Msimamo wa NBC Championship Tanzania 2024/2025 (Ligi Daraja la Kwanza)
Msimamo wa NBC Championship Tanzania 2024/2025, msimamo wa ligi daraja la kwanza Tanzania 2024/2025, HAbari mwanamichezo wa Kisiwa24, karibu katika kurasa hii fupi ya kimichezo itakayoenda kukupa mwenendo wa ligi ya NBC daraja la kwanza kwa msimu wa 2024/2025.
Ligi NBC Championship ni ligi ya pili kwa ukubwa nchini Tanzania ukiacha ile ya ligi kuu ya NBC, Ligi huusisha vilabu 16 amabvyo kila kilabu hucheza takribani michezo 30 hadi kutamatika kwa ligi. Msimu wa 2024/2025 kwa mujibu wa kalenda ya matukio ya shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF) utaanza mwezi September 20, 2024, kwa mechi ya ufunguzi kati ya Mbeya City vs Bigman FC 16:00 Mbeya na Mtibwa Sugar vs Green Warriors 16:00 Morogoro.
Timu Zinazo Shiriki Ligi Daraja la Kwanza
Kunajumla ya timu 16 zinazoshiriki ligi daraja la kwanza amabazo ni, Mtibwa Sugar, Geita Gold, Stand United, TMA, Mbeya Kwanza, Mbeya City, Songea United, Bigman, Mbuni, Polisi Tanzania, Biashara UTD, Green Warriors, Cosmopolitan, A.Sports, Transit Camp , Kiluvya. Timu 2 zitakazo maliza katika nafasi ya 1 na 2 zitapata nafasi ya kupanada daraja na kuingia katika kombe la ligi kuu ya NBC Tanzania bara kwa msimu ujao wa 2025/2026.
Mwenendo wa Ligi
Ligi itahusisha timu 16 ambazo kila moja itacheza michezo 30 na timu zitakazo maliza ligi katika nafasi ya 1 na 2 zitapandishwa katika ligi kuu ya NBC kwa msimu ujao wa 2025/2026. Mgawanyo wa pointi ni ule wa.
- Pointi 3 kwa matokeo ya Ushindi
- Pointi 1 kwa matokeo ya sare
- Point 0 kwa matokeo ya kufungwa
Msimamo wa Ligi ya NBC Championship Tanzania 2024/2025
Hapa chini ni msimamo wa ligi daraja la kwanza (NBC Championship) kwa msimu wa 2024/2025
Nafasi | Timu | Mechi | Magoli | Pointi |
---|---|---|---|---|
1 | Mtibwa Sugar | 17 | 24 | 44 |
2 | Geita Gold | 17 | 18 | 36 |
3 | Mbeya City | 17 | 14 | 35 |
4 | Stand United | 17 | 10 | 35 |
5 | TMA | 17 | 10 | 31 |
6 | Mbeya Kwanza | 17 | 5 | 31 |
7 | Bigman | 17 | 1 | 26 |
8 | Songea United | 17 | 3 | 25 |
9 | Mbuni | 17 | 3 | 23 |
10 | Polisi Tanzania | 17 | -4 | 20 |
11 | A.Sports | 17 | -11 | 14 |
12 | Green Warriors | 17 | -20 | 11 |
13 | Transit Camp | 17 | -14 | 10 |
14 | Kiluvya | 17 | -15 | 10 |
15 | Cosmopolitan | 17 | -16 | 9 |
16 | Biashara UTD | 17 | -8 | 4 |
Hadi sasa ligi ya NBC Championship inaongozwa na klabu ya Mtibwa Sugar katika nafasi ya 1 ikiwa na point 44 na nafasi ya 2 ikishikiliwa na Geita Gold kwa pointi 36. Jumla ya michezo 17 imesha chezwa kati ya michezo 30.
Msimamo Wa Ligi daraja la kwanza 25/10/2024
Msimamo Wa Ligi daraja la kwanza 21/10/2024
Msimamo Wa Ligi daraja la kwanza 07/10/2024
Msimamo Wa Ligi daraja la kwanza 30/09/2024
Msimamo Wa Ligi daraja la kwanza 28/09/2024
Mapendekezo ya Mhariri;
1. Idadi Ya Makombe Alioshinda Yanga kwenye Ligi Kuu ya NBC
2. Orodha ya Makombe yenye Thamani Kubwa Zaidi Barani Ulaya
3. Msimamo wa Kundi la Simba Sc Kombe la Shirikisho Afrika 2024/2025
4. Msimamo wa Kundi la Yanga Club Bingwa Afrika 2024/2025
Kwa Matangazo ya AJIRA Mpya kila siku BONYEZA HAPA
Tags: Msimamo wa Ligi Daraja la Kwanza Tanzania 2024/2025, Msimamo wa Ligi ya NBC Championship Tanzania 2024/2025