Mabasi Ya Dar es Salaam Kwenda Songea
Habari hii na nyingine nyingi zinapatikana kwenye telegram channel yetu na WhatsApp channel yetu tumia linki hapo chini kujiunga
Mabasi ya Dar es Salaam kwenda Songea, Mabasi ya Dar Songea, Habari ya muda huu mwana Habaika24, karibu katika makala hii ambayo itaenda kuangazia kampuni za mabasi ambazo zinatoa huduma zake kati ya mkoa wa Dar es Salaam na Songea.
Kama wewe ni msafiri katika mikoa hii miwili na hujui ni kampuni gani za mabasi zinazotoa huduma ya usafari baina ya mikoa hii miwili basi makala hii fupi itaenda kukupa mwongozo wa kampuni hizo
Njia Za Usafiri Kati ya Dar es Salaam Na Songea
Kwa Wasafiri wa mikoa hii miwili wanaweza fanya safari zako miongoni mwa mikoa hii kwa kutumi usafiri wa aina moja tu ambao ni usafiri wa kupitia ardhini (kwa kutumia gari). Hapa katika makala haya tutaenda kugusia njia hii ya usafiri hasa upande wa kampuni za mabasi.
Aina ya Mabasi Yanayotoa Huduma Za Usafiri Kati ya Dar na Songea
Kuna aina mbili ya daraja za mabasi zinazotoa huduma zake baina ya mikoa ya Dar es Salaam na Songea, nazo ni;
- Mbasi ya Daraja la Kawaida
- Mabasi ya Daraja la Kati (Semi Luxury)
-Mabasi ya daraja la kati (Semi luxury) ni basi zenye kutoa huduma za ziada kwa wasafiri wakati wa safari ili kuboresha mazingira ya safari na kumfanya msafiri kuto choshwa na safari.
Mabasi Ya Dar es Salaam Kwenda Songea
1. Super Feo Express

2. New force

3. Mbeya Express

4. Shabiby Line

5. Selous Express

6. Travel Express

Huduma Zinazopatikana katika Mabasi ya Semi Luxury Dar kwenda Songea
Kama tulivyosema hapo awali makampuni ya mabasi yanayotoa huduma zake katika mikoa ya Dar es Salaam na Songea hasa kwa Super Feo na New Force yana mabasi ya Semi Luxury ambayo wakiwa safarini abilia hupata huduma za ziada tofauti na zile za kwenye mabasi ya daraja la kawaida. Miongoni mwa huduma hizo ni pamoja na;
- Utazamaji wa vipindi vya runinga
- Huduma ya Internet
- Huduma ya Vinywaji na Vitafunwa
- Huduma ya Choo
Hitimisho
Kama unafikilia kusafiri ndani ya mikoa hii miwli ya Dar es Salaam na Songea basi naamini makala hii fupi itakua imekupa mwongozo wa usafri gani wa kampuni ya mabasi unaweza kuitumia ili kukamilisha safari yako japo makampuni yote yanayotoa huduma hii ya usafiri ndani ya mikoa hii ni bora.
1. Mabasi ya Dar es Salaam Kwenda Mwanza
2. Mabasi ya Dar es Salaam Kwenda Arusha
3. Nauli ya Boti Dar es Salaam Kwenda Zanzibar
Asante kwa kusoma makala yetu hadi mwisho, ikiwa una maswali yoyote tafadhali acha maoni hapa chini au unaweza Wasiliana nasi. Usisahau kujiunga nasi kwenye WhatsApp gropu letu kwa updates zaidi.
Jiunge na Whatsap Gropu letu kwa updates za kila siku