo huuu kisiwa24 tuko hapa kukujuza vikosi vya timu zote mbili vitakavyoenda kucheza kwenye mchezo wa […]

Continue Reading »

Club 10 Bora za Mpira wa Miguu Duniani

Filed in Michezo by on June 17, 2025 0 Comments

Mpira wa miguu ni mchezo unaovutia mamilioni kote ulimwenguni, na klabu kubwa hutawala kwa uwezo, ushindani na heshima. Kwa mujibu wa takwimu za hivi punde, ubora wa kila klabu hupimwa kwa michuano ya ndani na kimataifa, uwezo wa kiuchumi, na ushindi wa kombe muhimu. Katika makala hii, tutachunguza Club 10 bora duniani mwaka 2025, zilizochaguliwa kwa […]

Continue Reading »

Dabi 5 bora zaidi duniani

Filed in Michezo by on June 17, 2025 0 Comments

Uraisani wa mpira wa miguu unaweza kuwa mkali zaidi kuliko hata kinyang’anyiro cha kitaifa. Ni pale timu mbili kutoka jiji moja au eneo karibu zinapokutana, na mzigo wa historia, fadhila za kikabila, au uadui wa kisiasa unavyozidi kuongeza moto. DERBY 5 bora zaidi duniani zinajivunia historia ndefu, uwezo wa kuchekesha, na hisia kali zinazochochea mashabiki milioni. Hapa […]

Continue Reading »

WhatsApp Channel Join Now!