Bei ya Tiketi ya Treni Kutoka Dar es Salaam kwenda Arusha
Habari hii na nyingine nyingi zinapatikana kwenye telegram channel yetu na WhatsApp channel yetu tumia linki hapo chini kujiunga
Bei ya Tiketi ya Treni Kutoka Dar es Salaam kwenda Arusha, Bei ya tiketi za Treni Dar to Arusha, Habari mwana Habarika24, karibu katika makala hii fupi ambayo itaenda kukuelezea juu ya bei ya tiketi ya treni kutoka Dar kwenda Arusha. Kama wewe ni msafiri ukitokea Dar es Salaam kwenda Arusha au Arusha kwenda Dar es Salaam basi usafiri wa treni unaweza kua ni chaguzi sahihi kwa upande wako.
Bei ya Tiketi ya Treni Kutoka Dar es Salaam kwenda Arusha
Njia za usairi kati ya Dar es Salaam na Arusha
Kwa msafiri katika mikoa hii miwili anaweza kutumia nja kuu mbili za usafiri ambazo ni pamoja na
- Usafiri wa angani (Ndege)
- Usafiri wa aridhini (Gari au Treni)
Hapa tutaenda kuangazia usafiri wa treni hasa bei ya rikeri ya treni kutoka Dar es Salaam kwenda Arusha

Bei ya Tiketi ya Treni Kutoka Dar es Salaam kwenda Arusha
Usafiri wa treni kutoka Dat kwenda arusha na Arusha kwenda Dar ndio usafiri wa bei rahisi zaidi kwani bei ya tiketi ya treni kutoka Dar es Salaam kwenda Arusha ni
- Kati ya Tsh. 22000 – 54600
Utofauti wa bei husababishwa na mambo tofauti tofauti kama vile, daraja la behewa na huduma zitilewazo katika daraja ulilopanda.
Umuhimu wa kusafiri kwa treni kutoka Dar to Arusha
Usafiri wa treni unafaida nyingi sana hasa kutokea Dar es salaam kwenda Arusha na Arusha kwenda Dar es Salaam, hapa chini tumekuwekea baadhi ya faida za kusafiri kwa kutumia treni
Gharama nafuuza Nauli
Huu ndio usafiei wenye gharama nafuu zaidi kwa wasafiri wa kutokea dar es Salaam kwenda Arusha na Arusha kwenda Dar es Salaam ukilinganisha na usafiri wa Basi au Ndege. Hauli ya treni kutoka Dar es Salaam kwenda Arusha ni kati ya Tsh. 22000 – 54600, ambayo ni nafuu zaidi kuliko bei ya basi na ndege.
Utarii wa Safari
Kwa kutumia treni humpa msafiri fursa ya kufanya utarii kwa kutazama madhari nzuri za kuvutia na kufurahia safari. Barabara ya treni (reli) hupita katika mazingira ambayo humfanya msafiri licha ya kua safarini lakini pia huwa katika utarii.
Usafiri wa Mizigo Bure
Msafiri wa treni huwa na fursa ya kubeba mizigo mingi tena bila kulip[ia gharama yoyote ile tofauti na usafiriwa basi ambao huwa na kiwango cha mzigo ya abiria.
Usarama wa Safiri
Kila safari huwa na ajari lakini katika usafiri wa treni ajiari ni jambo la nadra sana hivyo kumwakikishia abiria usalama zaidi wa safari yake.
Jinsi ya kununua Tiketi ya Treni Dar to Arusha Mtandaoni
Unaweza kununua tiketi yako kwa njia ya mtandaoni kwa kufuata maelekezo haya hapa chini
– Tembelea wavuti ya Tiketi.com
Kisha fuata maelekezo ili kununua tiketi yako
au tembelea ofisi ya treni ili kukata tiketi yako
Hitimisho
Hivyo basi kama wewe ni miongoni mwa wasafiri kati ya Dar na Arusha basi usafiri wa treni unaweza kua chaguo sahihi kwa upande wako lakini pia kunamachaguzi zaidi katika safari yako kama vile unaweza kusafiri kwa kutumia basi au ndege.
Mapendekezo ya Mhariri;
1. Ada, Fomu, Kozi na Sifa za Kujiunga na Chuo Cha Utalii Dar es Salaam
3. Bei ya iPhone 16 Pro Max Tanzania 2024
4. Bei ya iPhone 16 ProTanzania 2024
5. Viwango Vipya Vya Mishahara ya Walimu Serikalini
6. EWURA Bei Mpya za Mafuta Tanzania 2024
Asante kwa kusoma makala yetu hadi mwisho, ikiwa una maswali yoyote tafadhali acha maoni hapa chini au unaweza Wasiliana nasi. Usisahau kujiunga nasi kwenye WhatsApp gropu letu kwa updates zaidi.
Jiunge na Whatsap Gropu letu kwa updates za kila siku