Close Menu
  • Home
  • Ajira
  • Michezo
  • Makala

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

What's Hot

MAJINA Walioitwa Kazini Chuo Kikuu Cha UDSM

December 13, 2025

NAFASI za Kazi Equity Bank Tanzania Limited

December 13, 2025

NAFASI Za Kazi DTB Bank Tanzania

December 13, 2025
Facebook X (Twitter) Instagram
Kisiwa24Kisiwa24
  • Home
  • Ajira
  • Michezo
  • Makala
Subscribe
Kisiwa24Kisiwa24
Home»Usaili»Majina ya Wailioitwa Kwenye Usaili Taasisi MbaliMbali Za Umma Majina ya Nyongeza December 2024
Usaili

Majina ya Wailioitwa Kwenye Usaili Taasisi MbaliMbali Za Umma Majina ya Nyongeza December 2024

Kisiwa24By Kisiwa24December 7, 2024No Comments2 Mins Read
Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Reddit Telegram Email
Share
Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere (MNMA), Chuo cha Ufundi Arusha (ATC), Water Institute – WI anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 07-12-2024 hadi 30-12-2024 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-

1. Usaili utafanyika kuanzia tarehe kama ilivyooneshwa kwenye tangazo hili muda na sehemu ambapo usaili utafanyika umeainishwa kwa kila Kada.

2. Kila msailiwa anatakiwa kufika kwenye eneo la usaili akiwa amevaa Barakoa (Mask)

3. Kila Msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi;

4. Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Mkazi, Kitambulisho cha Mpiga kura,Kitambulisho cha kazi,Kitambulisho cha Uraia, Hati ya kusafiria, Leseni ya Udereva au barua ya utambulisho kutoka Serikali ya Mtaa/Kijiji unachotoka.

5. Wasailiwa wanatakiwa kufika na VYETI VYAO HALISI, kuanzia cheti cha kuzaliwa,kidato cha IV, VI, Astashahada, Stashahada,Stashahada ya Juu, Shahada na kuendelea kutegemeana na sifa za Mwombaji.

6. Wasailiwa watakaowasilisha Testimonials, Provisional Results, Statement of results, hatiza matokeo za kidato cha IV na VI (form V and form VI results slips) HAVITAKUBALIWA NA HAWATARUHUSIWA KUENDELEA NA USAILI.

7. Kila msailiwa atajigharamia kwa Chakula, Usafiri na Malazi.

8. Kila Msailiwa azingatie tarehe, muda na mahali alipopangiwa kufanyia usaili.

9. Kwa waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe Vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na Mamlaka husika (kama TCU, NACTE au NECTA)

10. Waombaji kazi ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili watambue kuwa hawakukidhi vigezo. Hivyo, wasisite kuomba tena pindi nafasi za kazi zitakapotangazwa na kuzingatia mahitaji ya tangazo husika

11. Kwa kada ambazo wanatakiwa kusajiliwa na Bodi zao za Kitaaluma wanapaswa kuja na vyeti vyao Halisi vya Usajili pamoja na Leseni za kufanyia kazi.

12. Wasailiwa wote walioitwa kwenye usaili wahakikishe wanaingia kwenye akaunti zao na kunakili namba ya mtihani kwa kuwa namba hizo hazitatolewa iku ya usaili.

Bonyeza HAPA Kupakua Majina Yote

Mapendekezo ya Mhariri:

1. Majina Wailioitwa Kwenye Usaili Taasisi Mbalimbali December 2024

2. Majina Walioitwa Kwenye Usaili Chuo Kikuu Cha Ushirika Moshi

Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
Previous ArticleNafasi Mpya 51 za Kazi Kutoka Banki Kuu ya Tanzania BOT December 2024
Next Article Nafasi Mpya za Kazi ya Mikataba Kwa Kada Za Afya December 2024
Kisiwa24

Related Posts

Ajira

MAJINA Walioitwa Kwenye Usaili MDAs & LGAs

December 6, 2025
Ajira

Majina ya Usaili kusimamia Uchaguzi NEC 2025 – Jimbo la Moshi Vijijini

October 8, 2025
Ajira

MATOKEO Ya Usaili Wa Vitendo Uliofanyika Tarehe 07-08/10/2025

October 8, 2025
Add A Comment
Leave A Reply Cancel Reply

Recent Posts

  • MAJINA Walioitwa Kazini Chuo Kikuu Cha UDSM
  • NAFASI za Kazi Equity Bank Tanzania Limited
  • NAFASI Za Kazi DTB Bank Tanzania
  • NAFASI za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro
  • NAFASI za Kazi Chuo Kikuu Huria Cha Tanzania

Recent Comments

No comments to show.
Demo
Top Posts

MAJINA Walioitwa Kwenye Usaili MDAs & LGAs

December 6, 2025780 Views

NAFASI za Kazi Za Mkataba Wizara Ya Maliasili Na Utalii

December 6, 2025442 Views

Link Za Magroup Ya WhatsApp Tanzania 2025

July 12, 2025441 Views
Stay In Touch
  • Facebook
  • YouTube
  • TikTok
  • WhatsApp
  • Twitter
  • Instagram
Latest Reviews

Subscribe to Updates

Get the latest tech news from FooBar about tech, design and biz.

Demo
© 2025 Kiswa24 Blog. Designed by Kisiwa24.

Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.