WALIO CHAGULIWA KIDATO CHA TANO 2025

_________________________________________________

MATANGAZO YA AJIRA  KILA SIKU BOFYA HAPA

_________________________________________________

NOTES ZA KIDATO CHA 1 HADI 6 BOFYA HAPA

_________________________________________________

MAGROUP MAPYA YA WHATSAAP BOFYA HAPA

_________________________________________________
MATANGO YA AJIRA BOFYA HAPA
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA

Ratiba ya Mechi Za Leo Ligi Mbalimbali

Filed in Michezo by on February 9, 2025 0 Comments

Ratiba ya Mechi Za Leo Ligi Mbalimbali Duniani, Habari mwanamichezo wa Kisiwa24, katika kurasa hii tunaenda kukuonyesha ratiba ya mechi za leo ligi mbali mbali duniani kama vile Ratiba ya Ligi Kuu ya Uingereza (EPL), Ratiba ya Ligi Kuu ya Hispania (La Liga), Ratiba ya Ligi Kuu ya Ujerumani (Bundesliga), Ratiba ya Ligi Kuu ya Ufaransa (Ligue 1), Ratiba ya Ligi Kuu ya Italia (Serie A) Pia nje wa ligi kubwa dunia ni tulizowea kuziweka hapo juu utawea kupata fursa ya kutaama pia ratiba kwa ligi mbalimbali toka Tanzania, Afrika na barani ulaya na Asia kwa ujumla wake.

Kwa mashabiki wa soka duniani kote, kufuatilia ratiba ya mechi za leo ni muhimu ili kuhakikisha hawakosi matukio muhimu. Leo, tarehe 9 Februari 2025, ligi kuu mbalimbali zinaendelea na michezo ya kusisimua. Hapa chini tumekusanya ratiba ya mechi za leo kwa ligi tano maarufu barani Ulaya.

Ratiba ya Mechi Za Leo

Ratiba ya Mechi Za Leo Jumapili ya tarehe 09/ 02/2025 Ligi Mbalimbali

Hapa chini ni ratiba ya mechi za leo jumapili ya tarehe 09/02/2025 kutoka ligi mbalimbali pande zote dunian

SPAIN La Liga

  • Alaves vs Getafe – 16:00
  • Valencia vs Leganes – 18:15
  • Real Sociedad vs Espanyol – 20:30
  • Sevilla vs Barcelona – 23:00

GERMANY – Bundesliga

  • Holstein Kiel vs Bochum – 17:30
  • RB Leipzig vs St. Pauli – 19:30

FRANCE – Ligue 1

  •  Le Havre vs Brest – 17:00
  • Lens vs Angers – 19:15
  • Nantes vs Lyon – 19:15
  • ToulouseMontpellier19:15
  • Nice vs Marseille – 22:45

ITALY – Serie A

  • Venezia vs Roma – 14:30
  • Cagliari vs Parma – 17:00
  • Lazio vs Monza – 17:00
  • Lecce vs Bologna – 20:00
  • Napoli vs Udinese – 22:45

FRANCE – Ligue 1

  • Lyon vs Reims – 17:00
  • Auxerre vs Toulouse – 19:15
  • Strasbourg vs Montpellier – 19:15
  • Angersn vs Marseille – 22:45

ENGLAND – Championship

  • Bristol City vs Swansea City – 15:00

ENGLAND – FA Cup

  • Blackburn vs Wolves – 15:30
  • Plymouth vs Liverpool – 18:00
  • Aston Villa vs Tottenham Hotspur – 20:35

NETHERLANDS – Eredivisie

  • Utrecht vs Almere City FC – 14:15
  • Fortuna Sittard vs Ajax – 16:30
  • RKC vs NAC – 16:30
  • AZ vs Zwolle – 18:45
  • Heerenveen vs Twente – 18:45

PORTUGAL – Liga Portugal

  • Estoril vs Boavista – 18:30
  • SC Farense vs Nacional – 18:30
  • Braga vs Gil Vicente – 21:00
  • Casa Pia vs Estrela Amadora – 23:30

AUSTRIA – Bundesliga

  • Austria Klagenfurt vs Salzburg – 16:30
  • Tirol vs Hartberg – 16:30
  • LASK Linz vs Blau-Weis Linz – 19:00

GERMANY – 3. Liga

  • Hansa vs Viktoria Koln – 15:30
  • Verl vs Hannover-2 – 18:30
  • Osnabruck vs Borussia D-2 – 21:30

GREECE – Super League 1

  • Olympiakos vs Asteras Tripolis – 18:00
  • Aris vs Panathinaikos – 20:30
  • AEK vs Panserraikos – 21:30

SCOTLAND – FA Cup

  • Aberdeen vs Dunfermline – 15:30
  • Rangers vs Queens Park – 18:30

Hitimisho

Kwa mashabiki wa soka, leo ni siku yenye mechi nyingi za kusisimua katika ligi mbalimbali duniani. Hakikisha unafuatilia mechi hizi ili usikose matukio muhimu. Kwa ratiba kamili na matokeo ya moja kwa moja, unaweza kutembelea tovuti rasmi za ligi husika au vyanzo vingine vya habari vya michezo.

Kwa taarifa mbalimbali za mechi za leo kutoka ligi tofauti tofauti ulimwenguni kote usiache kutembelea kurasa huu kila siku, kwani hapa tunaweka ratiba mpya kila kuitwapo leo.

Soma Pia

1. Msimamo Ligi Kuu NBC 2024/2025 Tanzania Premier League

2. Ratiba Ya Ligi Kuu Ya Nbc Msimu Wa 2024/2025

3. Ratiba Ya Mechi Za Simba SC Ligi Kuu Ya NBC Premier Msimu Wa 2024/2025

MATANGO YA AJIRA BOFYA HAPA
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA
MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *