Kikosi Cha Yanga msimu wa 2024-2025, Kikosi cha Yanga 2024/2025, Habari mwanamichezo wa Habarika24, karibu katika makala hii fupi itakayo kupa mwongozo wa kikosi kipya cha Yanga kwa msimu wa 2024/25,
Kikosi hikhi kipya cha Yanga 2024 kimejumuisha wachezaji wote waliosajiliwa katika msimu huu mpya wa ligi kuu ya NBC ikiwa ni mchakato wa kuendeleza kile kilichotokea msimu uliopita.
Yanga inaanza msimu mpya huku ikiwa na historia ya kumaliza latika nafasi ya kwanza kama bingwa wa ligi kuu ya NBC kwa msimu uliopita wa 2023/2024 akiwa na pointi 80 mble ya Azam Fc iliyoshika nafasi ya 2 kwa poitni 69 sawa na watani wao wa jadi Simba SC iliyoshika nafasi ya 3 kwa pointi 69 ilia utofauti wa magoli.

Hivyo ili kuendelea kushikiria nafasi yake klabu hiyo maarufu ya jijini Dar es Salaam imefanya sajili za wachezaji kutoka mataifa tofauti tofauti na pia kuendelea kuwashikilia baadhi ya wachezaji wake waliofanya vizuri kwa msimu wa 2023/2024.
Kikosi Cha Yanga msimu wa 2024-2025
Hap chini ni wachezaji amabo wanaunda kikosi cha klabu ya Yanga kwa msimu huu mpya wa 2024/2025
- Djigui Diarra
- Abutwalib Mshery
- Nickson Kibabage
- Kouassi Yao
- Farid Mussa
- Dickson Job
- Bakari Mwamnyeto
- Ibrahim Abdallah
- Max Nzengeli
- Khalid Aucho
- Pacome Zouzoua
- Stephen Aziz Ki
- Mudathir Yahya
- Salum Abubakar
- Clement Mzize
- Clatous Chama
- Prince Dube
- Chadrack Boka
- Khomeiny Aboubakar
- Aziz Andabwile
- Duke Abuya
- Kennedy Musonda
- Jean Othos Baleke
Tumeshuhudia mapinduzi ya kiusajili huku Yanga wakimsajili mchezaji mwenye kipaji kikubwa kutokea kwa watani wao wa jadi Simba SC. Clatous Chota Chama alimaarufu kama triple C anaungana na kikosi cha wanajangwani ili kukamilisha kikosi cha Yanga kwa msimu huu wa 2024/2025.
Yanga msimu huu imefanikiwa kushiriki katika michuano ya klabu bingwa balani Afrika na katika hatua ya makundi imepangwa katika kundi A.
Soma Pia;
>>Tiketi na Bei ya Viingilio vya Wiki ya Mwananchi 2024
>>Ligi Bora Africa 2024 | Viwango vya ubora CAF Ranking
Leave a Reply