NAFASI ZA KAZI UCHAGUZI MKUU 2025 (BOFYA HAPA)

_________________________________________________

BARUA YA KUOMBA KAZI UCHAGUZI MKUU 2025(BOFYA HAPA)

_________________________________________________

NOTES ZA KIDATO CHA 1 HADI 6 BOFYA HAPA

_________________________________________________

MAGROUP MAPYA YA WHATSAAP BOFYA HAPA

_________________________________________________
MATANGO YA AJIRA BOFYA HAPA
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA

Msimamo wa NBC Championship Tanzania 2024/2025 (Ligi Daraja la Kwanza)

Filed in Michezo by on February 9, 2025 0 Comments

Msimamo wa NBC Championship Tanzania 2024/2025, msimamo wa ligi daraja la kwanza Tanzania 2024/2025, HAbari mwanamichezo wa Kisiwa24, karibu katika kurasa hii fupi ya kimichezo itakayoenda kukupa mwenendo wa ligi ya NBC daraja la kwanza kwa msimu wa 2024/2025.

Ligi NBC Championship ni ligi ya pili kwa ukubwa nchini Tanzania ukiacha ile ya ligi kuu ya NBC, Ligi huusisha vilabu 16 amabvyo kila kilabu hucheza takribani michezo 30 hadi kutamatika kwa ligi. Msimu wa 2024/2025 kwa mujibu wa kalenda ya matukio ya shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF) utaanza mwezi September  20, 2024, kwa mechi ya ufunguzi kati ya Mbeya City vs Bigman FC 16:00 Mbeya na Mtibwa Sugar vs Green Warriors 16:00 Morogoro.

Timu Zinazo Shiriki Ligi Daraja la Kwanza

Kunajumla ya timu 16 zinazoshiriki ligi daraja la kwanza amabazo ni, Mtibwa Sugar, Geita Gold, Stand United, TMA, Mbeya Kwanza, Mbeya City, Songea United, Bigman, Mbuni, Polisi Tanzania, Biashara UTD, Green Warriors, Cosmopolitan, A.Sports, Transit Camp , Kiluvya. Timu 2 zitakazo maliza katika nafasi ya 1 na 2 zitapata nafasi ya kupanada daraja na kuingia katika kombe la ligi kuu ya NBC Tanzania bara kwa msimu ujao wa 2025/2026.

Mwenendo wa Ligi

Ligi itahusisha timu 16 ambazo kila moja itacheza michezo 30 na timu zitakazo maliza ligi katika nafasi ya 1 na 2 zitapandishwa katika ligi kuu ya NBC kwa msimu ujao wa 2025/2026. Mgawanyo wa pointi ni ule wa.

  • Pointi 3 kwa matokeo ya Ushindi
  • Pointi 1 kwa matokeo ya sare
  • Point 0 kwa matokeo ya kufungwa

Msimamo wa Ligi ya NBC Championship Tanzania 2024/2025

Hapa chini ni msimamo wa ligi daraja la kwanza (NBC Championship) kwa msimu wa 2024/2025

Nafasi Timu Mechi Magoli Pointi
1 Mtibwa Sugar 17 24 44
2 Geita Gold 17 18 36
3 Mbeya City 17 14 35
4 Stand United 17 10 35
5 TMA 17 10 31
6 Mbeya Kwanza 17 5 31
7 Bigman 17 1 26
8 Songea United 17 3 25
9 Mbuni 17 3 23
10 Polisi Tanzania 17 -4 20
11 A.Sports 17 -11 14
12 Green Warriors 17 -20 11
13 Transit Camp 17 -14 10
14 Kiluvya 17 -15 10
15 Cosmopolitan 17 -16 9
16 Biashara UTD 17 -8 4

Hadi sasa ligi ya NBC Championship inaongozwa na klabu ya Mtibwa Sugar katika nafasi ya 1 ikiwa na point 44 na nafasi ya 2 ikishikiliwa na Geita Gold kwa pointi 36. Jumla ya michezo 17 imesha chezwa kati ya michezo 30.

Msimamo Wa Ligi daraja la kwanza 25/10/2024

Msimamo Wa Ligi daraja la kwanza 21/10/2024

Msimamo Wa Ligi daraja la kwanza 07/10/2024

Msimamo Wa Ligi daraja la kwanza  30/09/2024

Msimamo Wa Ligi daraja la kwanza 28/09/2024

Mapendekezo ya Mhariri;

1. Idadi Ya Makombe Alioshinda Yanga kwenye Ligi Kuu ya NBC

2. Orodha ya Makombe yenye Thamani Kubwa Zaidi Barani Ulaya

3. Msimamo wa Kundi la Simba Sc Kombe la Shirikisho Afrika 2024/2025

4. Msimamo wa Kundi la Yanga Club Bingwa Afrika 2024/2025

Kwa Matangazo ya AJIRA Mpya kila siku BONYEZA HAPA

Tags: ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

error: Content is protected !!