Kisiwa24
Kisiwa24's Latest Posts
PDF: Majina Ya Waliochaguliwa JWTZ 2025
Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) linatarajia kutoa rasmi orodha ya majina ya vijana waliochaguliwa kujiunga na mafunzo ya kijeshi kwa mwaka 2025. Tangazo hili litametolewa baada ya kupitia usaili wa awali utakaofanyika katika mikoa mbalimbali ya Tanzania. Kupitia makala hii, utapata viungo vya kupakua PDF ya majina ya waliochaguliwa JWTZ 2025 pamoja na maelezo […]
NAFASI za Kazi Masasi Town Council June 2025
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Masasi amepokea kibali kutoka kwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora chenye kumb.Na.FA.97/228/01/A/25 cha tarehe 29 Aprili 2025 kilichotoa idhini ya utekelezaji wa nafasi za Ajira Mpya katika Ikama na bajeti ya mwaka wa fedha 2024/2025. Hivyo Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Masasi […]
NAFASI Mbalimbali za Kazi Zilizotangazwa June 2025
Mwezi juni umekua mwezi wa neema kwa wanaotafuta Ajira kwani tumeshuhudia nafasi mbalimbali za kazi zikitangazwa kutoka kwa taasisi mbalimbali zikiwa za kisselikari na zile zisizo za kiselikari. Hapa utapata kutazama nafasi zote za kazi zilizoweza kutangazwa mwezi huu wa June 2025 NAFASI Mbalimbali za Kazi Zilizotangazwa June 2025 NAFASI Za Kazi Yas Tanzania June […]
JINSI ya Kutuma Maombi ya Mkopo Elimu Ya Juu 2025/2026 (HESLB)
Muda wa Maombi ya Mkopo wa 2025/2026 umefungukiwa mwezi Juni, 2025 hadi Agosti, 2025. Maombi yote ya mkopo yanatakiwa kufanywa kupitia Mfumo wa Maombi ya Mkopo na Usimamizi Mtandaoni (OLAMS). Waombaji WANAHITAJI kutumia Namba ya Index ya Form Four ile ile iliyotumika wakati wa kuomba kujiunga na chuo. Jinsi ya Kuomba Mkopo wa HESLB kupitia […]
MASWALI ya Usaili wa Mahojiano Ajirai za UTUMISHI
Orodha ya Maswali ya Oral Interview Utumishi, Katika safari ya kutafuta kazi katika utumishi wa umma, mahojiano ya mdomo (oral interview) ni hatua muhimu sana. Ni fursa ya kuonesha ujuzi wako, uzoefu, na umuhimu wako kwa nafasi unayoomba. Ili kukusaidia kujiandaa vizuri, tumekuandalia orodha ya maswali yanayoulizwa mara kwa mara katika mahojiano ya aina hii. […]
JINSI ya Kujisajili na Kutuma Maombi ya Kazi Ajira Portal
Ajira Portal ni mfumo wa mtandaoni unaoshughulikia masuala ya ajira nchini. Mfumo huu unatoa fursa kwa watumiaji kupata nafasi za kazi na taarifa muhimu kuhusu soko la ajira. Lengo la Ajira Portal Lengo kuu la Ajira Portal ni kuunganisha waajiri na waombaji kazi. Iwe ni kwa upande wa vijana waliomaliza masomo au watu wenye uzoefu, […]
MAGAZETI ya Leo Jumatatu 16 June 2025
Habari ya wakati huu mwanakisiwa24, karibu tena kwenye kurasa hii ya magazati. Hapa utaweza kupata fursa ya kupitia kurasa za mbele za magazeti. Kurasa hii itakupa wasaha wa kuweza kusoma vichwa vya habari vilivyoweza kupewa uzito kwenye kurasa za mbele za magazeti ya leo Tanzania Juni 16, 2025. MAGAZETI ya Leo Jumatatu 16 June 2025
MATOKEO ya Usaili Wa Vitendo Uliofanyika Tarehe 15 June 2025
Wasailiwa wote waliochaguliwa wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la kufanyia usaili kama ilivyoelekezwa. Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates) pamoja na kitambulisho MATOKEO ya Usaili Wa Vitendo Uliofanyika Tarehe 15 June 2025 Ili kuweza kusoma matokeo haya tafdhari bonyeza linki hapo chini OFFICE MANAGEMENT SECRETARY II – OSHA
Jinsi ya Kupika Biriani
Biriani ni sahani maarufu duniani inayochanganya wali wenye harufu nzuri na nyama laini, mara nyingi ikiwa na viungo vingi. Kwa wale wanaotafuta jinsi ya kupika biriani yenye ladha kamili, mwongozo huu utakusaidia kutoka A hadi Z. Hapa ndio njia bora ya kupika biriani kwa hatua kwa hatua: Sababu za Kufanikiwa kwa Biriani Yako Chagua Nyama Sahihi: […]
Jinsi ya Kupika Biriani ya Kuku
Biriani ya kuku ni moja kati ya vyakula maarufu duniani vilivyojaa harufu nzuri na ladha kamili. Kwa asili ya Kihindi, chakula hiki kimeenea Afrika Mashariki na kuwa sehemu ya sherehe na mikusanyiko. Kwa kufuata mwongozo huu kwa uangalifu, utajifunza Jinsi ya Kupika Biriani ya Kuku kwa urahisi nyumbani kwa ladha isiyo kawaida. Ni Nini Biriani ya […]











