Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro anawatangazia Watanzania
wenye sifa kuomba nafasi za kazi kumi na nne (14) katika Halmashauri hii baada ya kupata
kibali kutoa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
NAFASI za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro
Bonyeza Hapa Kudownload PDF ya Tangazo

