Matokeo ya Pamba Jiji VS Tanzania Prisons Ligi Kuu Ya Nbc Tanzania 16/08/2024
Habari ya wakati huu mwana habarika24.com karibu katika ukra huu wa matokeo ya mchezo kati ya Pamba dhidi ya Tanzania Prisons leo 16/08/2024. Ikumbukwe kua leo ndio lasmi ligi kuu ya NBC Tanznia bara ndio imefunguliwa kwa roundi ya kwanza na tunashuhudia mchezo wa kwanza kwa msimu huu wa 2024/2025.
Mechi hii kati ya Pamba na Tanzania Prisons unachezwa majira ya 16:00 za jion katika uwanja wa CCM Kirumba mkoani Mwanza
Sisi kama wanahabari tutakuletea matokeo ya mchezo huu hapa hapa pindi utakapo kalisha dakika 90.
Kikosi cha Pamba Jiji kinachotarajiwa Kucheza dhidi ya Tanzania Prisons Ligi Kuu Ya Nbc Tanzania 16/08/2024
Hiki hapa ndio kikosi kimpya cha Pamba Jiji kitakahoshiriki michuano ya Ligi kuu ya Nbc msimu wa 2024
☑️Yona Hamosi
☑️Kelvin Nyanguge
☑️Ally Ramadhani
☑️Paulin Kasinda
☑️Paul Kamtewa
☑️Christopher Oruchum
☑️Kenneth Kunambi
☑️Mukeya Alain
☑️Yunus Lema
☑️Costantino Almisu
☑️Salehe Masoud
☑️Eric Okutu
☑️Beny Nakibinde
☑️Ibrahim Abraham
☑️Justine Omary
☑️Frank Ng’ombe
☑️Samson Madeleke
☑️Mashaka
☑️Bastain
☑️Kado
☑️Mtobesya
☑️Samamba
☑️Kipemba
☑️Daniel Jarom
Kikosi cha Tanaznia Prisons kinachotarajiwa Kucheza dhidi ya Pamba Jiji Ligi Kuu Ya Nbc Tanzania 16/08/2024
☑️ Yohana Amos
☑️ Mussa Mbisa
☑️ Edward Mwakyusa
☑️ Jamal Masenga
☑️ Salum Kimenya
☑️ Benjamen Asukile
☑️ Dotto Shabani
☑️ Nurdin Chona
☑️ Feisal Mfuko
☑️ Michael Ismail
☑️ Jumanne Eliphadhil
☑️ Samson Mwaituka
☑️ Ibrahim Abraham
☑️ Chilo Mkama
☑️ Brown Mwankemwa
☑️ Yusuph Mlipili
☑️ Mussa Haji
Tariqu Simba
☑️ Joshua Nyatin
☑️ Oscar Paulo
☑️ Twenye Halfan
☑️ Abdulkarim Segeja
☑️ Mohamed Ibrahim
☑️ Ally Msengi
☑️ Lambert Sabiyanka
☑️ Shaban Kisiga
☑️ Beno Ngasa
☑️ Kelvi Sangati
☑️ Michael Bosco
☑️ Marco Mhilu
☑️ Salum Kihibwa
☑️ Jeremiah Juma
☑️ Samson Mbangula
☑️ Meshack Seleman
☑️ Roland Messi
☑️ Khamis Mcha
☑️ Batshi Mambote
☑️ Zabona Mayombya