Ratiba ya Mechi za Yanga SC Msimu wa 2025/2026 Ligi Kuu ya NBC

Ratiba Kamili ya Yanga SC Msimu wa 2025/2026 Ligi Kuu ya NBC

Ratiba Kamili ya Yanga SC Msimu wa 2025/2026 Ligi Kuu ya NBC

Klabu ya Young Africans SC (Yanga SC) ipo tayari kuanza kampeni yake ya kutetea taji la Ligi Kuu ya NBC kwa msimu wa 2025/2026, ambapo mchezo wa kwanza utakuwa dhidi ya Pamba Jiji FC mnamo 24 Septemba 2025 saa 19:00 jioni. Huu utakuwa mwanzo muhimu kwa mabingwa hao watetezi ambao wanatarajiwa kuingia dimbani wakiwa na kiu ya kuendeleza utawala wao katika soka la Tanzania.

Baada ya mchezo huo wa ufunguzi, Yanga SC itashuka tena uwanjani kwa mchezo wake wa pili dhidi ya Mbeya City FC mnamo 30 Septemba 2025 saa 16:15, ikiwa ni mwendelezo wa safari yao ya kutetea ubingwa.

Mchezo wa mwisho wa msimu wa 2025/2026 utapigwa tarehe 23 Mei 2026, ambapo JKT Tanzania FC watakabiliana na Yanga SC katika pambano litakalofanyika jijini Dar es Salaam. Huu utakuwa mchezo wa kukata na shoka ambao unaweza kuamua hatma ya taji la ligi ikiwa mashindano yatakuwa bado yana ushindani mkubwa.

Ratiba Kamili ya Yanga SC Msimu wa 2025/2026

Hapa chini ni ratiba rasmi ya mechi zote za Yanga SC katika Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2025/2026:

  • 24 Septemba 2025 – 19:00 | Yanga SC vs Pamba Jiji FC

  • 30 Septemba 2025 – 16:15 | Mbeya City vs Yanga SC

  • 29 Oktoba 2025 – 19:00 | Yanga SC vs Mtibwa Sugar

  • 01 Novemba 2025 – 16:15 | Tanzania Prisons vs Yanga SC

  • 04 Novemba 2025 | Yanga SC vs KMC FC

  • 04 Desemba 2025 – 19:00 | Namungo FC vs Yanga SC

  • 10 Desemba 2025 – 19:00 | Coastal Union FC vs Yanga SC

  • 13 Desemba 2025 – 17:00 | Yanga SC vs Simba SC

Ratiba ya Kiporo (Tarehe Bado Hazijathibitishwa)

  • Januari 2026: Azam FC vs Yanga SC

  • Februari 2026: TRA United vs Yanga SC

  • Februari 2026: Yanga SC vs JKT Tanzania FC

  • Februari 2026: Mtibwa Sugar vs Yanga SC

  • 18 Februari 2026 – 19:00 | Yanga SC vs Dodoma Jiji FC

  • 23 Februari 2026 – 16:15 | Singida Black Stars vs Yanga SC

  • 26 Februari 2026 – 19:00 | Yanga SC vs Mashujaa FC

  • 01 Machi 2026 – 18:30 | Yanga SC vs Fountain Gate FC

  • 04 Machi 2026 – 16:15 | Pamba Jiji vs Yanga SC

Mzunguko wa Mwisho wa Msimu

  • Machi 2026: Yanga SC vs Mbeya City

  • Machi 2026: Yanga SC vs Tanzania Prisons

  • Machi 2026: Simba SC vs JKT Tanzania FC

  • Aprili 2026: Yanga SC vs Coastal Union FC

  • 04 Aprili 2026: Simba SC vs Yanga SC

  • Aprili 2026: Dodoma Jiji FC vs Yanga SC

  • Aprili 2026: Yanga SC vs Singida Black Stars

  • Aprili 2026: Yanga SC vs Namungo FC

  • Mei 2026: Mashujaa FC vs Yanga SC

  • Mei 2026: Fountain Gate FC vs Yanga SC

  • 14 Mei 2026 – 16:00 | Yanga SC vs Azam FC

  • 20 Mei 2026 – 16:00 | Yanga SC vs TRA United

  • 23 Mei 2026 – 16:00 | JKT Tanzania vs Yanga SC

Kwa kuangalia ratiba hii, ni wazi kuwa Yanga SC itakuwa na msimu wenye ushindani mkubwa huku ikikabiliwa na wapinzani wakali ndani na nje ya uwanja wao wa nyumbani. Mashabiki wa klabu hiyo wanatarajiwa kuendelea kuiunga mkono timu yao kwa wingi ili kuhakikisha inaendeleza mafanikio na kutetea ubingwa wao kwa msimu mwingine tena.

Msimu wa 2025/2026 unatarajiwa kuwa wa kusisimua sana kwa mashabiki wa soka nchini, huku kila mchezo wa Yanga SC ukichukuliwa kama fursa ya kuandika historia mpya.

error: Content is protected !!