Close Menu
  • Home
  • Ajira
  • Michezo
  • Makala

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

What's Hot

MAJINA Walioitwa Kazini Chuo Kikuu Cha UDSM

December 13, 2025

NAFASI za Kazi Equity Bank Tanzania Limited

December 13, 2025

NAFASI Za Kazi DTB Bank Tanzania

December 13, 2025
Facebook X (Twitter) Instagram
Kisiwa24Kisiwa24
  • Home
  • Ajira
  • Michezo
  • Makala
Subscribe
Kisiwa24Kisiwa24
Home»Usaili»Tangazo La Kuitwa Kwenye Usaili Chuo Kikuu Mzumbe October 2024
Usaili

Tangazo La Kuitwa Kwenye Usaili Chuo Kikuu Mzumbe October 2024

Kisiwa24By Kisiwa24October 7, 2024No Comments3 Mins Read
Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Reddit Telegram Email
Share
Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

Tangazo La Kuitwa Kwenye Usaili Chuo Kikuu Mzumbe October 2024

Tangazo

Habari hii na nyingine nyingi zinapatikana kwenye telegram channel yetu na WhatsApp channel yetu tumia linki hapo chini kujiunga

BONYEZA HAPA KUJIUNGA NA TELEGRAM CHANNEL YETU

Tangazo La Kuitwa Kwenye Usaili Chuo Kikuu Mzumbe October 2024, Karibu katika posti hii ya kuitwa kwenye usahili, hapa tutaenda kukuwekea majina ya walioitwa kwenye usahili katika chuo kikuu cha Mzumbe mwezi October 2024. Kusoma majina yote Tafadhari nenda mwisho kabisa mwa posto anagalia neno lilioandikwa “Bonyeza Hapa Kusoma Majina Yote” bonyeza hilo neno ili kupakua PDF file ya majina.

Makamu Mkuu wa Chuo cha Chuo Kikuu Mzumbe anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 17-10-2024 hadi 18-10-2024 a hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-

1. Usaili utafanyika kuanzia tarehe kama ilivyooneshwa kwenye tangazo hili muda na sehemu ambapo usaili utafanyika umeainishwa kwa kila Kada.

2. Kila msailiwa anatakiwa kufika kwenye eneo la usaili akiwa amevaa Barakoa (Mask)

3. Kila Msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi;

4. Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Mkazi, Kitambulisho cha Mpiga kura,Kitambulisho cha kazi,Kitambulisho cha Uraia au Hati ya kusafiria.

5. Wasailiwa wanatakiwa kufika na VYETI VYAO HALISI, kuanzia cheti cha kuzaliwa,kidato cha IV, VI, Stashahada,Stashahada ya Juu, Shahada na kuendelea kutegemeana na sifa za Mwombaji.

6. Wasailiwa watakaowasilisha Testimonials, Provisional Results, Statement of results, hatiza matokeo za kidato cha IV na VI (form V and form VI results slips) HAVITAKUBALIWA NA

HAWATARUHUSIWA KUENDELEA NA USAILI.

7. Kila msailiwa atajigharamia kwa Chakula, Usafiri na Malazi.

8. Kila Msailiwa azingatie tarehe, muda na mahali alipopangiwa kufanyia usaili.

9. Kwa waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe Vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na Mamlaka husika (kama TCU, NACTE au NECTA)

10. Waombaji kazi ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili watambue kuwa hawakukidhi vigezo. Hivyo, wasisite kuomba tena pindi nafasi za kazi zitakapotangazwa na kuzingatia mahitaji ya tangazo husika.

11. Kwa kada ambazo wanatakiwa kusajiliwa na Bodi zao za Kitaaluma wanapaswa kuja na vyeti vyao Halisi vya Usajili pamoja na Leseni za kufanyia kazi.

12. Wasailiwa wote walioitwa kwenye usaili wahakikishe wanaingia kwenye akaunti zao na kunakili namba ya mtihani kwa kuwa namba hizo hazitatolewa iku ya usaili

Tangazo La Kuitwa Kwenye Usaili Chuo Kikuu Mzumbe October 2024
Tangazo La Kuitwa Kwenye Usaili Chuo Kikuu Mzumbe October 2024

Tangazo La Kuitwa Kwenye Usaili Chuo Kikuu Mzumbe October 2024

“Bonyeza Hapa Kusoma Majina Yote“

 

Soma Pia;

-ESS Utumishi | Watumishi Portal

-Nafasi za Kazi Kutoka UTUMISHI, Ajira Portal NA Serikalini 2024

Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
Previous ArticleNafasi za Kazi Kutoka UTUMISHI, Ajira Portal NA Serikalini 2024
Next Article Makundi ya Klabu Bingwa Africa Msimu wa 2024/2025 (Caf Champions League Groups)
Kisiwa24

Related Posts

Ajira

MAJINA Walioitwa Kwenye Usaili MDAs & LGAs

December 6, 2025
Ajira

Majina ya Usaili kusimamia Uchaguzi NEC 2025 – Jimbo la Moshi Vijijini

October 8, 2025
Ajira

MATOKEO Ya Usaili Wa Vitendo Uliofanyika Tarehe 07-08/10/2025

October 8, 2025
Add A Comment
Leave A Reply Cancel Reply

Recent Posts

  • MAJINA Walioitwa Kazini Chuo Kikuu Cha UDSM
  • NAFASI za Kazi Equity Bank Tanzania Limited
  • NAFASI Za Kazi DTB Bank Tanzania
  • NAFASI za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro
  • NAFASI za Kazi Chuo Kikuu Huria Cha Tanzania

Recent Comments

No comments to show.
Demo
Top Posts

MAJINA Walioitwa Kwenye Usaili MDAs & LGAs

December 6, 2025777 Views

NAFASI za Kazi Za Mkataba Wizara Ya Maliasili Na Utalii

December 6, 2025439 Views

NAFASI Mpya 5476 za Mafunzo ya Ufundi Stadi Katika Fani Mbalimbali

December 6, 2025416 Views
Stay In Touch
  • Facebook
  • YouTube
  • TikTok
  • WhatsApp
  • Twitter
  • Instagram
Latest Reviews

Subscribe to Updates

Get the latest tech news from FooBar about tech, design and biz.

Demo
© 2025 Kiswa24 Blog. Designed by Kisiwa24.

Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.