Mabasi ya Dar es Salaam Kwenda Arusha
Habari hii na nyingine nyingi zinapatikana kwenye telegram channel yetu na WhatsApp channel yetu tumia linki hapo chini kujiunga
Mabasi ya Dar es Salaam Kwenda Arusha, Mabasi ya Arusha to Dar, Habri ya wakati huu mwana Habarika24, Karibu katika makala hii ambayo itaenda kuangazia mabasi ya Dare es Salaam kwenda Arusha na Arusha kwenda Dar es Salaam.
Arusha ni moja ya majiji makubwa sana nchini Tanzania na kwa kua na vivutio vingi imesababisha kuwepo na wasafiriwengi wanaoingia katika jiji la Arusha kwa minajiri ya kufanya utarii, wengi wao wakitoke akatika jiji la kibiashara la Dar es salaam.
Uwepo wa ufahari wa kiutarii katika mji wa Arusha kumeperekea kuwepo kwa makampuni mengi na yenye mabasi ya kisasa kutoa huduma za usafirishaji wa abiria kutok Dar es Salaam kwenda Arusha na Arusha kwenda Dar es Salaam.
Njia za Usafiri Kati ya Dar es Salaam na Arusha
Mikoa wa Dar es Salaam na Arusha inaunganishwa na njia mbili za usafiri ambazo ni;
1. Njia ya Aridhini (gari)
2. Njia ya Anga (Ndege)
Hapa chini katika makala hii tutaenda kukuwekea zaidi ya 20 za mabasi zinazo toa huduma ya usafiri wa mabasi kila siku kati ya Dar na Arusha. Kama wewe ni Abiri na hujui ni mabasi gani yanayofanya safari baina ya mikoa hii miwili basi makala hii ni ya muhimu sana kwako
Mabasi ya Dar es Salaam Kwenda Arusha
1. Dae Express

2. Kilimanjaro Express

3. Chakito Long Way

4. Lim Safari

5. Osaka Raha Executive

6. Mtei Express

7. Simba Mtoto

8. Saibaba Express

9. Happy Nation Epress

10. Hai Express
11. Arusha Express

12. KVC safaris

13. KIMOTCO BUS

14. Kirumo Express

Mambo ya kuzingatia Kwenye Kuchagua basi la Kusafiria
Kunamambo kadhaa abiria unapaswa kuyazingatia wakati unafanya uchaguzi wa basi la kufanyia safari yako, miongono mwa mambo hayo ni pamoja na;
- Ubora Wa Basi
- Huduma Bora
- Viliwazo vya Safarini
- Gharama za Usafiri Kulingana Bajeti yako
Hitimisho
Kama unataka kufanya safri baina ya mikoa hii miwili yani Dar es Salaam na Arusha kwa njia ya basi, basi makampuni ya mabasi tuliyokuwekea hapo juu yanafaa kwa wewe kuyatumia.Cha kukumbumbuka ni kua mabasi hapo juu yanaweza tofautiana nauli kutoka basi moja hadi jingine kutokana na ubora wa basi husika.
Mapendekezo ya Mhariri;
1. Mabasi ya Dar es Salaam Kwenda Mwanza
Asante kwa kusoma makala yetu hadi mwisho, ikiwa una maswali yoyote tafadhali acha maoni hapa chini au unaweza Wasiliana nasi. Usisahau kujiunga nasi kwenye WhatsApp gropu letu kwa updates zaidi.
Jiunge na Whatsap Gropu letu kwa updates za kila siku