Close Menu
Kisiwa24

    Subscribe to Updates

    Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

    What's Hot

    Fomu za Kujiunga Kidato cha Kwanza 2026 – TAMISEMI Form One Joining Instructions

    January 4, 2026

    RATIBA Mpya ya Treni Za SGR Dar, Morogoro hadi Dodoma 2026

    January 4, 2026

    NAFASI 07 za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Gairo

    January 3, 2026
    Kisiwa24Kisiwa24
    • Home
    • Ajira
    • Michezo
    • Makala
    • Elimu
    Kisiwa24
    Home»Kampuza za Mabasi na Nauli zake»Mabasi ya Dar Kwenda Dodoma Kila siku
    Kampuza za Mabasi na Nauli zake

    Mabasi ya Dar Kwenda Dodoma Kila siku

    Kisiwa24By Kisiwa24August 29, 2024No Comments5 Mins Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Reddit Telegram Email
    Share
    Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

    Mabasi ya Dar Kwenda Dodoma Kila siku

    Tangazo

    Habari hii na nyingine nyingi zinapatikana kwenye telegram channel yetu na WhatsApp channel yetu tumia linki hapo chini kujiunga

    BONYEZA HAPA KUJIUNGA NA TELEGRAM CHANNEL YETU

    BONYEZA HAPA KUJIUNGA NA WHATSAPP CHANNEL YETU

    Mabasi ya Dar Kwenda Dodoma Kila siku

    Habari mwana Habrika24 karibu tena katika makala hii ambayo tutaenda kuangazia kampuni za mabasi zinazofanya huduma azake za usafiri Kutoka Dar es salaam kwenda Dodoma na Dododm kwenda Dar es salamm kila siku

    Kutokana na serikali kuhamisha makazi yake kutoka Dar es salaam hadi Dodoma hari hii imepelekea kuongezeka kwa safari kwa wakazi wa Dar es salaam na Dodoma, safari hizi hufanya kwa lengo la kupata huduma za kiserikali lakini pia kibiashara na mapumziko.

    Njia za Usafiri Dar es Salaam to Dodoma

    Kama uko Dar es Salaam au Dodoma na Unahitaji kufanya safari yako kati ya mikoa hii miwili kunajia kuu tatu za usafiri utakao kuwezesha kufika kutoka Dar kwenda Dodoma au kutoka Dodoma kwenda Dar es Salaam

    1. Usafiri wa Ndege
    2. Usafiri wa Treni
    3. Usafiri wa gari (Basi)

    Katika makala hii tutaenda kuangazia usafiri wa basi ambao hupendwa na wakzi au wasafiri wengi wanaosafiri kutoka dar kwenda Dodoma au Dodoma kwenda Dar es salaam.

    Mabasi ya Dar Kwenda Dodoma

    Aina ya Mabasi Kutoka Dar es Salaam Kwenda Dodoma

    Kuna aina kuu tatu za mabasi yanayofanya safari zake kutokea Dar esa Salaam kwenda Dodoma na Dodoma kwenda Dar es Salaam

    1. Mabasi ya daraja la kwanza (VIP), haya ni mabasi yeneye ubora wa hali ya juu na hutoa huduma za kifahari yawapo safarini hata bei ya nauli zake huwa ziko juu
    2. Mabasi ya daraja la kati (Luxury), haya huwa na huduma bora na hutoa hudi=uma mabali mbali pindi yawapo safarini kumfanya abiria asichoshwe na unbali wa safari
    3. Mabasi ya Daraja la chini, haya ni mabasi ya kiwango cha kawaidia na hata huduma zake ni za kawaida kabisa ukilinganisha na mabasi ya daraja la juu na kati pia hata nauli zake huwa za kawaida kabisa.

    Kumekua na makampuni mengi sana ya mabasi yanayofanya huduma zake kutokea Dar es Salaam kwenda Dodoma na Dodoma Kwenda Dar es Salaam(Mabasi ya Dar Kwenda Dodoma)  na hapa tunaenda kuangazia baadhi ya kampuni hizo.

    1. Machame Safari

    Machame safari ni miongoni mwa kampuni kongwe zinaazofanya safari kutoka Dodoma kwenda Dar es Salaam na Dar es Salaam to Dodoma kila siku. Kampuni hii inamabasi ya aina tatu daraja la juu, kati na kawaida. Linatoa huduma bora na zenye uhakika kwa wateja wake

    Mabasi ya Dar Kwenda Dodoma
    Machame Safari

    2. ABC Trans

    Hii ni kampuni inayotoa ushindani mkubwa sana kwenye upande wa safari za mabasi kutoka dar kwenda Dodoma kwani kampuni hii ya usafirishaji inamabasi yenye ubora wa hari ya juu, huduma bora na za uhakika wa usafiri. Pia kampuni hii ina mabasi ya viwango tofauti tofauti yaani luxury, sem luxury na ordinary kulingana na mahitaji ya abiria.

