Mabasi ya Dar es Salaam Kwenda Iringa
Habari hii na nyingine nyingi zinapatikana kwenye telegram channel yetu na WhatsApp channel yetu tumia linki hapo chini kujiunga
Mabasi ya Dar es Salaam Kwenda Iringa, Mabasi ya Dar to Irinda, Habrai mwana Habrika24, Karibu katika makala hii ambayo itaenda kukuelezea juu ya kampuni za mabasi amabzo hufanya safari zake katika mikoa ya Dar es Salaam na Iringa.
Kama wewe ni msafiri au unatarajia kusafiri iwe kutoka Dar es Salaam kwenda Iringa au Kutoka mkoa wa Iringa kwenda mkoa wa Dar es Salaam basi tambua ya kua makala hii itakua ya muhimu sana kwako kwani itaenda kukuonyesha kampuni kadhaa za mabasi ambazo hufanya safari zake kati ya Dar na Iringa.
Mabasi ya Dar es Salaam Kwenda Iringa
Njia za Usafiri kati ya Dar na Iringa
kwa msafiri wa kati ya mikoa ya Dar na Iringa hana budi kutumia njia mojawapo kati ya njia hzi hapa chini;
- Njia ya Anga – Ndege
- Njia ya Aridhini – Gari
Hapa katika makala hii tutaenda kuangalia hasa njia ya aridhini kwa kutumia usafiri wa mabasi.
Aina ya Mabsi yanayofanya Safiri kati ya Dar na Iringa
Kama ilivyo kwa mikoa mingine njia ya Dar Inringa pia ina aina tatu za mabasi yanayofanya safari katika mikoa hiyo ambazo ni pamoja na;
- Mabasi ya Daraja la Juu – Luxury na VIP
- Mabasi ya Daraja la Kati – Semi Luxury
- Mabasi ya Daraja la Kawaida – Ordinary Class
Mabasi haya yameweza kugawanywa kwa katika madaraja kwa kufuata ubora na hadhi za mabasi hayo pia huduma zitolewazo kaztika mabasi hayo pindi yawapo safarini. Utofauti wa kimadaraja kutoka basi moja hadi jingine pia hupelekea kuwepo kwa utofauti wa gharama za nauli miongoni mwa mabasi hayo.
Mabasi ya Dar es Salaam Kwenda Iringa
Hapa chini tunaenda kutaja kampuni kadhaa za mabasi ya Dar es Salaam kwenda Iringa
1. Al- Saedy High Class

2. Abood Bus Service

3. ABC Upper Class

4. New Force

5. Super Feo Express
6. Upendo Traveller

Huduma Zitolewazo Katika Mabsi ya Dar kwenda Iringa
Si kila basi la njia hii hutoa huduma, Mabasi yanayotoa huduma ni yale ya daraja la kati na daraja la juu,huduma zitolewazo na mabasi haya ni pamoja na;
- Huduma ya kutazama TV
- Huduma ya Internet kwa njia ya Wifi
- Huduma ya kuchaji simu kwa kutumia USB
- Huduma ya Choo kwa baadhi ya mabasi.
Huduma hizo hapo juu zinazotolewa na baadhi ya mabasi hasa yale ya daraja la kati na juu ukichnganya na hadhi ya basi ndio yanayoleta utofauti wakinauli kati yao na mabasi yale ya daraja la kawaida.
Hitimisho
Hivyo basi kama ulikua ukifikilia ni kampuni gani ya mabasi ya Dar es salaam kwenda Iringa basi naamini kupitia maka hii fupi utakua umesha pata jibu, Lakini pia kupitia makala hii utakua unaweza kuamua ni basi la aina gani au daraja gani liwe chaguo lako, lakini kwa wale wanaopenda kusafiri kifahari na kistarehe basi chaguo la mabasi ya semi luxury na luxury itakua sahihi kwao na kwa wewe unayejali kufika mwisho wa safari basi pia mabasi ya daraja la kawaida yanaweza kua sahihi kwako kwani hata nauli yake ni nafuu ukilinganisha na yale ya daraja la kati na juu.
Mapendekezo ya Mhariri;
1. Mabasi Ya Dar es Salaam Kwenda Songea
2. Mabasi ya Dar es Salaam Kwenda Arusha
3. Mabasi ya Dar es Salaam Kwenda Mwanza
4. Mabasi ya Dar es Salaam Kwenda Tabora
5. Mabasi ya Dar es Salaam Kwenda Njombe
6. Mabasi ya Dar Kwenda Mtwara
7. Mabasi ya Dar es Salaam Kwenda Tanga
Asante kwa kusoma makala yetu hadi mwisho, ikiwa una maswali yoyote tafadhali acha maoni hapa chini au unaweza Wasiliana nasi. Usisahau kujiunga nasi kwenye WhatsApp gropu letu kwa updates zaidi.
Jiunge na Whatsap Gropu letu kwa updates za kila siku