Mchezo wa Ligi Kuu ya NBC kati ya Simba SC na Azam FC utafanyika tarehe 7 Desemba 2025, kuanzia saa 11:00 jioni katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, jijini Dar es Salaam.
Kadiri tunavyosubiri mtanange huo, Nijuze Habari itakuletea taarifa na matukio yote muhimu kuanzia dakika ya kwanza hadi ya 90. Endelea kufuatilia kupata masasisho hayo.
LIVE: Simba SC vs Azam FC – 7 Desemba 2025
Simba SC 0 – 0 Azam FC