    ABC Trans
    ABC Trans

    3. Shabiby Line

    Kama wewe ni mpenzi wa bais za luxury basi hii ndio kampuni bora kua chaguo lako. Shabiby Line ina mabasi ya hazi ya juu na huduma za viwango vya juu sana. Kama unasafiri kutoka Dar kwenda Dodoma au Dodoma Kwenda Dar es Salaam na unatamani kusafiri huku ukifurahia safari yako basi Shabiby Line itakufaa sana.

    Mabasi ya Dar Kwenda Dodoma
    Shabiby Line

    4. Kimbinyiko Int. Ltd

    Kimbinyiko ni miongoni mwa makampuni ya usafirishaji wa mabasi yanayofanya pia safari zake kutoka Dar es Salaam kwenda Dodoma na Dodoma kwenda Dar es Salaam kila siku. Kutokana na ushindani toka makampuni makubwa pia kampuni ya Kimbinyiko inajitahidi kutoa huduma zilizo bora kwa wateja wake ili kukidhi mahitaji ya kimsingi katika tasnia ya usafirishaji.

    Kimbinyiko pia huwa inatoa huduma mbali mbali katika baadhi ya mabasi yake hasa yale ya daraja la juu na kati, huduma kama jinywaji, vitafunwa na huduma ya internet kwa njia ya Wifi.

    Kimbinyiko Int. Ltd
    Kimbinyiko Int. Ltd

    5. Hai Express

    Kampuni ya Hai Express ni miongoni mwa makampuni yanayotoa huduma za kusafirisha abiria kutoka Dar es Salaam kwenda Dodoma kila siku. Kampuni hii ya usafirishaji ni miongoni mwa kampuni bora zaidi za usafirishaji kwa kutoa huduma bora na salama. mabasi ya daraja la juu hutoa huduma za interneti, runinga na hata vinywaji na vitafunwa.

    Mabasi ya Dar Kwenda Dodoma
    Hai Express

    Huduma Zinazopatikana Kwenye Mabasi ya Dar Kwenda Dodoma

    Mabasi ya Dar Kwenda Dodoma hutoa huduma mbali mbali kulingana na daraja la basi husika. hapa tutaenda kuzumgumzia huduma zitolewazo na mabasi ya daraja la juu VIP na mabasi ya daraja la kati Luxury buses.

    Ndani ya mabasi haya ya daraja hizi mbili kunahuduma mbali mbali kama vile

    1. Huduma ya Runinga
    2. Huduma ya Vinywaji na Vitafunwa
    3. Huduma ya internet kwa njia ya Wifi
    4. Huduma ya kuchaji simu
    5. Na zaidi mabai ya VIP huwa na hudum ya choo ndani.

    Machaguo ya Mhariri;

    1. Kampuni Za Mabasi Ya Dar To Morogoro | Mabasi ya Morogoro

    2. Mshahara wa Rais wa Tanzania

    3. Mshahara wa Mbunge Wa Tanzania Na Marupurupu Yake

    4. Mshahara wa jaji Tanzania

    5. Majukumu ya Jaji Mkuu wa Tanzania

    6. Jinsi Ya Kuangalia Salio La NSSF Kwa Njia ya Simu

    7. Jinsi Ya Kulipia King’amuzi Cha Azam Tv

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleNafasi Mpya 15 Za Kazi Kutoka Halmashauri ya Manispaa Ya Tabora
    Next Article Nauli ya Basi Dar Kwenda Dodoma
    Kisiwa24

    Related Posts

    Kampuza za Mabasi na Nauli zake

    Kampuni Bora za Mabasi Kutoka Dar es Salaam Kwenda Tabora

    September 17, 2025
    Kampuza za Mabasi na Nauli zake

    Mabasi ya Dar es Salaam Kwenda Arusha

    August 5, 2025
    Kampuza za Mabasi na Nauli zake

    Nauli ya Basi Dar to Morogoro

    May 9, 2025
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    Demo
    Top Posts

    Mfano wa Barua ya Kuomba Kazi ya Sheli

    July 2, 202560 Views

    Jinsi ya kuangalia Namba ya leseni ya udereva

    March 9, 202537 Views

    Link Za Magroup Ya WhatsApp Tanzania 2026

    December 21, 202536 Views
    Stay In Touch
    • Facebook
    • YouTube
    • TikTok
    • WhatsApp
    • Twitter
    • Instagram
    Latest Reviews

    Subscribe to Updates

    Get the latest tech news from FooBar about tech, design and biz.

    Demo
    Most Popular

    Mfano wa Barua ya Kuomba Kazi ya Sheli

    July 2, 202560 Views

    Jinsi ya kuangalia Namba ya leseni ya udereva

    March 9, 202537 Views

    Link Za Magroup Ya WhatsApp Tanzania 2026

    December 21, 202536 Views
    Our Picks

    Fomu za Kujiunga Kidato cha Kwanza 2026 – TAMISEMI Form One Joining Instructions

    January 4, 2026

    RATIBA Mpya ya Treni Za SGR Dar, Morogoro hadi Dodoma 2026

    January 4, 2026

    NAFASI 07 za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Gairo

    January 3, 2026

    Subscribe to Updates

    Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

    Facebook X (Twitter) Instagram Pinterest
    • Home
    • Buy Now
    © 2026 ThemeSphere. Designed by ThemeSphere.

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.