Close Menu

    Subscribe to Updates

    Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

    What's Hot

    NAFASI Za Kazi Geita Gold Mine (GGM)

    November 16, 2025

    NAFASI za Kazi Halmashauri Mbalimbali Tanzania 2025

    November 16, 2025

    Walioitwa Kwenye Usaili Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) November 2025

    November 16, 2025
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Kisiwa24
    • Home
    • Ajira
    • Makala
    • Michezo
    • Usaili
    • Kuitwa Kazini
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Kisiwa24
    Home » Ada, Fomu, Sifa na Kozi za Chuo cha Ualimu Safina Geita
    Makala

    Ada, Fomu, Sifa na Kozi za Chuo cha Ualimu Safina Geita

    Kisiwa24By Kisiwa24October 22, 2024No Comments3 Mins Read
    Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Sifa na Kozi za Chuo cha Ualimu Safina Geita
    Share
    Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

    Ada, Fomu, Sifa na Kozi za Chuo cha Ualimu Safina Geita , Chuo cha Ualimu Safina kilichopo mkoa wa Geita ni miongoni mwa vyuo bora vya ualimu nchini Tanzania. Chuo hiki kinatoa mafunzo ya ualimu katika ngazi mbalimbali na kina historia ndefu ya kutoa walimu wenye weledi. Katika makala hii, tutaangazia masuala muhimu kuhusu ada, fomu, sifa zinazohitajika na kozi zinazopatikana.

    Ada, Fomu, Sifa na Kozi za Chuo cha Ualimu Safina Geita

    Hapa chini tumekuwekea mwongozo sahihi wa wewe kuweza kukifahamu chuo cha Ualimu Safina Geita , Taarifa kama vile Kozi zitolewazo na chuo pamoja na sifa za kujiunga na kozi hizo, Fomu za kujiunga na chuo pamoja na ada kwa kila kozi itolewayo na chuo hiki cha ualimu Safina kilichopo Geita.

    Kozi Zitolewazo na Chuo Cha Ualimu Safina Geita

    Chuo cha Ualimu Safina Geita kinatoa kozi katika ngazi mbali mbali kama vile

    • Kozi za Ualimu Ngazi ya Cheti
    • Kozi ya Ualimu Ngazi ya Diploma

    Lakini kozi ya msingi katika chuo hiki cha Ualimu Safina Geita ni Uawalimu wa Msing Ngazi ya NTA lEVEL 6.

    Sifa Za Kujiunga Na Kozi Katika Chuo Cha Ualimu Safina Geita

    • Kuwa na cheti cha kidato cha nne
    • Kufaulu masomo yasiyopungua 4 katika mtihani wa kidato cha nne
    • Kupata alama C au zaidi katika somo la Kiswahili na Kiingereza
    • Umri usiozidi miaka 35

    Jinsi ya Kujiunga na Chuo Cha Ualimu Safina Geita

    Wanafunzi wanaotaka kujiunga na chuo wanapaswa kufuata taratibu zifuatazo:

    1. Kuchukua fomu ya maombi kutoka chuoni au kuipakua kutoka tovuti ya chuo
    2. Kujaza fomu kikamilifu na kuambatanisha nyaraka muhimu
    3. Kulipa ada ya maombi ya TSh. 20,000 (hairejeshwi)
    4. Kuwasilisha fomu iliyojazwa pamoja na nyaraka zote muhimu
    Sifa na Kozi za Chuo cha Ualimu Safina Geita
    Sifa na Kozi za Chuo cha Ualimu Safina Geita
    MATANGAZO YA AJIRA BOFYA HAPA

    Huduma Zinazopatikana Chuoni

    • Maktaba ya kisasa yenye vitabu vya kutosha
    • Maabara za sayansi zilizo na vifaa vya kutosha
    • Hosteli za wasichana na wavulana
    • Huduma za afya
    • Viwanja vya michezo
    • Kantini na mgahawa
    • Huduma za intaneti

    MAWASILIANO

    Kwa maelezo zaidi, wasiliana na ofisi ya chuo kupitia:

    • Simu: +255766074979
    • Anwani: S.L.P P. O. BOX 556, GEITA, Tanzania

    Hitimisho

    Chuo cha Ualimu Safina Geita kinaendelea kuwa kitovu cha mafunzo bora ya ualimu katika mkoa wa Geita. Kwa kuzingatia ada nafuu, vifaa bora vya kujifunzia na walimu wenye uzoefu, chuo kinalenga kutoa walimu wenye weledi watakaoboresha elimu nchini Tanzania.

    Mapendekezo ya Mhariri;

    1. Ada, Fomu, Kozi na Sifa za Kujiunga Chuo Cha ADEM Bagamoyo

    2. Ada, Fomu, Sifa na Kozi za Chuo cha Ualimu Ilonga

    3. Ada, Fomu, Kozi na Sifa za Kujiunga na Chuo Cha Utalii Mwanza

    4. Ada, Fomu, Kozi na Sifa za Kujiunga na Chuo Cha Utalii Arusha

    Asante kwa kusoma makala yetu hadi mwisho, ikiwa una maswali yoyote tafadhali acha maoni hapa chini au unaweza Wasiliana nasi. Usisahau kujiunga nasi kwenye WhatsApp gropu letu kwa updates zaidi.

    Jiunge na Whatsap Gropu letu kwa updates za kila siku

    BONYEZA HAPA

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Kisiwa24
    • Website

    Related Posts

    Jinsi ya kupika Pilau kwenye Rice Cooker

    October 9, 2025

    Jinsi ya Kuwasha Rice Cooker

    October 9, 2025

    Jinsi ya kupika Maharage kwenye Rice cooker

    October 8, 2025
    Leave A Reply Cancel Reply

    Demo
    Top Posts

    Nafasi za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi

    November 14, 2025944 Views

    Link Za Magroup Ya WhatsApp Tanzania 2025

    July 12, 2025873 Views

    PDF ya Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili Jeshi la Magereza 2025/2026

    September 30, 2025696 Views
    Stay In Touch
    • Facebook
    • YouTube
    • TikTok
    • WhatsApp
    • Twitter
    • Instagram
    Latest Reviews

    Subscribe to Updates

    Get the latest tech news from FooBar about tech, design and biz.

    Demo
    Covid-19 Statistics

    [rb_covid countries_code=’CN’ countries_label=’China’ columns=1]

    Most Popular

    Nafasi za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi

    November 14, 2025944 Views

    Link Za Magroup Ya WhatsApp Tanzania 2025

    July 12, 2025873 Views

    PDF ya Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili Jeshi la Magereza 2025/2026

    September 30, 2025696 Views
    Our Picks

    NAFASI Za Kazi Geita Gold Mine (GGM)

    November 16, 2025

    NAFASI za Kazi Halmashauri Mbalimbali Tanzania 2025

    November 16, 2025

    Walioitwa Kwenye Usaili Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) November 2025

    November 16, 2025

    Subscribe to Updates

    Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

    Facebook X (Twitter) Instagram Pinterest
    • Home
    • Buy Now
    © 2025 ThemeSphere. Designed by ThemeSphere.

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.