Michezo
RATIBA ya Round ya 16 Bora FIFA Club World Cup 2025
Toleo la 2025 la FIFA Club World Cup linaloandaliwa Marekani ni la kwanza lenye timu 32, likianza Juni 14 hadi Julai 13. Baada ya awamu ya makundi, timu 16 zilijipatia nafasi ya kucheza raundi ya 16 (Round of 16) kati ya Juni 28 na Julai. Muundo wa Round of 16 Timu zitacheza mechi za mfumo wa […]
Kikosi cha Simba SC 2025/2026 (Majina ya Wachezaji Wote)
Kikosi cha Simba SC Msimu wa 2025/2026, Habari ya wakati huu mwanamichezo wa Habraika24, Karibu katika makala hii ya kimichezo itakayoenda kuangazia kiundani juu ya kikosi kipya cha Simba Sc 2025/2026( Simba Squad list 2025/2026). Kama wewe ni shabiki wa klabu ya Simba (Wekundu wa Msimbazi) basi hauna budi kuweza kujua wachezaji wote wanaounda kikosi […]
Kutoka kwa Diallo hadi Guirassy: Wachezaji Bora wa Kiafrika wa Msimu
Kampuni ya Kimataifa 1xBet Yakamilisha Msimu wa 2024/2025 Kwa Kutoa Tasnifu ya Nyota Wake Wa Kiafrika Bendi ya kimataifa 1xBet inakamilisha msimu wa 2024/2025 kwa kusisitiza nyota zake wa Kiafrika, wachezaji ambao vibao vyao vilitawaza ligi kuu za Ulaya. Endelea kufurahia mchezo ulioupenda: Bofya kiungo na uweke kamari kwenye matukio ya kusisimua. Kumbuka, kamari ni […]
KIKOSI cha Yanga Sc vs Simba Sc Leo 25 June 2025
Leo 25 June 2025 Tanzania inaenda kushuhudia mchezo muhimu wa ligi kuu ya NBC Tanzania bara unaowakutanisha Yanga Sc dhidi ya Simba Sc kwenye mchezo wa 184 mchezo wa kiporo. Mchezo huu ndio utakao amua nani kua bingwa wa ligi kuu ya NBC Tanzania bara kwa msimu wa 2024/2025. Kuelekea mchezo huu Kisiwa24 Blog tunakuletea […]
KIKOSI cha Simba vs Yanga Leo 25 June 2025
Kuelekea mchezo wa mwisho wa kuhitimisha ligi kuu ya NBC Tanzania bara kwa msimu wa 2024/2025 kati ya Yanga dhidi ya Simba mchezo utakaochezwa kwenye uwanja wa Benjamini Mkapa, hapa tunakuletea kikosi rasmi cha Simba Sc kitakachoenda kucheza dhidi ya Yanga Sc. Maelezo ya Mchezo Ligi; Ligi kuu ya NBC (2024/2025) Mchezo: Mchezo wa 184 […]
Kocha anayelipwa mshahara mkubwa Tanzania
Mpira wa miguu ni mchezo wenye umaarufu mkubwa nchini Tanzania. Pamoja na ushindani kutoka kwa wanariadha, makocha huwa katikati ya mafanikio ya timu. Leo, tunachambua makocha wa mpira wa miguu wanaolipwa mishahara mkubwa Tanzania, tukifafanua kiwango cha malipo, tofauti kati ya makocha wa timu za klabu na taifa, na mienendo ya hivi karibuni. Kama Makocha […]
Makocha Wanaolipwa Mishahara Kubwa Duniani 2025
Katika ulimwengu wa soka, si wachezaji tu wanaopata fedha nyingi—makocha wao pia wanapata mishahara ya juu. Makala haya yanaangazia makocha wa mpira wa miguu wanaolipwa mishahara kubwa duniani mwaka 2025, pamoja na uchambuzi wa sababu zinazosababisha ushawishi wao. Diego Simeone – Atlético Madrid Mshahara wa mwaka 2025: takribani £25.9 m (≈$33.5 m) Simeone ndiye kocha anayelipwa zaidi […]
Mshahara wa kocha wa Simba Sc
Kocha Fadlu Davids amejiunga rasmi na Simba SC kwa mkataba wa miaka miwili tangu Julai 2024 kwa lengo la kurudisha ushindi wa timu ndani na nje ya Tanzania. Makubaliano hayo yanahusisha mshahara wa kuvutia, unaohusiana na mafanikio. Mkataba wa miaka miwili Simba SC ilitangaza rasmi uajiri wa Fadlu Davids kuanzia Julai 2024 kwa miaka miwili. Uongozi wa Simba, […]
VIINGILIO Yanga Sc vs Simba Sc 25 June 2025
Baada ya michezo ya round ya 30 ya ligi kuu ya NBC Tanzania Bara kwa msimu wa 2024/2025 kumalizika siku ya jumapili ya tarehe 22 june 2025. Tarehe 25 Taifa linaenda kushuhudia Derby ya Kariakoo baina ya klabu ya Yanga na Simba. Mchezo huu kwa timu hizi mbili ni mchezo wa kiporo utakaoenda kukamilisha michezo […]
MATOKEO ya Mechi za Leo Ligi Kuu ya NBC 22 June 2025
Leo ligi kuu ya NBC Tanzania bara inaendelea kwa michezo 8 itakayocheza kwenye viwanja 8 tofuti tofauti. Michezo hii ni michezo ya round ya 30 michezo ya kufunga ligi kuu ya NBC Tanzania bara kwa msimu wa 2024/2025. Kulekea kumalizika kwa ligi hii ya NBC Tanzania bara kisiwa24 blog itakuletea matokeo ya michezo […]










