Timu Zilizofuzu Robo Fainali Kombe la Shirikisho Afrika 2025, Orodha ya vilabu vilivyofuzu hatua ya robo fainali CAF Confederation CUP 2025. Habari ya wakati huu mwanamichezo wa Kisiwa24, karibu tena katika kurasa hii ya kimichezo itakayoenda kuangazia juu ya timu ambazo zimefuzu kwenda hatua ya robo fainali katika michuano ya kombe la shirikicho barani Afrika CAF Confederation Cup msimu wa 2024/2025.
Ikumbukukwe kua klabu ya Simba ndio klabu pekee kutoka Tanzania iliyoshiriki michuano hii na kufanikia kutiga kuingia katika hatua ya makundi (16 bora) ya kombe la shirikisho Afrika.
Hatua ya Makundi Kombe la Shirikisho Afrika 2024/2025
baada ya hatua ya mtoano na timu 16 kutoka mataifa mbalimbali kuweza kufuzu hatua ya makundi, shirikisho la mpira wa miguu CAF liliweza kupanga makundi 4 amabyo kila kundi lilikua na idadi ya timu 4.
Simba SC ilipangwa kwenye kundi A. Katika hatua hii ya makundi kila timu katika kundi ilipaswa kucheza michezo 6 yenye mgawanyo wa mechi 3 ugenini na mechi 3 nyumbani. Hadi sasa ni jumla ya michezo 5 imeshachezwa.
Timu Zilizofuzu Robo Fainali Kombe la Shirikisho Afrika 2025
Baada ya michezo ya hatua ya makundi kwenye kila kundi timu 2 zitakazoweza kushika nafasi ya 1 na 2 zitaenda hatua inayofuata ya robo fainali ya michuano ya kombe la shirikisho Afrika CAF Confederation Cup.Hadi sasa ni jumla ya michezo 6 imesha katika hatua ya makundi 6. Baada ya kukamilika kwa michezo yote ya hatua ya makundi tayari timu zilizofuzu kwenye kla kundi zimesha julikana
Hapa chini tutaenda kuangalia timu zilizofuzu robo fainali kwenye kila kundi kwenye CAF Confederation Cup.
1. Timu zilizofudhu Robo Fainali CAF Confederation Cup Kundi A
Kundi A liliundwa na timu 4 amabzo ni;
- CS Constantine
- Simba
- Bravos do Maquis
- CS Sfaxien
Hadi kufikia sasa ikiwa michezo 6 imesha chezwa katika kundi hili tayari timu 2 zimesha fuzu kwenda katika hatua ya robo fainali kwa kujikusanyia pointi za kutosha kuwza kusonga mbele na kutoweza kufikiwa na timu nyingine yoyote ile katika kundi hili.Timu ambazo zimesha kata tiketi ya kwenda robo fainali kwenye kundi hili ni pamoja na;
- Simba SC – iliyoko kwenye nafasi ya 1 ikiwa na jumla ya pointi 13
- CS ConstantineSimba – Iliyoko katika nafasi ya 2 huku ikiwa na pointi 12
Msimamo wa Kundi A Baada ya Roundi ya 6
Rank | Club | MP | W | D | L | GF | GA | GD | Pts |
1 | Simba | 6 | 4 | 1 | 1 | 8 | 4 | 4 | 13 |
2 | CS Constantine | 6 | 4 | 0 | 2 | 12 | 6 | 6 | 12 |
3 | Bravos do Maquis | 6 | 2 | 1 | 3 | 7 | 14 | -7 | 7 |
4 | CS Sfaxien | 6 | 1 | 0 | 5 | 7 | 10 | -3 | 3 |
2. Timu zilizofudhu Robo Fainali CAF Confederation Cup Kundi B
Kundi B Pia linaundwa na timu 4 ambazo ni;
- RSB Berkane
- Stellenbosch
- Stade Malien
- Lunda Sul
Hadi sasa katika kundi B jumla ya michezo 5 imesha chezwa na tayari timu 2 zimesha fuzu kwenda katika hatua ya robo fainali ya michuano ya kombe la shirikisho Afrika 2025. Timu ambazo zimejikatia tiketi ya kwenda hatua ya robo fainali katika kundi hili ni pamoja na;
- RSB Berkane – Iliyoko katika nafasi ya kwanza ikiwa na jumla ya pointi 16
- Stellenbosch – Pia imejikatia tiketi ya kuendelea kwenye hatua ya robo fainali ikiwa katika nafasi ya 2 na poitni 9
Timu zilizobaki hazijaweza kufuzu hatua ya robo fainali hata kama moja kati hizo ikishinda mchezo wa mwisho.
