Kisiwa24
Kisiwa24's Latest Posts
MAJINA Walioitwa Kwenye Usaili MDAs & LGAs May 2025
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya MDAs & LGAs anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 24-05-2025 hadi 28-05-2025 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:- 1. Usaili utafanyika kuanzia tarehe kama ilivyooneshwa […]
Matokeo Ya Usaili Wa Vitendo Utumishi 11 May 2025
Matokeo Ya Usaili Wa Vitendo Uliofanyika Tarehe 11/05/2025 Wasailiwa wote waliochaguliwa kuendelea na hatua zinazofuata wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la kufanyia usaili. Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates) pamoja na kitambulisho. RECORDS MANAGEMENT ASSISTANT II (HEALTH) RADIOGRAPHIC TECHNICIAN II MPISHI DARAJA LA PILI II (COOK II) LAUNDERER II
Tangazo La Kuitwa Kwenye Usaili Chuo cha Sukari cha Taifa (NSI) May 2025
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Chuo cha Sukari cha Taifa (NSI), MDAs & LGAs anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 24-05-2025 hadi 30-05-2025 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:- Usaili […]
Wafungaji Bora Ligi ya Spain Laliga 2024/2025
Wafungaji Bora Ligi ya Spain Laliga 2024/2025, Vinara wa magoli Laliga Spain, Msimamo wa wafungaji bora Spain Laliga, Laliga top Scores 2024/2025,Top Goal Scorers LaLiga 2024/2025, Habari karibu kwenye kurasa hii fupi ya kimichezo ambayo itaenda kuangazia juu ya msimamo wa wafungaji bora kwenye ligi ya Spain Laliga. Msimu mpya wa ligi ya Spain Laliga […]
Msimamo wa Ligi Ya Spain Laliga 2024/2025
Msimamo wa Ligi Ya Spain Laliga 2024/2025, Laliga standing 2024, msimamo wa ligi ya Laliga msimu wa 2024,2025, Tazama msimamo wa ligi ya Spain 2024/2025 Habari mfuatiliaji wa ligi ya spain ya Laliga, katika makala hii tutaenda kuangali juu la msimamo wa ligi ya Spain Laliga kwa msimu wa 2024/2025 Kuhusu Ligi ya Laliga Hii […]
Form Two Notes All Subjects
Katika dunia ya sasa ya ushindani mkubwa wa kitaaluma, kuwa na Form Two Notes All Subjects zilizo kamili na sahihi ni muhimu sana kwa mafanikio ya mwanafunzi. Ikiwa unajiandaa kwa mitihani ya ndani au ya taifa kama NECTA, makala hii itakupa muhtasari wa kina wa mada zote muhimu kutoka katika masomo yote ya Kidato cha […]
Form One Notes All Subjects
Karibu kwenye chanzo chako bora cha elimu! Ikiwa wewe ni mwanafunzi wa sekondari, mzazi au mwalimu, basi unajua umuhimu wa kuwa na notes sahihi na zilizoandikwa kwa lugha rahisi kueleweka. Katika makala hii, tutakupa fursa ya kupakua notes za Kidato cha Kwanza kwa masomo yote katika mfumo wa PDF – bure kabisa! Why Download Form […]
TAKIKWIMU ya Yanga Sc Hadi Sasa Ligi Kuu ya NBC 2024/2025
Yanga SC, klabu kubwa ya soka nchini Tanzania, imekuwa ikishiriki kikamilifu katika Ligi Kuu ya NBC msimu huu. Kwa kufuatilia takwimu zao hadi sasa, wapenzi wa soka wanaweza kuchambua utendaji wa timu hiyo katika michezo yao ya ligi. Utabiri wa Msimu wa Yanga SC Ligi Kuu ya NBC Yanga SC imekuwa miongoni mwa timu zinazotungulia […]
TAKWIMU ya Simba Sc Hadi Sasa Ligi Kuu ya NBC 2024/2025
Ikiwa ligi kuu ya NBC Tanzania Bara inaelekea mwishoni Kisiwa24 Blog tunakuletea takwimu za mwekundu wa msimbazi Simba Sc klabu tangu kuanza kwa ligi kuu ya NBC hadi kufikia sasa. Hapa tutatazama hasa michezo mingapi imecheza, imeshinda michezo mingapi, imefungwa michezo mingapi,imetoa sare michezo mingapi, tofauti ya magoli na iko katika nafasi ya ngapi kwenye […]
Secondary School Notes Form 1 to 6 All Subjects
Secondary school notes Form 1 hadi 6 ni nyenzo muhimu kwa wanafunzi na walimu nchini Tanzania. Kwa kutumia rasilimali hizi, wanafunzi wanaweza kufanya marudio, kujipima, na kujitayarisha kwa mitihani. Makala haya yatakueleza jinsi ya kupakua notisi hizi kwa njia rahisi, kwa kuzingatia vyanzo rasmi kama vile TIE na NECTA. Umuhimu wa Secondary School Notes Form […]











