WALIO CHAGULIWA KIDATO CHA TANO 2025

_________________________________________________

MATANGAZO YA AJIRA  KILA SIKU BOFYA HAPA

_________________________________________________

NOTES ZA KIDATO CHA 1 HADI 6 BOFYA HAPA

_________________________________________________

MAGROUP MAPYA YA WHATSAAP BOFYA HAPA

_________________________________________________
MATANGO YA AJIRA BOFYA HAPA
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA

Michezo

KIKOSI Cha Yanga vs JKT Tanzania 18 May 2025

Filed in Michezo by on May 17, 2025 0 Comments
KIKOSI Cha Yanga vs JKT Tanzania 18 May 2025

Baada ya Yanga Sc kutinga hatua ya nusu faibali ya kombe CRDB Federation CUP kwa masimu wa 2024/2025, leo 18 May 2025 inaenda kucheza mchezo wake wa nusu fainali na klabu ya JTK Tanzania. Mchezo huu wa fainali ya kwanza ya kombe la CRDB Federation CUP itafanyika jijini Tanga kuanzia majira ya saa 15:15 alasiri. […]

Continue Reading »

FIFA Club World Cup Live Ndani ya AzamTv 15 June 2025

Filed in Michezo, Uncategorized by on May 17, 2025 0 Comments
FIFA Club World Cup Live Ndani ya AzamTv 15 June 2025

FIFA Club World Cup 2025 ni toleo la kihistoria kwa sababu ni mara ya kwanza litajumuisha timu 32 kutoka mabara yote, na litafanyika nchini Marekani. Afrika imepewa nafasi nne (4) kwa ajili ya klabu zilizofanya vizuri katika mashindano ya CAF Champions League kati ya mwaka 2021 hadi 2024. Kuelekea michuano hii ya kidunuia inayoshirikisha vilabu mbalimbali duniani […]

Continue Reading »

MATOKEO RS Berkane vs Simba Sc 17 May 2025

Filed in Michezo by on May 15, 2025 0 Comments
MATOKEO RS Berkane vs Simba Sc 17 May 2025

MATOKEO RS Berkane vs Simba Sc 17 May 2025, Hatimae siku imewadia kwa mchuano wa nusufaninali ya kwanza ya kombe la shirikisho Afrika. Masikio na macho ya mashabiki wa mpira wa miguu Afrika na duniani leo 17 May 2025 yananda kujikita nchini Morocco kushuhudia pambano la kihistoria kati ya mnyama Simba Sc kutokea Tanzania na […]

Continue Reading »

Vinara wa Clean Sheets CAF Confederation CUP 2024/2025

Filed in Michezo by on May 15, 2025 0 Comments
Vinara wa Clean Sheets CAF Confederation CUP 2024/2025

Ikiwa sasa kombe la shirikisho Afrika limefikia hatua ya Fainali kwa kubakiwa na timu 2 tu Simba Sc ya kutokea nchini Tanzani  na RS Berkane ya Nchini Morocco, Huku ikitazamiwa mchezo wa duru ya kwanza kufanyika tarehe 17 May 2025 nchini Morocco na mchezo wa duru ya pili kufanyika 27 May 2025 nchini Tanzania. Maelezo […]

Continue Reading »

KIKOSI Cha Simba Sc vs RS Berkane Leo 17 May 2025

Filed in Michezo by on May 15, 2025 0 Comments
KIKOSI Cha Simba Sc vs RS Berkane Leo 17 May 2025

Kikosi cha Simba Sc vs RS Berkane leo 17 May 2025, Baada ya safari ndefu ya michuano ya Kombe la shirikisho balani Afrika (CAF Confideration Cup) kwa myama Simba Sc hatimae nusu fainali ya mkondo wa kwanza imewadia. Leo tarehe 17 May 2025 klabu ya Simba itakua ugenini ikicheza mchezo wake wa kwanza wa nusu […]

Continue Reading »

Vinara wa Clean Sheets NBC Premier League 2024/2025

Filed in Michezo by on May 13, 2025 0 Comments
Vinara wa Clean Sheets NBC Premier League 2024/2025

Vinara wa Clean Sheets NBC Premier League 2024/2025, Magolikipa mwenye clean Sheets Nyingi ligi kuu ya NBC 2024/2025, Habari karibu kwenye makla fupi ya kimichezo itakayoenda kukupa mwenyendo wa Magolikipa vinara wenye clean sheets zaidi NBC Premier League msimu wa 2024/2025. Claen Sheets Inamaana Gani Clean Sheet kwenye ulimwengu wa soka inachukuliwa kua ni hari […]

Continue Reading »

MATOKEO Yanga Sc vs Namungo Fc Leo 13 May 2025

Filed in Michezo by on May 12, 2025 0 Comments
MATOKEO Yanga Sc vs Namungo Fc Leo 13 May 2025

Leo tarehe 13 May 2025 wapenzi wa soka hasa kweney ligi kuu ya NBC wanaenda kushuhudia mechi kali kati ya Yanga Sc vs Namungo FC katika uwanaja wa KMC  Complex kuanzia majira ya saa 10:15 za jioni. Mchezo huo wa 27 ikiwa ni mzunguko wa pili wa ligi kuu ya NBC utakua wa kuvutia sana […]

Continue Reading »

KIKOSI Cha Yanga Sc vs Namungo Fc Leo 13 May 2025

Filed in Michezo by on May 12, 2025 0 Comments
KIKOSI Cha Yanga Sc vs Namungo Fc Leo 13 May 2025

Leo ligi kuu ya NBC Tanzania bara inaenda kuendea huku klabu ya Yanga ikiialika klabu ya Namungo kwenye mchezo wa 27 wa mzunguko wa 2. Yanga wanakutana na Namungo baada ya muda mrefu wa map[umziko kupisha michezo ya viporo ya klabu ya Simba ya ligi kuu ya NBC msimu wa 2024/2025. Kuelekea mchezo huo Kisiwa24 […]

Continue Reading »

Wafungaji Bora Ligi ya Spain Laliga 2024/2025

Filed in Michezo by on May 11, 2025 0 Comments
Wafungaji Bora Ligi ya Spain Laliga 2024/2025

Wafungaji Bora Ligi ya Spain Laliga 2024/2025, Vinara wa magoli Laliga Spain, Msimamo wa  wafungaji bora Spain Laliga, Laliga top Scores 2024/2025,Top Goal Scorers LaLiga 2024/2025, Habari karibu kwenye kurasa hii fupi ya kimichezo ambayo itaenda kuangazia juu ya msimamo wa wafungaji bora kwenye ligi ya Spain Laliga. Msimu mpya wa ligi ya Spain Laliga […]

Continue Reading »

Msimamo wa Ligi Ya Spain Laliga 2024/2025

Filed in Michezo by on May 11, 2025 0 Comments
Msimamo wa Ligi Ya Spain Laliga 2024/2025

Msimamo wa Ligi Ya Spain Laliga 2024/2025, Laliga standing 2024, msimamo wa ligi ya Laliga msimu wa 2024,2025, Tazama msimamo wa ligi ya Spain 2024/2025 Habari mfuatiliaji wa ligi ya spain ya Laliga, katika makala hii tutaenda kuangali juu la msimamo wa ligi ya Spain Laliga kwa msimu wa 2024/2025 Kuhusu Ligi ya Laliga Hii […]

Continue Reading »