Chuo cha Ualimu Nazareth Kilichopo Mbinga
Habari hii na nyingine nyingi zinapatikana kwenye telegram channel yetu na WhatsApp channel yetu tumia linki hapo chini kujiunga
Chuo cha Ualimu Nazareth Kilichopo Mbinga,Chuo cha Ualimu Nazareth Mbinga, Chuo cha ualimu cha Nazreth Mbinga kinatoa fursa za mafunzo ya ualimu kwa waalimu wapya na walimu waliopo makazini ili kuboresha ubora wa elimu katika jamii. Kila mwaka chuo hiki hupokea idadi kubwa ya wanafunzi kutoka sehemu mbalimbali nchini wakiwa na lengo la kujiunga na tasnia ya uwalimu.
Mbali na mafunzo ya kitaaluma, Chuo cha Ualimu Nazareth Kilichopo Mbinga kinatoa pia programu za kuendeleza ujuzi wa maisha, zinazoimarisha uwezo wa wanafunzi kuwa walimu bora katika kazi zao.
Sifa kuu za Chuo cha Ualimu Nazareth Kilichopo Mbinga
- Chuo cha Ualimu Nazareth kinatoa mafunzo ya ualimu kwa wanafunzi wapya na wale walioko makazini.
- Historia ya chuo inaonyesha juhudi za kuboresha elimu kwa jamii.
- Programu za kielimu zinasaidia wanafunzi kuwa waalimu wenye ujuzi na uwezo.

Chuo cha Ualimu Nazareth Kilichopo Mbinga
Historia ya Chuo cha Ualimu Nazareth Kilichopo Mbinga
Chuo cha Ualimu Nazareth kilichopo Mbinga kimedumu na kua miongoni mwa vyuo bora nchini Tanzania katika utoajiwa mafunzo ya ualimu kwa wanafunzi wapya na walimu wanaohiotaji kujiendeleza katika tasnia ya ualimu. Chuo hiki kilianzishwa mwaka wa 2002 na lengo lake lilikuwa kutoa mafunzo ya ualimu kwa vijana.
Katika miaka ya hivi karibuni, Chuo cha Ualimu Nazareth Kilichopo Mbinga kimejikita katika kutoa kozi mbalimbali za ualimu, ikiwemo elimu ya awali na ya msingi. Hii imesaidia kuandaa walimu wenye ujuzi na maarifa ya kutosha kwa ajili ya shule za msingi na sekondari nchini.
Kozi zinaztolewa na Chuo cha Ualimu Nazareth Kilichopo Mbinga
Chuo cha Ualimu Nazareth Mbinga kinatoa kozi mbalimbali za kielimu na mafunzo. Hizi zinajumuisha kozi za ngazi ya cheti na diploma zinazokusudia kuboresha ujuzi wa wanafunzi katika nyanja mbalimbali. Chuo hiki kina lengo la kuwaandaa wahitimu wenye ujuzi na maarifa bora katika elimu.
Kozi Zinazotolewa
Chuo kimeandaa kozi kadhaa zinazowezesha wanafunzi kupata maarifa na ujuzi. Miongoni mwa kozi hizo ni:
- Kozi ya Ualimu wa Elimu ya Msingi
- Kozi ya Ualimu wa Elimu ya Sekondari
- Kozi za Elimu ya Maendeleo
Kozi zote hapo juu hutolewa kwa muda tofauti kulingana na kiwango cha mafunzo.
Sifa na Vigezo vya Kujiunga na Chuo cha Ualimu Nazareth Kilichopo Mbinga
Ili kujiunga na Chuo cha Ualimu Nazareth, wanafunzi wanapaswa kutimiza vigezo fulani. Vigezo vya msingi ni pamoja na:
Awe amehitimu Elimu ya Sekondari:
- Ili kujiunga na chuo hiki mwombaji anatakiwa awe amehitimu elimu ya sekondsary
Ufauru
- Wombaji anapaswa kua na ufauru wa alama za chini ya C katika masomo kama Kiswahili na Hisabati.
Jinsi ya Kujiunga Na Chuo cha Ualimu Nazareth Kilichopo Mbinga
Ili kujiunga na kozi katika chuo cha ualimu cha Nazareth Mbinga basi mwanafunzi napawa kutembelea tovuti ya chuo na kufauata taratibu za usajili au kwa kutembela ofisi za chuo na kujza fomu ya naombi ya usajiri.
Ada Ya Kozi katika Chuo cha Ualimu Nazareth Kilichopo Mbinga
Hapa tutaenda kuangalia gharama za masomo kwa kila kozi;
- Kozi za Stashahada ya Ualimu Elimu ya Msingi ada ni Ths 1,200,000 kwa mwaka
- Kozi za Stashahada ya Ualimu Elimu ya Sekondari ada yake ni Tsh 1,500,000 kwa mwaka
- Kozi za Muda Mfupi ada yake ni Tsh 400,000 kwa mwaka
Kwa mawasiliano zaidi unawez kuwasiliana na uongozi wa chuo kwa mawasiliano hayo hapo chini;
- Simu: +255 737 962 965
- Barua pepe: [email protected]
Mapendekezo ya Mhariri;
2. Ada, Fomu, Kozi na Sifa za Kujiunga na Chuo Cha Ardhi Tabora
3. Ada, Fomu, Kozi na Sifa za Kujiunga na Chuo Cha ADEM Bagamoyo
4. Ada, Fomu, Kozi na Sifa za Kujiunga na Chuo Cha Utalii Arusha
5. Chuo cha Ualimu cha Waama Lutheran
6. Chuo cha Ualimu cha Moravian Mbeya
Asante kwa kusoma makala yetu hadi mwisho, ikiwa una maswali yoyote tafadhali acha maoni hapa chini au unaweza Wasiliana nasi. Usisahau kujiunga nasi kwenye WhatsApp gropu letu kwa updates zaidi.
Jiunge na Whatsap Gropu letu kwa updates za kila siku