Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Gairo anawatangazia watanzania
wenye sifa za kuomba nafasi za kazi saba (7) katika Halmashauri hii baada ya kupata
kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
Bonyeza Hapa Kudownload PDF ya Tangazo
Leave a Reply