Close Menu
  • Home
  • Ajira
  • Michezo
  • Makala

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

What's Hot

MAJINA Walioitwa Kwenye Usaili MDAs & LGAs

December 6, 2025

NAFASI za Kazi Za Mkataba Wizara Ya Maliasili Na Utalii

December 6, 2025

NAFASI za Kazi Kutoka Vodacom Tanzania

December 6, 2025
Facebook X (Twitter) Instagram
Kisiwa24Kisiwa24
  • Home
  • Ajira
  • Michezo
  • Makala
Subscribe
Kisiwa24Kisiwa24
Home»Michezo»Tiketi na Bei ya Viingilio vya Wiki ya Mwananchi 2025
Michezo

Tiketi na Bei ya Viingilio vya Wiki ya Mwananchi 2025

Kisiwa24By Kisiwa24September 6, 2025No Comments2 Mins Read
Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Reddit Telegram Email
Share
Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

Tiketi na Bei ya Viingilio vya Wiki ya Mwananchi 2025

Tiketi na Bei ya Viingilio vya Wiki ya Mwananchi 2025 – Timu ya Yanga imeanza kuuza tiketi za tamasha la kilele cha Wiki ya Mwananchi 2025, litakalofanyika tarehe 12 September 2025 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa. Hii ni fursa muhimu kwa mashabiki wa Yanga kujumuika pamoja na kusherehekea klabu yao. Tiketi zimeanza kuuzwa katika Makao Makuu ya Klabu Jangwani, maduka ya TTCL nchi nzima, na kupitia mitandao ya simu.

Ikiwa ni maandalizi ya kuelekea msimu mpya wa 2025/2026 klabu ya Yanga tayari imesha weka hadharani viingilio vitakavyo tumika kwenye sherehe za wiki ya Mwanachini

Kupitia mtandao wake wa kijamii wa Instagram klabu ya yanga imesha weka gharama za viingilio kwa wiki ya mwananchi itakayofanyika siku ya tarehe 12/09/2025.

Tiketi na Bei ya Viingilio vya Wiki ya Mwananchi 2025

Viwango vya Tiketi:

Hapa chini ni mwongozo wa bei za tiketi za sherehe ya Wiki ya Mwananchi

Mzunguko – Tsh 5,000

Orange – Tsh 10,000

Vip C – Tsh 15,000

Vip B – Tsh 30,000

Vip A – Tsh 50,000

Royal – Tsh 300,000

VVIP – Tsh 600,000

Jinsi ya Kununua tiketi za Wiki ya mwananchi kupitia mitandao ya Simu

Maeneo ya Kununua Tiketi:

  1. Makao Makuu ya Klabu Jangwani: Tiketi zinapatikana kwa urahisi kwa mashabiki wanaoishi karibu na makao makuu ya klabu.
  2. Maduka ya TTCL Nchi Nzima: Mashabiki wanaweza kupata tiketi kwenye maduka ya TTCL yaliyoenea kote nchini.
  3. Mitandao ya Simu: Kwa urahisi zaidi, tiketi zinaweza kununuliwa kupitia huduma za mitandao ya simu, kurahisisha upatikanaji wake bila kwenda moja kwa moja kwenye vituo vya mauzo.

Mashabiki wote wa Yanga wanahimizwa kuchukua tiketi mapema ili kuepuka usumbufu na kuhakikisha wanapata nafasi ya kushiriki katika tamasha hili kubwa la Wiki ya Mwananchi 2025.

Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
Previous ArticleBei ya Simu za Samsung Zanzibar
Next Article MAJINA ya Wailioitwa Kazini Tume ya Utumishi wa Mahakama
Kisiwa24

Related Posts

Michezo

1xBet na Paris Saint-Germain Yaongeza Ushirikiano Kwa Misimu 3 Zaidi

October 15, 2025
Michezo

CV ya Dimitar Pantev – Kocha Mpya wa Simba SC 2025

October 5, 2025
Michezo

Wafungaji Bora Ligi Kuu ya NBC Tanzania 2025/2026

October 5, 2025
Add A Comment
Leave A Reply Cancel Reply

Recent Posts

  • MAJINA Walioitwa Kwenye Usaili MDAs & LGAs
  • NAFASI za Kazi Za Mkataba Wizara Ya Maliasili Na Utalii
  • NAFASI za Kazi Kutoka Vodacom Tanzania
  • NAFASI Mpya 5476 za Mafunzo ya Ufundi Stadi Katika Fani Mbalimbali
  • Nafasi za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Ngara

Recent Comments

No comments to show.
Demo
Top Posts

Nafasi za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

December 3, 2025284 Views

NAFASI za Kazi Za Mkataba Wizara Ya Maliasili Na Utalii

December 6, 2025260 Views

MAJINA Walioitwa Kwenye Usaili MDAs & LGAs

December 6, 2025253 Views
Stay In Touch
  • Facebook
  • YouTube
  • TikTok
  • WhatsApp
  • Twitter
  • Instagram
Latest Reviews

Subscribe to Updates

Get the latest tech news from FooBar about tech, design and biz.

Demo
© 2025 Kiswa24 Blog. Designed by Kisiwa24.

Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.