Msimamo wa Kundi B Baada ya Roundi ya 5
3. Timu zilizofudhu Robo Fainali CAF Confederation Cup Kundi C
Kundi C lilitengenezwa na klabu za;
- USM Alger
- Jaraaf
- ASEC
- Orapa United
Hadi kufikia sasa kwenye kundi C tunaweza kusema kua ni timu moja tu ambayo imesha kata tikeri ya kuweza kusonga mbele kwenye hatua ya robo fainali ya michuano ya CAF Confedaretion Cup 2025. Timu amabyo imesha fuzu moja kwa moja ni.
- USM Alger – Ikiwa katika nafasi ya 1 na pointi 14
- ASEC – Iko kwenye nafasi ya 2 ikiwa kwenye pointi 8
Upande wa timu ya pili itategemea mchezo wa mwisho wa roundi ya 6, kama ASEC itashinda mchezo wake wa mwisho kwa magoli zaidi ya 3 basi itapanda hadi nafasi ya 2, ikitegemea pia matokeo ya mchezo wa mwisho wa wa Jaraaf iliyoko nafasi ya 2 ikiwa na pointi 8.
Msimamo wa Kundi C Baada ya Roundi ya 5
4. Timu zilizofudhu Robo Fainali CAF Confederation Cup Kundi D
Kundi D liliundwa na timu zifuatazo;
- Zamalek
- Al Masry
- Enyimba
- Black Bulls
Kwenye kundi D tayari timu moja imesha fuvu kwenda hatua ya robo fainali na timu 2 zinapigania nafasi ya kufuzu hatua ya robo fainali. Timu amabyo imesha jikatia tiketi ya kwenda hatua ya robo fainali katika kundi hili ni;
- Zamalek – Iliyoko katika nafasi ya 1 ikiwa na jumla ya pointi 14
- Al Masry – Iliyoko katika nafassi ya 2 ikiwa na umla ya pointi 9
Msimamo wa Kundi D Baada ya Roundi ya 5
Orodha ya Timu Zilizoweza Kufudhu Hatua ya Robo Fainali CAF Confederation Cup 2024/2025
Hadi sasa katika timu 8 zinazotakiwa kufuzu kwenda hatua ya robo fainali ya CAF Confedaretion Cup zimeweza kufuzu timu 6 tu, timu mbili zitamuliwa baada ya mchezo wa mwisho wa roundi ya 6.
Hapa chini ni orodha ya timu 6 ambazo zimesha jikatia tiketi ya kucheza robo fainali ya michuano ya kombe la shirikisho Afrika 2024/2025
- CS Constantine
- Simba
- RSB Berkane
- Stellenbosch
- USM Alger
- ASEC
- Zamalek
- Al Masry
Hitimisho
Mechi za roundi ya mwishisho zitakua na ushindani mkubwa sana kwani kunabaadhi ya vilabu bado havijaweza kujihakikishia kama vitaweza kusonga mbele hivyo vitahitaji kushinda mchezo wa mwisho.
Mapendekezo ya Mhariri;
1. Timu Zilizofuzu Robo Fainali Klabu Bingwa Afrika 2025
2. RATIBA ya Mechi za Simba Mwezi Januari 2025
3. RATIBA ya Mechi za Yanga Mwezi Januari 2025
4. Ratiba ya Mechi za Liverpool Ligi Kuu ya Uingereza EPL 2024/2025