TAMISEMI: FORM FIVE SELECTION 2025/2026

_________________________________________________

MATANGAZO YA AJIRA  KILA SIKU BOFYA HAPA

_________________________________________________

NOTES ZA KIDATO CHA 1 HADI 6 BOFYA HAPA

_________________________________________________

MAGROUP MAPYA YA WHATSAAP BOFYA HAPA

_________________________________________________
MATANGO YA AJIRA BOFYA HAPA
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA

Mabasi ya Dar es Salaam to Musoma

Filed in Kampuza za Mabasi na Nauli zake, Makala by on May 8, 2025 0 Comments

Kama wewe ni miongoni mwa watu wanaotaka kusafiri iwe kutoka Dar kwenda Musoma au kutoka Musoma kwenda Dar es salaam na bado hujatambua ni kampuni gani za mabasi zinazojihusisha na kufanya safari katika mikoa hii miwili basi huna budi kusoma makala hii hadi mwisho.

Mabasi ya Dar es Salaam Kwenda Musoma

Njia za Usafiri Kati ya Mkoa wa Dar es Salaam na Musoma

Mikoa hii miwili imeunganishwa na njia 2 za usafiri ambazo ni;

  1. Usafiri wa Aridhini – Gari
  2. Usafiri wa Angani – Ndege

Hapa katika makala haya tutaenda kuelezea njia ya usafiri wa aridhini kwa kutumia mabasi.

Aina ya Mabasi yanayofanya Safari zake Kati ya Dar na Musoma

Kawaida kunaina kuu tatu kulingana na madaraja, na kwa barabara ya Dar Musoma mabasi ya aina zote tatu hufanya safari zake, aina zihi za mabasi hutofautishwa kutokana na ubora na mwonekano wa basi, pamoja na huduma zipatikanazo kwenye mabasi hayo.Hivyo basi aina hizo za mabasi ni pamaoja na;

  • Mabasi ya Daraja la Kawaida – Ordinary class Buses
  • Mabasi ya Daraja la Kati – Semi Luxury Buses
  • Mabasi ya Daraja la Juu -Luxury na VIP Buses

Utofauti wa kimadaraja katika mabasi ya kutoka Dar kwenda Msoma ndio huleta tofauti ya kinauli kutoka basi moja kwenda basi jingine. mfano mabasi ya daraja la juu hayawezi kua na gharama ya nauli sawa na mabasi yaliyoko kwenye daraja la kawaida.

Mabasi ya Dar es Salaam Kwenda Musoma

Hapa chini tunaenda kukuwekea kampuni za mabasi zinazofanya safari zake nda ya mkoa wa Dar es Salaam na Musaoma;

1. SATCO Express

𝔹𝕦𝕤 𝕎𝕠𝕣𝕝𝕕 𝕋𝕒𝕟𝕫𝕒𝕟𝕚𝕒 🇹🇿 on X: "🚍 PASSIONATE ABOUT BUSES 💥 SATCO  EXPRESS 🚌 Yutong F12 Plus ZK6125D 👉 @satcoexpress #Tanzania🇹🇿  #SatcoExpress #busworldtanzania #TeamBusWorldTanzania Source  📸📹┃@BusWorldTZ THANK YOU FOR FOLLOWING ...

2. JM Luxury

JM Luxury

JM Luxury

3. Johanvia Express

Johanvia Express

Johanvia Express

4. Happy Nation

Happy Nation

Happy Nation

5. Abood Bus Services

Abood Bus Services

Abood Bus Services

6. Kapricon Royal Class

Kapricon Royal - Bus, Tickets and online bookings

Kapricon Royal Class

7. Mohamed Trans

Mohamed Trans

Mohamed Trans

Huduma Zinazopatikana Kwenye Mabasi ya Dar to Musoma

Mabasi ya Dar kwenda Musoma yanatoa huduma tofauti tofauti kwa abiria wake wawapo safarini hasa kwa mabasi ya Semi Luxury na yale ya VIP, Hapa tutaenda kutaja baadhi ya huduma zinazotolewa hasa kwa mabasi ya daraja la kati na daraja la juu;

  1. Huduma ya kutazama Runinga safarini
  2. Huduma ya Internet kwa njia ya Wifi
  3. Huduma ya Vinywaji na Vitafunwa
  4. Huduma ya Choo kwa mabsi ya VIP

Kama tulivyosema hapo awali kua huduma tajwa hapo ndio huleta utofauti wa nauli kutoka mabasi ya daraja la juu VIP na Luxury kuwa na grama za juu sana ukilinganisha na mabasi ya daraja la kati ambayo pia nauli zake sio nafuu kama vile za mabasi yaliyopo kwenye daraja la kawaida.

Hitimisho

Kama wewe ni msafiri na ulikua ukitafuta kampuni za mabasi ya Dar kwenda Musoma basi nadhani umepata ulicho kihitaji kutoka katika makala hii fupi,pia kama wewe ni msafri mwenye kuhitaji fahari wakati wa safri yako basi mabasi ya Semi Luxury na Luxury tunaamini ndio litakua chaguo lako lakini kama wewe ni msafiri unayejali kufika uwendako basi mabasi ya daraja la kawaida itakua sehemu ya machaguzi yako kwani hata upande wa nauli ni nafuu kidogo ukilinganisha na ile ya semi ruxury na Luxury.

Kama kunakampuni tumeweza kuisahau na unaifahamu ya mabasi inayofanya safari zake kati ya mkoa wa Dar es salaam na Musoma Basi usiache kuitaja kupitia eneo la komenti hapo chini ili abiria wengine waweze kuongeza machaguo yao pindi wasfiripo ndani ya mikoa hii.

Mapendekezo ya Mhariri;

1. Mabasi Ya Dar es Salaam Kwenda Songea

2. Mabasi ya Dar es Salaam Kwenda Arusha

3. Mabasi ya Dar es Salaam Kwenda Mwanza

4. Mabasi ya Dar es Salaam Kwenda Tabora

5. Mabasi ya Dar es Salaam Kwenda Bukoba

MATANGO YA AJIRA BOFYA HAPA
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *