NAFASI za Kazi Kutoka Ajira Portal Leo 2025
KWA NAFASI ZA KAZI UTUMISHI BONYEZA HAPA
Ajira Portal ni mfumo wa kielektroniki unaoruhusu watu kutafuta na kuomba kazi mbalimbali kupitia mtandao. Ilianzishwa na Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu, kwa lengo la kuwezesha wanataaluma na watafuta kazi kupata fursa za ajira na mikataba ya kazi. Kupitia Ajira Portal, watumiaji wanaweza kuangaza wasifu wao, kutuma maombi ya kazi, na hata kushiriki katika mafunzo mbalimbali ya ujuzi wa kazi. Mfumo huu umekuwa muhimu hasa katika kukuza uchumi wa kidijitali na kurahisisha mchakato wa utaftaji wa kazi nchini Tanzania.
Ajira Portal pia inawezesha waajiri kutoa nafasi za kazi na kufanya mchakato wa ukaguzi wa maombi kwa urahisi zaidi. Mfumo huu umejengwa kwa kuzingatia mahitaji ya sasa ya soko la kazi, ikiwa ni pamoja na kazi za mbali (remote jobs) na fursa za kujitolea (freelancing). Kwa kutumia teknolojia ya kisasa, Ajira Portal inasaidia kupunguza ukosefu wa kazi na kuwaunganisha waajiri na watafuta kazi kwa ufanisi zaidi. Hivyo, inachangia kwa kiasi kikubwa katika kutatua changamoto za ajira na kuleta mabadiliko chanya katika maisha ya watu wengi.
NAFASI 1500+ za Kazi Ajira Portal June 2025
Ili kuweza kusoma Vigezo na jinsi ya kutuma maombi tafadhari bonyeza hapo kila nafasi ya kazi hapo chini
- TUTORIAL ASSISTANT (BIOMECHANICS OF SPORTS) – 1 POST
- TUTORIAL ASSISTANT (PHYSICAL OCEANOGRAPHY/CHEMICAL OCEANOGRAPHY) -UDSM – 2 POST
- ASSISTANT LECTURER (MARINE CHEMISTRY) – 1 POST
- ASSISTANT LECTURER (SPORTS PSYCHOLOGY) – 1 POST
- TUTORIAL ASSISTANT (HISTORY EDUCATION) – 1 POST
- TUTORIAL ASSISTANT (MORPHOLOGY) – 1 POST
- TUTORIAL ASSISTANT (EDUCATIONAL FOUNDATIONS) – 3 POST
- ASSISTANT LECTURER (EDUCATIONAL MANAGEMENT) – 2 POST
- ASSISTANT LECTURER (EDUCATIONAL FOUNDATIONS) – 2 POST
- ASSISTANT LECTURER (SYNTAX) – 1 POST
- TUTORIAL ASSISTANT (CHINESE LANGUAGE) – 2 POST
- ASSISTANT LECTURER (CHINESE LANGUAGE) – 1 POST
- TUTORIAL ASSISTANT (FRENCH) – 1 POST
- ASSISTANT LECTURER (LINGUISTICS) – 1 POST
- ASSISTANT LECTURER (PHYSICAL CHEMISTRY) – 1 POST
- ASSISTANT LECTURER (ACADEMIC COMMUNICATION) – 1 POST
- MWALIMU DARAJA LA III C – FIZIKIA (PHYSICS) – 120 POST
- MWALIMU DARAJA LA III C – SOMO LA BIASHARA (BUSINESS STUDIES)(RE-ADVERTISED) – 700 POST
- MWALIMU DARAJA LA III C – SOMO LA NISHATI YA JUA (SOLAR POWER INSTALLATION) (RE-ADVERTISED) – 11 POST
- MWALIMU DARAJA LA III B – SOMO LA USHONAJI (DESIGNING, SEWING AND CLOTH TECHNOLOGY)(RE-ADVERTISED) – 2 POST
- MWALIMU DARAJA LA III C – SOMO LA UCHUMI (ECONOMICS) – 850 POST
- ASSISTANT LECTURER – ECONOMICS – 1 POST
- TUTORIAL ASSISTANT – FRENCH LANGUAGE – 1 POST
- TUTORIAL ASSISTANT – CHINESE LANGUAGE – 2 POST
- TUTORIAL ASSISTANT – ECONOMICS – 1 POST
- TUTORIAL ASSISTANT – HISTORY – 2 POST
- ASSISTANT LECTURER – POLITICAL SCIENCE/CIVICS TEACHING METHODS – 1 POST
- TUTORIAL ASSISTANT – DEMOGRAPHY – 1 POST
- ASSISTANT LECTURER – EDUCATIONAL MANAGEMENT AND LEADERSHIP – 1 POST
- ASSISTANT LECTURER – SPECIAL NEEDS EDUCATION – 1 POST
- TUTORIAL ASSISTANT – PROFESSIONALISM AND ETHICS IN EDUCATION – 1 POST
- TUTORIAL ASSISTANT – PHILOSOPHY OF EDUCATION – 1 POST
- TUTORIAL ASSISTANT – PRINCIPLES OF EDUCATION – 1 POST
- TUTORIAL ASSISTANT – FRENCH TEACHING METHODS – 1 POST
- TUTORIAL ASSISTANT- EARLY CHILDHOOD EDUCATION – 1 POST
- TUTORIAL ASSISTANT – COMPUTER LITERACY – 1 POST
- ASSISTANT LECTURER – CHEMISTRY – 1 POST
i didn’t able to login please help me