Leo ligi kuu ya NBC Tanzania bara inaendelea kutimua vumbi huku Mzizima Derby ikienda kuteka akili za mashabiki wa soka wa Jiji la Dar es Salaam na Tanzania kwa ujumla wake. Hapa kisiwa24 tutakuletea ratiba na muda kamili wa michezo ya ligi kuu ta NBC Tanzania bara itakayo fanyika leo 07 Dec 2025.
Ratiba ya Mechi za Leo Ligi Kuu ya NBC 07/12/2025
Saa 11:00 ni Mzizima Derby, Simba SCvs Azama Fc kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa
Saa 1:15 usiku, Coastal Union ‘Mangushi’ vs Yanga Sc kwenye uwanja wa Jamhuri, Dodoma wakiwakaribisha.
Michezo hii yote unaweza kuitazama mubasha kupitia AzamSports1HD.

Soma Pia:
1. Msimamo wa Ligi Kuu NBC Tanzania Bara 2025/2026
2. Wafungaji Bora Ligi Kuu ya NBC Tanzania 2025/2026

