Leo ligi kuu ya NBC Tanzania bara inaendelea kutimua vumbi huku Mzizima Derby ikienda kuteka akili za mashabiki wa soka wa Jiji la Dar es Salaam na Tanzania kwa ujumla wake. Hapa kisiwa24 tutakuletea ratiba na muda kamili wa michezo ya ligi kuu ta NBC Tanzania bara itakayo fanyika leo 05/03/2026.
Ratiba ya Mechi za Leo Ligi Kuu ya NBC 05/ 03/2026
4:00 pm
Singida BS vs Young Africans
Tanzania Prisons vs Azam FC
Michezo hii yote unaweza kuitazama mubasha kupitia AzamSports1HD.
Soma Pia:
1. Msimamo wa Ligi Kuu NBC Tanzania Bara 2025/2026
2. Wafungaji Bora Ligi Kuu ya NBC Tanzania 2025/2026

