Matokeo Ya Usaili Wa Vitendo Utumishi 11 May 2025
Matokeo Ya Usaili Wa Vitendo Uliofanyika Tarehe 11/05/2025
Wasailiwa wote waliochaguliwa kuendelea na hatua zinazofuata wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la kufanyia usaili.
Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates) pamoja na kitambulisho.
- RECORDS MANAGEMENT ASSISTANT II (HEALTH)
- RADIOGRAPHIC TECHNICIAN II
- MPISHI DARAJA LA PILI II (COOK II)
- LAUNDERER II