Wafungaji Bora Ligi ya Spain Laliga 2024/2025, Vinara wa magoli Laliga Spain, Msimamo wa wafungaji bora Spain Laliga, Laliga top Scores 2024/2025,Top Goal Scorers LaLiga 2024/2025, Habari karibu kwenye kurasa hii fupi ya kimichezo ambayo itaenda kuangazia juu ya msimamo wa wafungaji bora kwenye ligi ya Spain Laliga.
Msimu mpya wa ligi ya Spain Laliga tayari umesha anza kutimua vumbi na wachezaji kutoka timu mbalimbali wamesha anza kuonyesha makali yao kwenye kuwania ufungaji bora wa msimu huu wa ligi wa 2024/2025.Wachezaji kutoka klabu bora zaidi kwenye ligi ya Laliga kama vile Barcelona, Real Madrid na Osasuna wanaonyesha jeuri zao katika msimamo wa vinara wa magoli kwenye ligi kuu ya Spain Laliga.
Kama wewe ni mfuatiliaji wa ligi kuu ya Spain Laliga 2025 basi pia tunaamini utahitaji kufahamu juu ya vinara wa magoliwa ligi ya Laliga na sisi kama Kisiwa24 Blog ni wajibu wetu kuweza kukupa habari zilizo kamilika juu ya msimamo wa wafungaji bora kwenye ligi ya Spain Laliga 2024/2025
Wafungaji Bora Ligi ya Spain Laliga 2024/2025
Hapa chini ni orodha ya vinara wa magoli ligi ya Spain Laliga msimu huu mpya wa 2024/2025
# | Mchezaji | Magoli |
---|---|---|
1. | R. Lewandowski(Barcelona) | 16 |
2. | Kylian Mbappé (Real Madrid) | 12 |
3. | Raphinha (Barcelona) | 11 |
4. | A. Budimir (Osasuna) | 10 |
5. | D. Lukebakio (Sevilla) | 9 |
6. | A. Sørloth (Atletico Madrid) | 8 |
7. | Ayoze Pérez (Villarreal) | 8 |
8. | Kike García (Alaves) | 8 |
9. | Vinícius Júnior (Real Madrid) | 8 |
10. | Sandro Ramírez (Las Palmas) | 7 |
11. | J. Bellingham (Real Madrid) | 7 |
12. | A. Griezmann (Atletico Madrid) | 7 |
13. | T. Barry (Villarreal) | 7 |
14. | Javi Puado (Espanyol) | 7 |
15. | Oihan Sancet (Athletic Club) | 7 |
16. | G. Lo Celso (Real Betis) | 7 |
17. | Rodrygo (Real Madrid) | 6 |
18. | J. Álvarez (Atletico Madrid) | 6 |
19. | Hugo Duro (Valencia) | 6 |
20. | Fábio Silva (Las Palmas) | 6 |
Hitimisho
Ligi kuu ya Spain Laliga imekua miongon mwa ligi bora zaidi Duniani kutokana na nyota wa mpira wa miguu wanaopatikana katika timu zinazoshiriki katika ligi hiyo. Msimu huu wachezaji wengi wamekua na ushinf=dani wa hali ya juu kwenye kupachika mabao hivyo kutengeneza orodha bora zaidi na yenye kusisimua kuelekea kumsaka mfungaji bora wa ligi hii ya Spain Laliga 2024/2025.
Mapendekezo ya Mhariri;
1. Wafungaji Bora CAF Champions League 2024/2025
2. Ratiba Ya Ligi Ya Mabingwa Ulaya 2024/2025
3. Msimamo wa Ligi Kuu Uingereza EPL 2024/2025
4. Msimamo Ligi ya Mabingwa Ulaya 2024/2025
5. Timu Zilizofuzu Robo Fainali Kombe la Shirikisho Afrika 2025